Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Acha ujinga usifikiri hiyo degree wewe ndio uliye ipata peke yako wenzio tulisha pita huko tena kabla hata hujamaliza fm4 so usifikiri nimeyatoa kwenye riwaya za shigongo, degree ya hapa nchini kwa upande wa elimu haiwezi kufikia ufanisi wa diploma , hii ni kiuhalisia lakini kwa nadharia mlizo nazo watu kama wewe mtaendelea kuzitukuza degree zenu zisizo kuwa na ubora na kushikiria vyeti tu vyenye sifa ya degree.

Ya nini kutoa matusi?
Mtu unasema kunadegree za chupi mara sijui nini, nnavyo jua kila semeste kuna masomo yake na karibia kila somo lina mwalimu wake je huyo anaetoa chupi anatoa kwa walim wote miaka yote?
Na je inamaana hao maprof ni wanaume tu? Na je hiyo ni kila mwanamke? Vpa kuhusu wanaume wanafauluje?
Kuniambia umemaliza degree na unaongea haya unanipa wasiwasi.
Tumia logic na sio hisia,
 
Nakushukuru kwa hili NA UKIFANYA UTAFITI MDOGO HUMU UTAGUNDUA HAPA COMMENTS ZA WENYE DEGREE ZIPO KISOMI ZAIDI KULIKO DIP SO HAKUNA HAJA YA KUUMIZA KICHWA

mkuu unapoandika comments zako jaribu kuhusisha akili pia,kwahiyo wewe unataka kusema hii comment yako ni ya degree? KUWA MAKINI KULIKO JOHO ULILOVISHWA CHUO.
 
mada tajwa nadhani naielewa siielewi vile,mi nadhani cha msingi ni KUHESHIMU MAWAZO YA WATU,KAZI WANAZOFANYA NAMAANISHA UFANISI, NA KUWA MAKINI ZAIDI KULIKO MAJOHO MLIYOVISHWA CHUO. NB: NAHESHIMU MAWAZO YENU NA SIO DIGRII WALA DIPLOMA.
 
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.

Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)

Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)

we jamaa ilifaa uwe raisi very good bro!
 
Ntaanza kuuliza maswali ya KOZI MLIZOSOMA HUMU NYIE DIPLOMA TUONE WELEDI WENU,HAYA MKO TAYARI? Tuondoe ubishi maana mmezidisha DHARAU,kuwa na degree si mchezo nyie sio mnafikiri ni DIP zenu hizo,Yaani ukiwa na DIP then unajisifu wewe ni mjinga wa mwisho kabisa.

namshangaa kijana wa kileo anajisifia kwa kuwa na diploma,jaman soko la ushindani hili,ohooooo
 
hehehehhee,nimekwambia weka matokeo yako ya kidato cha 6 hapa,unapaparika,
ungekua competent si ungeshapata ajira,mbona unasota unasibiria za Govt

Hivi kuna sehemu nimesema nasota sina ajira? unajua muda huu nimeajiriwa wap? unajua cheo nilichonacho kazin? unajua nalipwa tsh ngap? na sitaweka matokeo yangu sasa maana mada haihusiani,.,kweli wewe sio binadamu ni mkorosho!
 
Infiriority complex is the worst thing a man can have, be hapy with what you have and dont complain for what you dont have bya the time being.
If you have diploma dont feel inferior to some one who is a degree holder, each of you have its importand role in Tanzanian education.
 
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!

pole sana ndungu hakika hujitambui ndugu, nenda na mwenye degree kaombe kazi na diprma yako tuone. yanayosomwa unayajua au wasema tu kwakuwa umepewa mdomo, vidole na kamchina kako?
 
bshaneni woote af mkimaliza nendeni NMB,CRDB,EQUITY,DTB,NBC na kwngneko mkaangalie MISHAHARA YENU.diploma holder<health proffesional>TGTH 780000 afu we tcha na degree yako unaetoka povu humu jf et cjui kp bora degree na diploma TGTS 480000
 
pole sana ndungu hakika hujitambui ndugu, nenda na mwenye degree kaombe kazi na diprma yako tuone. yanayosomwa unayajua au wasema tu kwakuwa umepewa mdomo, vidole na kamchina kako?

Kwenye ualimu mkuu, hebu nionyeshe tofauti ya kuandaa azimio la kaz la kidegree na diploma...halafu mpewe interview ile ya darasan mbele ya wanafunzi we na degree yako ya semister na msuli wa diploma kisha njoo hapa jf.
 
mkuu unapoandika comments zako jaribu kuhusisha akili pia,kwahiyo wewe unataka kusema hii comment yako ni ya degree? KUWA MAKINI KULIKO JOHO ULILOVISHWA CHUO.

MKASOME DEGREE MPATE HESHIMA,MISHAHARA IONGEZEKE PIA KIWANGO CHA KUJIAMINI NACHO KIONGEZEKE.
Kuja na hekaya zenu hzi haztawasaidia.
Na sasa walimu wenye degree wanakuja mashuleni,poleni wenye diploma sijui mtazificha wapi NYUSO ZENU maskini.
 
bshaneni woote af mkimaliza nendeni NMB,CRDB,EQUITY,DTB,NBC na kwngneko mkaangalie MISHAHARA YENU.diploma holder&lt;health proffesional&gt;TGTH 780000 afu we tcha na degree yako unaetoka povu humu jf et cjui kp bora degree na diploma TGTS 480000

Kipato cha ndugu zako kwa mwezi ni Tsh ngapi?
Pumbaaaaf zako.
 
Naungana na wewe kabisa hivi vi fm6 haviwezi kulitambua hilo sababu havijui hata nini kinafundishwa diploma vimekalia ushabiki kwa kushabikia bi degree vyao hewa visivyo kuwa hata na ubora,, mwl wa degree aliye pitia diploma ni mzuri zaid lakini kwa huyu wa fm 6 + degree ni matatizo matupu hata hapa shuleni kwangu nimeajiri hao walimu wenye sifa zote wenye dip na wenye degree kutoka fm6 na mwenye degree kutoka diploma ,,wanatofauti kubwa sana hawa walimu wangu wengi ambao ni fm 6 to degree ndio wanao lalamikiwa sana na watoto hapa shulen hawana weledi,kufundisha hawajui hata ukiwapa utawala wanakiuka kanuni,nimebadilisha utaratibu na nawapunguza taratibu hawa fm6 to degree.

utakuwa na diploma wewe sio bure
 
utakuwa na diploma wewe sio bure

Hoja hapa ni "taaluma ya kufundisha" ,ngazi ya diploma zaidi ni "teaching methodology" wakati ngazi ya degree zaidi ni "content" . HITIMISHO: waweza kuwa na content na ukashindwa kuito kwa jinsi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom