Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Wewe mwanao na babydady wako. .usikate tamaa kirahisi hivo. .regardless amekuoa ama laa. Watu wengi sana wamezaa bila kuoana na maisha yanasonga. Na wengine wapo ndoani miaka nenda rudi wengine wana hadi wajukuu wanacheat vile vile. Mahusiano yana changamoto nyingi sana mamy

Cc Smart911
Hamna shida kikubwa uhai tu, nachoomba Mungu atusaidie mimi na mwanangu tutoke salama


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa

Cc Smart911
Ulifanya la maana sana, nikisha kugundua tu utaona naanza kukupunguzia mazoea hutaamini, katika maisha nachukia sana urafiki wa kinafiki, napata girlfriend namshirikisha rafiki yangu mwisho wa siku tamaa inamjaa anigeuka.

Marafiki kama hao tupa futi 10000.

[emoji2398]Bin Shaib Classic 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu subiri kwanza!! Kwahiyo humuamini huyo rafiki yako ila baby dady wako unamwamini? Kama umemsamehe baby dady basi msamehe na rafiki yako pia.

Kama unaamini baby dady ni binadamu na kakosea kama binadamu ndivyo unapaswa kumuelewa rafiki yako pia.
 
Hivi mnawatoleaga wapi hao marafiki wa kuamini hivyo?

Bwana ako ni kitombi jiandae kisaikolojia

Uko mkoa mwingine unategemea bebidadi amle nani?

Punguza kudeka na maringo (Eti hajakuzidi kitu ingekuwa hivyo asingemtaka rafiki yako)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli mchungu huu.
 
yani hasa marafiki zenu nyie wanawake, mimi mpaka kesho namgegeda rafiki damdam wa mke wangu lakini ukiwakuta wenyewe wanacheka huwezi amini,hivi leo nimewaacha nyumbani hapo wanajipikilisha nimetoka zangu kwenda kupiga serengeti light.
Halafu unalaumu rafiki wa mkeo na kujiona bingwa wakati wewe na yeye ni chupa na mfuniko.
 
Ndio yaliyonikuta mie

Nilikua namshirikisha vitu vyote, hadi Hiyo siku nimepewa hela na bbydady hapo kabla ya mimba, nikanunue kiwanja xxx nikamwambia rafiki yangu twende na kwa upande wangu yeye alikua shahidi yangu wa manunuzi[emoji28] sijui tukifanya hivi namwambia labda tumepanga hivi namwambia, biashara yangu iliyumba huyo mwanaume akanipa mtaji mwingine (ndio nafanya biashara huku nilipo) nikamwambia[emoji28] mm nikijua ni rafiki yangu mwema[emoji22]mwisho wa siku anamwambia kuna mtu natoka nae huyo mtu ni ex wangu wa muda mrefu sana na alishaoa wala sio mimi Au huyo rafiki yangu tunapojua alipo mara ya mwisho alinambia tu anaoa 2017[emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe ndio maaana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Tumetambulishana tu

Ila yeye ndio aliyeanza kumtafuta na kumpa data zangu, m nachoona tatizo kwa bbydady ni kumentertain kwa kumsikiliza das y akaweka mazoea hadi ya kutaka kuliwa tigo na bbydady[emoji28] Maana kma shida ni bbydady tu, mara ya pili nilivyomtafuta rfk yangu alichonijibu ni kua natakaje yes alimtafuta, msgs n voice note zake, enhee (ndicho alichonijibu)


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mamy nikwambie kitu, kwasababu umeamua kuridhika na evidence alizokupa mwanaume basi tulia. Sidhani hata huu uzi kama ungeufungua, seems like kuna kitu bado unavutana na nafsi yako.
Ndani ya nafsi yako umekiri ukweli unaujua ila umeamua kuupuza. Sasa kama umeamua kuyazika na kuanza upya then do that.

Lea mimba, na Mungu akusaidie ujifungue salama.
 
Halafu hii michezo ya kuibiana wapenzi iko sana kwa wanawake sijui kwa nini?? Inaonekana wanawake wanapenda kuonja onja sana.
Huku field( mtaani) matukio kama haya wanawake kulalamika kuvamiwa kwenye mahusaiano hadi ndoa zao na marafiki ni nyingi mno.
Ni kwavile wanawake tunafunguka sana tofauti na wanaume. Wanawake ni rahisi kudetect cheating tofauti na wanaume.
 
Nimecheka saaana dah.

Safi
Nyie wanawake wazuri mna majivuno sana. Unakaa mkoa mwingine halafu unataka mume asitombe?. Sio rahisi. Mke wangu hata kusafiri tu wiki mbili bila mimi hakubali. Sio kwa sababu mimi nina tabia mbaya hapana; Bali anajali anajua anytime nahitaji huduma. Mimi ni mume wa mtu bwana. Huduma bora nizipate kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom