Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,235
Reaction score
2,546
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadilika.

Huyu aliyekuwa rafiki yangu ni wa muda mrefu sana Yani sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me and the bbydady, kwa kuwa ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikuwa na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mimi kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, na Mr pia nikamwambia sitaki wawe na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close naye tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mimi kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokuwa unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady naye akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote ya ukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokuwa mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapo majaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...



Nimeona niongezee hili, comments ni nyingi!!! Jamani sijaomba ushauri tena hapa wa kuhusu rafiki Au bbydady nimetoa briefly tu kiasi cha nn kilichotokea, na ushauri kwa wale wenye marafiki Au urafiki kama niliokua nao mimi[emoji1]

Wote nimewasamehe ila urafiki tena siutaki sio kwahuyo tu kwa mtu yoyote Yule nimeshapata funzo, pia yawezakua bbydady ndio tatizo lakini sasa nitafanyaje? NIMESHAMSAMEHE!!! Pia hali ngumu yeye ndio msaada wangu so siwezi kuachana nae kwasasa, wengi mnajua changamoto za ujauzito nikija kuwaomba msaada mtanisaidia[emoji848]acheni tu niwe kipofu kwasasa[emoji16][emoji16]

Mimi nimewapa tu ushauri wale wenye marafiki damudamu kua wae makini yasijekuwakuta ya kwangu... mwanaume siwezi kumbadilisha ikifika kuachana tutaachana[emoji1424]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TATIZO SIO RAFIKI YAKO....TATIZO NI HUYO JAMAA YAKO...!![emoji5]
Najua utamtetea ila jiandae kugombana mpaka na ndugu zako wa damu ukiwa na mwanaume kama wako.

Imeishaaaaa hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Yote yanawezekana[emoji28][emoji28] maji nishayavulia nguo sina budi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Walisema,kikulacho ki nguoni mwako.
Rafiki yako wa leo ndo adui yako wa kesho.

Usimwamini rafiki yako yeyote kwa ulimwengu tulionao, wengi utawaona wema machoni kumbe moyoni wanakuwazia tofauti.

Na mimi sitomwamini rafiki yangu kwa asilimia 100 hata sikumoja.

©Bin Shaib Classic 2020.
 
Hivi mnawatoleaga wapi hao marafiki wa kuamini hivyo?

Bwana ako ni kitombi jiandae kisaikolojia

Uko mkoa mwingine unategemea bebidadi amle nani?

Punguza kudeka na maringo (Eti hajakuzidi kitu ingekuwa hivyo asingemtaka rafiki yako)
 
Samehe uishi kwa amani! Hilo ndio kubwa, kuna watu tuna vidonda tumekaa kimya tu

Yeah nimeshasamehe binafsi mwanaume hana tatizo hatujawahi kua na mikwaruzano mikubwa ni ile tu ya kawaida, huduma anatoa kwahiyo hayo mengine nimeona ni changamoto za maisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kua kutokumuamini yoyote Yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadirika.

Huyu aliyokua rafiki yangu ni wa muda mrefuuu sana Yan sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me n the bbydady, kwa kua ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikua na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali


Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mm kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, n Mr pia nikamwambia sitaki wae na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close nae tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mm kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokua unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady nae akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote yaukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokua mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe Maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapomajaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani Au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki Sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Weka hizo screenshot tuzione.

Usipoweka hii hadithi ni ya Shigongo
 
TATIZO SIO RAFIKI YAKO....TATIZO NI HUYO JAMAA YAKO...!![emoji5]
Najua utamtetea ila jiandae kugombana mpaka na ndugu zako wa damu ukiwa na mwanaume kama wako.

Imeishaaaaa hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
@rikiboy

Niongeze nini tena!?
Umemaliza yote tu
Tatizo mume lofa
Hajitambui kabisa
Yu Mpumbafu zoba
Binti atateseka sana
Ndugu na marafiki
Wote wa kike wasije
Wakija kwake wafa
Lazima waliwe hasa

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnawatoleaga wapi hao marafiki wa kuamini hivyo?

Bwana ako ni kitombi jiandae kisaikolojia

Uko mkoa mwingine unategemea bebidadi amle nani?

Punguza kudeka na maringo (Eti hajakuzidi kitu ingekuwa hivyo asingemtaka rafiki yako)

Nimesomea nae kwanzia o level hadi chuo

Ukitombi siwezi bisha maana ni mwanaume na muda wote sipo nae Kwahiyo sijui ayatendayo!!

Sina maringo wala kudeka, kuhusu kumtaka ni mwanamke ndio aliyemtaka if I could be able to post those screenshots ungesema we mwenyewe, txts ni nyingi moja wapo kama hizi
“Shem Upo? Za siku? Kuna vitu nataka nikuambie”
“Shem nakupigia Uko busy kama Uko Free naomba tutoke niko bored”
“Shem tunaweza kwenda kunnywa wine pamoja”
“Shem unabody nzuri shoga angu anafaidi”


Msgs ni nyingi, na nilipomrudia alivyokua ananijibu ni kama alijiandaa hivi Incase nikijua ukweli, maana hadi voice note zake alinitumia nikamforwadia ye mwenyewe bidada ajikane[emoji28][emoji28] alichonijibu tu kwahiyo natakaje[emoji23][emoji23]jamani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom