Hongera sanaSina sababu ya kutomsamehe kama alimla kweli amekana, ye na nafsi yake[emoji1430][emoji1430] nachoamini kwenye kweli uongo hujitenga
Sitaki kukaa na kinyongo Au mambo ya kuombana msamaha muda wote, sitaki stress kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli
Unaweza weka mbwembwe madoido na makila kitu bado tu akafanya yake tu au ukampa pesa bado changamoto zikawa pale pale
Sent from my iPhone using JamiiForums
We kibokoNingekuwa nimemaliza kibaigwa,kilosa,mpanda,Iramba,kisumu,Mbozi,Kilolo,Ruangwa,n.k
Mkuu rikiboy hongera kwa kurudi uraiani.TATIZO SIO RAFIKI YAKO....TATIZO NI HUYO JAMAA YAKO...!![emoji5]
Najua utamtetea ila jiandae kugombana mpaka na ndugu zako wa damu ukiwa na mwanaume kama wako.
Imeishaaaaa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume huna hapo una kahaba siku akimla ndugu yako uje kumtetea tena /mtu sio mwaminifu jua wewe ni single mama ajaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah ahsante sanaa mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ban ilinigandaa balaaMkuu rikiboy hongera kwa kurudi uraiani.
Sent From Galaxy S9
[emoji23] bora umerudi sasaDaah ahsante sanaa mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ban ilinigandaa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana[emoji16][emoji16] hadi nimeamua kumzalia[emoji2226][emoji2226]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama kweli hyo profile picture ni wewe basi ujue jamaa anajuta huko alipo.daadeki!!!Mimi nilimwamini mtoto wa ndugu yangu,
Ila siku akaja kusema kwa ndugu wengine kwamba Ba mdogo ananitongoza.
Yakapita.baada ya kupita miaka kadhaa ,
Mwanaume akaaumua kufunguka mwenyewe toka walivyoanzana mpaka wakapelekana hotelini,
Afu wanasema hawajakwichikwichi.
Na wote nawajua ni malaya mbwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikamwambia me nimekusamehe.ila hunifai tena.
Muoe huyo ndugu yangu.
Sijui hata walimalizana vip mpaka leo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume hawa.
pole yako....
Ila nilimlaumu huyo ndugu yangu.alikuwa anajua kabisa anae nitongoza ni mwanaume wa ndugu yangu.ila kwa umalaya wake tu akaamua Nikomeshe.
[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahitajika makao makuu ya mabaharia wote leo ni siku muhimu ya kuongezwa cheo na wewe tunakupa cheo cha brigadier jenerali .yani hasa marafiki zenu nyie wanawake, mimi mpaka kesho namgegeda rafiki damdam wa mke wangu lakini ukiwakuta wenyewe wanacheka huwezi amini,hivi leo nimewaacha nyumbani hapo wanajipikilisha nimetoka zangu kwenda kupiga serengeti light.