Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Hahah una akili. Yani kosa la bebyday linasameheka haha la friend halisameheki
Hebu subiri kwanza!! Kwahiyo humuamini huyo rafiki yako ila baby dady wako unamwamini? Kama umemsamehe baby dady basi msamehe na rafiki yako pia.

Kama unaamini baby dady ni binadamu na kakosea kama binadamu ndivyo unapaswa kumuelewa rafiki yako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dada tatizo lako your too open to explain what your man did for u. Hii itakucost saana.

Sina chakumlaumu huyo bbydadi maana aliwekewa mtego kiasi kwamba hawez kataa kwa akili za kiume.

Alafu usijilinganishe na watu wengine kusema my man hawez kucheat na huyu kwa sababu umemzid kila kitu. Wanaume akili zetu tunazijua sisi. Hawacheat kutafuta viwango zaidi but just to satisfy the needs.

Ukisha pata mtoto dai ndoa. Kitendo chake cha kukutunza sio guarantee.

Polee kwa mkasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliamua au ilikuwa Bahati mbaya

Kwani bahati mbaya ningeshindwa kuitoa? Yeye ndio wa kwanza kuijua kabla yangu mm nimejua baada ya kupima 2wks ningeamua ningetoa, nikaamua kuitunza!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lol naomba kujua mitego yenyee wanaume ngumu kuchomoa pullliiiiizzzzzzzz!

Cc Smart911

Wewe mwanao na babydady wako. .usikate tamaa kirahisi hivo. .regardless amekuoa ama laa. Watu wengi sana wamezaa bila kuoana na maisha yanasonga. Na wengine wapo ndoani miaka nenda rudi wengine wana hadi wajukuu wanacheat vile vile. Mahusiano yana changamoto nyingi sana mamy

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kumzuia mtu ambae keshaamua lake, yani kwasasa sitaki stress kabisa, kilichoniumia ni huyo rafiki yangu’ kama kucheat siwezi jua tangu tumeanza mahusiano hadi leo kanicheat na wangapi, ni tabia ya mtu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana naona hutaki unafiki kabisa uko opeeenn! . .seems You really do love the man.
Inapendeza sana . Shikilia msimamo wako usikatishwe tamaa na sisi wenye negativity

Cc Smart911
Kwani bahati mbaya ningeshindwa kuitoa? Yeye ndio wa kwanza kuijua kabla yangu mm nimejua baada ya kupima 2wks ningeamua ningetoa, nikaamua kuitunza!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu subiri kwanza!! Kwahiyo humuamini huyo rafiki yako ila baby dady wako unamwamini? Kama umemsamehe baby dady basi msamehe na rafiki yako pia.

Kama unaamini baby dady ni binadamu na kakosea kama binadamu ndivyo unapaswa kumuelewa rafiki yako pia.

Rafiki yangu ndio wa kwanza kabla ya bbydady na huko nyuma nimekua na makwaruzano na waliopita nilikua sijui who’s the source of all’ sasa nimemjua, nimemsamehe ila sitaki Ukaribu nae tena,

Yes bbydady nimemuamini[emoji847] kaaprove kwa upande wake kama kuna mengine... anajua yeye na nafsi yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Puuzia tu maisha yaendelee. . Ukiwaza sana Utakonda na kujitafutia presha buree kama bado hujajifungua unaeza jisababishia miscarriage.
Watoto ni baraka

Cc Smart911
Huwezi kumzuia mtu ambae keshaamua lake, yani kwasasa sitaki stress kabisa, kilichoniumia ni huyo rafiki yangu’ kama kucheat siwezi jua tangu tumeanza mahusiano hadi leo kanicheat na wangapi, ni tabia ya mtu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wapenda 071... hapo hawachomoki.

Kuna jamaa yangu alimdanganya dem wake kuwa mie ndio nimempa hizi dawa za kienyeji sijui mkuyati.

Nikashangaa bibishemeji anamazoea saana. Mara akafanya ziara kutoka mji kasoro bahari kuja town
Mara akasema amekosa gar za kurudi so anakuja kuangusha kwangu ila asijue my best but akanipa pre caution kwamba nisifanye chochote.

Baada ya kuja hizo picha picha zilizochezwa paka leo naamini uchawi upo. Niliingia king.

Alafu badae ndio akaniambia kuwa ameambiwa nasupply dawa. Miaka imepita ila nashindwa kuelewa

Kwa hiyo mahondaw mkiamua mmeamua sisi hatuchomoki ndugu yangu.
Lol naomba kujua mitego yenyee wanaume ngumu kuchomoa pullliiiiizzzzzzzz!

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio rafiki yako tatizo ni wewe na babe dadi wako.

Kwanza wewe unaonyesha una siri chafu ulizofanya nyuma sasa rafiki yo kazifunguka.

Pili huyo sio mwanaume uliyenaye.
 
Yes bbydady nimemuamini[emoji847] kaaprove kwa upande wake kama kuna mengine... anajua yeye na nafsi yake

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nimetamani nikupe kisa kimoja ila ngoja niache.

Kama umemsamehe basi heri. Omba sana maana shetani tayari anamejipenyeza.

Saaaaaaasa ukahama ukaenda kukaa mbali na baby dady ukimkimbia rafiki!! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom