Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

huandaliwa na walimu waliopitia cheti enzi hizo, then diploma, halafu degree, wakapata masters na phd, yaani hapa lazima wawe na cheti na diploma kwanza
Kwani walimu wa diploma huandaliwa na walimu wa level gani?
 
Dah? Ni administrator na manager wa vitu gani? sasa hapo mwalimu anakuwa nani? I mean mwalimu anakuwa ni mwenye level gani ya elimu - Cheti, Diploma ama degree?
Hakijaeleweka kipi?
Diploma and certificate are administrators while degree holder is a manager, kunatofauti kubwa kati ya manager na mfanyakazi, ndio maana kuna mdau kasema, dip. Unasomea ualim, degree anasomea elimu, tofauti kubwa sana hapo.
 
Wapo wenye Dip wasiomudu masomo kama ilivyo kwa baadhi ya wenye Degree, vilevile wapo wenye kumudu masomo na wenye maadili kwa ngazi zote hizo. Nina ushahidi wa wazi kabisa kuna jamaa anafundisha shule kubwa sana (ya serikali) hapa jijini Dar huyu jamaa ana Degree nilimuita tusaidiane kwenye kituo fulani jamaa akashindwa kabisa kudeliver wanafunzi wakamkataa lakini akaja mwingine mwenye Dip akapiga mzigo wanafunzi wakachanganyikiwa. Kifupi inategemea mtu amesomea chuo gani na alijituma vipi kusoma ili kuwa deep ukitegemea unachopewa na wahadhiri hakika utabaki na sifa tu kuwa una Degree ila ukipelekwa mbele ya wanafunzi kijasho kitakutoka
 
Usiandike usichokielewa ww,wizara ya elimu inapotoa post kuna watu wengi wenye degree ambao hawajapitia diploma wala certificate wanapangwa kuwa wakufunzi kwenye vyuo vya diploma,angalia post za mwaka jana waliopata post za kuwa wakufunzi.so msipende kujilinganisha na walimu wenu wenye degree
 
  • Diploma full stop.
  • tEACHING Methodology kiundani zaidi kuliko ngazi ya Degree
  • Ngazi ya Diploma Huwa wanafundisha mpaka aina za nguo anazopaswa kuvaa mwalimu awe she au me - Kitu HAIBA YA MWALIMU
Mi mwenyewe nilipitia monduli diploma. Aisee kuna tofauti kubwa. Japo sikufanya edu degree, ila nimeona kuwa diploma ipo juu sana kushinda edu degree
 
Kingine ni kwamba, content inategemea wewe mwenyewe. Haijalishi wewe ni diploma au degree.
 
Ujinga mtupu,yani walimu wa vidiploma nao ni wakujadiliwa humu kweli?
 
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!

Hapana mkuu,usisuse kwenda shule ingawa ulicho nacho unakiona kinatosha na hakina tofauti na degree.Bahati mbaya kwa nchi yetu walimu huwa wanafundisha majibu ya mtihani badala ya maarifa.Ungekuwa unafundisha maarifa ungetamani zaidi ya hiyo degree moja

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sizitaki mbichi hizi..! Polee, Kasome na master's diploma Ph Diploma ili uwe mzuri zaidi. Ujinga mtupu, huyo Diploma anafundishwa na Degree holder kumbuka. Afu next time anzisha mada zenye tija.
Mkuu, sio kuwa hatuzitaki mbichi hizi. Mimi mwenyewe nina diploma in education ila kwa sasa Nina Bsc.Mathematics. ila huo ndo ukweli
 
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.

Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)

Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)

Hakijaeleweka kipi?
Diploma and certificate are administrators while degree holder is a manager, kunatofauti kubwa kati ya manager na mfanyakazi, ndio maana kuna mdau kasema, dip. Unasomea ualim, degree anasomea elimu, tofauti kubwa sana hapo.

Wakubwa hapo kwenye red: nadhani mnachanganya mada ama mnachoongea na kumaanisha ni tofauti kabisa na wala hamkielewi na inawezekana kipo kinyume na maana yenu.
 
diploma ndio kila kitu mkuu ila nashaa sijui kwanini wizara inawabania ajira kwasababu zisizo na msingi eti sup what is sup?inamana kusup somo moja ndio kunakuondolea sifa ya uwalimu,mbona awali haikua hivyo!pia angalia muda wakufanya sup unavyokua mtefu mwaka mzima unakaa kitaa kusubili kufanya sup ukifanya unakaa tena mwaka mzima kusubili ajira,sasa kwahuyu mwalimu atakua mzuri kweli?wasomi nchi hii sijui wanafanya nin?inabidi sasa tuimgie mtaani tupinge lasivyo huyu kawambwa ataendelea kuweka visheria vyake visivyo zingatia taaluma ya ualimu,sasa tuseme basi watanzania tusiwe mabubu elimu inapotezwa na wanasiasa.
 
Diploma anasomea 'Ualimu'
Degree anasomea "Elimu"
kuna tofauti kati ya kusomea ualimu na kusomea Elimu! Sio wote wAnaosomea Elimu ni walimu! ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa TTC-Teachers' Training Colleges!! Na hao wa diploma wanafundishwa na wenye degree, ila mleta mada uko biased na huenda pengine una diploma na umekosa qualifications za kusoma hyo degree! #nenda kasome acha kulalama hapa!

Asante. Nilikuwa nataka kuyasema hayo nashukuru umeyasema.
 
Unajua unaweza ukawa umesoma kidogo kama mtoa mada ukakutana na wasiojua ukaona unajua kuliko wote.Kuna kitu kinaitwa 'fallacy'nadhani mmefundishwa mtoa mada kama sikosei maana inaonekana UNAJUA SANA.Izo fallacy zipo nyingi sana ila niongelee ambayo inahusika na mada yako,wewe una 'fallacy of generalization'yaani ukimuona rashidi ni mweupe basi unakariri kina rashidi wote ni weupe,inaonekana umekutana na wenye degree VILAZA kwaiyo kwa akili yako ukajua degree wote ni VILAZA.Asee dont be stupid MR jaribu kupanua akili yako zaidi kwa kwenda kusoma diploma ni ELIMU ndogo sana na unaitaji ELIMU acha kujifariji na mada za vijiweni zisizo na tathimini.Ukitaka kugundua unaowakashifu wana maana kuliko wewe waangalie ma lecturer wako wana nini,pia wapo wanaoongelea mavazi eti ooh diploma wanavaa vizuri,ilo inaweza ikawa sawa lakini kumbuka SHERIA ndio inawafanya wavae vizuri sio wanapenda,ukitaka kujua waangalie wakitoka maeneo ya kazi wanavaa hovyo weng wao.
 
Kumbe nyie wenye dip ndo wajinga ivo! Yani ata comments zenu za kitoto toto tu,eti unamcheka form six wakati upo form four,mtoa mada ur in a rubbish pit,kasome wewe acha kujifariji na maneno ya kizeezee na cheti chako cha dip' wanaojua wamenyamaza kimya,KIJANA HATA BOOM HUJAONJA UNAPIKIWA UGALI HUKO CHUONI THEN UNALETA DHARAU HAPA,ntakutandika swali nijue akili yako timamu au laa embu nambie umesoma masomo gani tupimane akili hapahapa tujiridhishe.
NIJIBU
 
Heee kwaiyo umewaona wotee eeeh! Kweli ulipata shida sana chuoni kuelewa unachofundishwa kama dip ndo wapo ivo majanga.
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
 
Ukihitimu au ukipewa?

nna wasi wasi hata huyo mkufunzi wako alipewa hiyo degree ndo maana umekuwa mwehu umekosa hata cha kupost na kuandika ujinga maana angehitimu angekusaidia hata wewe kuweza kuwaza na kutafakari vitu kwa undani kabla ya kuvinena!
 
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.

Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)

Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)

Umejibu vizuri sana mkuu
 
Shule binafsi wanaepuka gharama kubwa ya kuwalipa walimu wa degree, maana s/binafsi ipo kwa ajili ya profits
 
Nasoma BAED na diploma holders weng hawapo vizur hadi huwa najiuliza huko walikokuwa wanafundisha ilikuwaje? Dah! Sio ubaguz ila sipendelei sana kuwa group moja na diploma holders in Discussion coz wao wakutafuniwa tu (weng wao)
 
Dah? Ni administrator na manager wa vitu gani? sasa hapo mwalimu anakuwa nani? I mean mwalimu anakuwa ni mwenye level gani ya elimu - Cheti, Diploma ama degree?

Unahitaji elimu zaidi wewe, umeambiwa degree anasomea elimu na diploma anasomea ualimu, kitu kingine unanionesha kuwa hujui tofauti iliyopo kati ya administrator and manager, hapa ndipo tunapopishana. (Kwa lugha ya layman, administrator=mfanyakazi na Manager=bosi)
 
Back
Top Bottom