Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Hapo kwenye hizo stori za kukojolesha ndio balaa. Maana ndio tatizo la wanawake wengi hawakojozwi sasa unavyojidai kuwa unakojozwa mara mbili kwa wiki wakati mwenzako ana mwaka wa pili hajakojoa ni hatari.

🤣🤣🤣🤣🤣 ndio nimejifunza sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio kweli kwahiyo utaweza kuiehi bila marafiki au utakuwa mchawi. Kikubwa tuwe makini na kujali mahusiano yetu/ ndoa zetu.

Tusiwe wazi sana kwa marafiki kila kitu unamshirikisha, mwisho yanakukuta kama yangu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh mtego wa Tigo tena.. Sidhani kama jamaa alitoka.. Hahahahaha

[emoji16][emoji16][emoji16] itakua alikula japo kaapa miungu yote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kua kutokumuamini yoyote Yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadirika.

Huyu aliyokua rafiki yangu ni wa muda mrefuuu sana Yan sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me n the bbydady, kwa kua ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikua na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali


Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mm kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, n Mr pia nikamwambia sitaki wae na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close nae tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mm kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokua unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady nae akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote yaukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokua mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe Maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapomajaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani Au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki Sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna rafki yangu mmoja niliwahi kumkandamizia demu aliyenusurika kuwa demu wake.

Ila mwisho wa siku ilibidi nimpige demu chini ili ku restore urafiki na mwana.

Mwana tumekuwa marafiki kuanzia form one mpaka Chuo ingekuwa sio poa kumpoteza kisa demu.
 
Nadhani hujamsamehe ila umeamua kupitezea sababu ya support unayopata.

God save us

Sina sababu ya kutomsamehe kama alimla kweli amekana, ye na nafsi yake[emoji1430][emoji1430] nachoamini kwenye kweli uongo hujitenga
Sitaki kukaa na kinyongo Au mambo ya kuombana msamaha muda wote, sitaki stress kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole kwa mkasa huo. Ni moja kati ya changamoto ngumu za mahusiano.

Hongera pia kwa kumsamehe jamaa. Kama kweli ni mtu mwenye uelewa atajifunza jambo flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani changamoto sana
Pole sana dear[emoji25][emoji25]

Mimi kwa msgs na hizo voice note inaonekana hawajalana kwasababu mwanaume alikua busy, sasa sijui kama walikulana Au bado wanaendelea na mipango

Nilichomwambia tu amblock kote na endapo nitagundua bado wanamawasiliano, Mimi na yeye uhusiano wetu utakua umeishia hapo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafki yangu mmoja niliwahi kumkandamizia demu aliyenusurika kuwa demu wake.

Ila mwisho wa siku ilibidi nimpige demu chini ili ku restore urafiki na mwana.

Mwana tumekuwa marafiki kuanzia form one mpaka Chuo ingekuwa sio poa kumpoteza kisa demu.

Ndio sisi


Mimi sikua upande wowote ndio maana nikampigia mara ya pili kwa upande wake yeye rafiki yangu lakini alijibu as if hajali hata kama nimejua[emoji1] basi na urafiki umekufa na namshukuru Mungu kanijulisha mapema pengine ningemwambia vikubwa baadae ningejuta zaidi ya hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole kwa mkasa huo. Ni moja kati ya changamoto ngumu za mahusiano.

Hongera pia kwa kumsamehe jamaa. Kama kweli ni mtu mwenye uelewa atajifunza jambo flani

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante[emoji1431] alikua ananiomba sana msamaha, hafanyikazi yuko busy ananipigia anatuma mamsg basi nikamsamehe tu maisha mengine yaendelee, ila nikija kugundua wanawasiliana tena🤨🤨ndio itakua mwisho wetu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio sisi


Mimi sikua upande wowote ndio maana nikampigia mara ya pili kwa upande wake yeye rafiki yangu lakini alijibu as if hajali hata kama nimejua[emoji1] basi na urafiki umekufa na namshukuru Mungu kanijulisha mapema pengine ningemwambia vikubwa baadae ningejuta zaidi ya hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama bado yupo single,naomba contacts nianze program maalumu ya kumfariji
 
Back
Top Bottom