Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

degree kuna : classroom learning and pedagogy of teachers edn,edn media&technlgy,methodsof teaching (any of ur subject )
 
bold: ina maana taaluma ya mwenye diploma ni kubwa kuliko ya mwenye digrii?

blue: serikali na wanafunzi wanalalamika kuwa walimu hawatoshi. kauli hii naona inapingana na uhalisia wa idadi ya walimu(achilia mbali wenye digrii). kuhusu utendaji unaweza ukajikumbusha madudu ya kuitendaji, kisera na kimaamuzi ktk wizara ya elimu.

red: kwa mujibu wa uzi huu wanaotamba elimu yao ni wenye diploma, wakionyesha kuwa wao ni bora kuliko wenye digrii.

swala liangaliwe individually. mi ninasumbuliwa kila siku na wenye diploma niwasaidie hiki mara kile, sijui hao mnawachukuliaje?

Ndugu yangu Lilendi kwa mfumo tulionao sasa mwenye taaluma kubwa ni mwenye digrii (cheti bila kuangalia ufanisi)

Ni kweli kuna upungufu wa walimu lakini Sio katika shule zote za Kata Tanzania hivyo utofauti ulitakiwa uonekane katika shule zenye walimu wa shahada wengi lakini matokeo ni Yale Yale kama ambavyo shule zenye upungufu wa walimu yalivyo

Mwalimu ni mwalimu na ubora na uzuri wa mwalimu umeshapimwa kwa kuangalia cheti na ndio maana mishahara hatulingani ukweli unabakia mwalimu mzuri ni Yule anayetumia mbinu shirikishi, anayefuata maadili ya Kazi, anayejiendeleza kitaaluma na anayejitoa kikamilifu kwa manufaa yake binafsi, mwanafunzi, jamii na Taifa kwa ujumla

Mwisho Watanzania tumekuwa mabingwa wa kutoa lawama na kunyooshea wengine vidole na hatutoi jawabu na masuluhisho ya malalamiko yetu. Wizara ikiharibu mwalimu rekebisha katika ngazi yako huko ndiko kujenga na kuonyesha serikali haijakosea kuajiri wasomi maana tukiwa na wafanyakazi wasomi tunatarajia wanaweza kujisimamia (Reduce worker supervision)Matokeo yake tunaonyesha lazima tusimamiwe maana hatupendi Kazi, wavivu Nk(theory X and Y)

Ili hii nchi iendelee tunapashwa tufanye Kazi kwa bidii na kupunguza lawama ambazo hazina tija
 
degree kuna : classroom learning and pedagogy of teachers edn,edn media&technlgy,methodsof teaching (any of ur subject )

Ubora wa mwalimu unategemeana na uwezo binafsi wala si kiwango cha elimu alicho nacho. Diploma anaweza akawamzuri wa kutumia njia za kufundishia na zana kuliko degree holder japo si wote. Pia degree anakuwa na uelewa mkubwa wa mambo kuliko diploma holder. KWA nidhamu walimu wengi wa diploma wanahaiba kubwa kuliko wale wa degree, hii inatokana na wanavyoandaliwa vyuoni. Kujituma walimu wa primary wanajituma kuliko wa sekondari katika kufundisha na kazi zingine za ziada za shuleni. Walimu wa diploma wanajituma kuliko wa degree japo hawafiki kwa wale wa cheti. Kudai haki na kujiamini: walimu wa cheti na Daraja 3A,B na C ni woga wa kudai haki zao hata kama wanaonewa na waajiri au wakuu wao wa kazi. Diploma wanajikakamua japo wana ka uoga kidogo ka kusimamia wanachodai, wakipigwa mkwara kidogo wananywea! Degree holders wanamisimamo katika kudai haki, ukiajiri degree holders wengi kwa shule omela kazi unayo! Labda uwe perfect na fair kwa kila unacho fanya. Cheti na diploma ni cheap labourers na easily controlled teachers, kama unashule wajaze tu hao utakuwa umepunguza misuko suko ya maswali na challenges. Degree wape uongozi wanajitahidi sana katika ngazi ya shule hasa kama wanauzoefu. Hayo ni mawazo yangu na jinsi nilivyo wa study hawa walimu kwenye vituo vyetu vya kazi.
 
Kiukwel Hakuna Asiyependa Kuwa Na Degree Bt Maisha Humfanya Mtu Kwenda Degree Au Diploma! Ukipitia Diploma Ukaja Degree Utakubalika Sana Na Ni Rahisi Kupata Nafasi Mbalimbali Za Uongozi. Hakuna Haja Ya Kubishana Kt Ya Degree Na Diploma, Ukwel Unafahamika
 
Mwalimu wa dip kwenye haiba na nidhamu, wa shahada yuko vizuri kwenye content. Hata hivyo uwezo wa kuwapa content wanafunzi hutegemeana na mwalimu na mwalimu,unaweza ukawa unajua vitu lkn ikawa shida kumwelimisha mwanafunza.
 
Unachokisema ni kweli. Hii thread ni muhimu kwa wamilki wa shule binafsi, anaweza akapata vitu kutoka kwa wachangiaji vya kumsaidia.
 
Ndugu yangu Lilendi kwa mfumo tulionao sasa mwenye taaluma kubwa ni mwenye digrii (cheti bila kuangalia ufanisi)

Ni kweli kuna upungufu wa walimu lakini Sio katika shule zote za Kata Tanzania hivyo utofauti ulitakiwa uonekane katika shule zenye walimu wa shahada wengi lakini matokeo ni Yale Yale kama ambavyo shule zenye upungufu wa walimu yalivyo

Mwalimu ni mwalimu na ubora na uzuri wa mwalimu umeshapimwa kwa kuangalia cheti na ndio maana mishahara hatulingani ukweli unabakia mwalimu mzuri ni Yule anayetumia mbinu shirikishi, anayefuata maadili ya Kazi, anayejiendeleza kitaaluma na anayejitoa kikamilifu kwa manufaa yake binafsi, mwanafunzi, jamii na Taifa kwa ujumla

Mwisho Watanzania tumekuwa mabingwa wa kutoa lawama na kunyooshea wengine vidole na hatutoi jawabu na masuluhisho ya malalamiko yetu. Wizara ikiharibu mwalimu rekebisha katika ngazi yako huko ndiko kujenga na kuonyesha serikali haijakosea kuajiri wasomi maana tukiwa na wafanyakazi wasomi tunatarajia wanaweza kujisimamia (Reduce worker supervision)Matokeo yake tunaonyesha lazima tusimamiwe maana hatupendi Kazi, wavivu Nk(theory X and Y)

Ili hii nchi iendelee tunapashwa tufanye Kazi kwa bidii na kupunguza lawama ambazo hazina tija

mkuu, uko sahihi kwenye mambo kadhaa
bold: kuna makosa mengine ya wizara walimu hawawezi kurekebisha. wakijaribu kufanya hivyo wanaweza haribu zaidi au wakaonekana wamekaidi maaigizo ya mwajiri wao. mfano:
wizara ya elimu iliamua kupingana na maamuzi yake ya mwaka 2012 ya kuwataka wanafunzi wa kidato cha 2 waingie kidato cha 3 kwa kuchujwa kupitia mtihani wa taifa. kwa mwaka 2013 wakafanikiwa. mwaka huu wamebadili msimamo. watoto wote waliopata wastani wa alama 0-19 warudie mtihani, waliopata wastani wa alama 20-39 waendelee kidato cha 3 huku wakipata REMEDIAL CLASSES. tena manispaa inataka na ratiba ya hivyo vipindi. Waliopata 40 kuendelea waendelee na masomo kama kawaida.

maamuzi haya yameibua maswali mengi
1. remedial classes ya masomo ya fomu 3 au madarasa ya chini?
2. kama wanafunzi hao walikwama na hayo ya fomu 2, watafaulu wakiongezewa na hizo remedial classes(endapo hazitakuwa za fomu 3?)
3. je kuna mtihani wa kuwapima maendeleo yao kitaaluma kutoka NECTA?
4. Je kuna nguvu kazi na mazingira rafiki ya remedial classes kwa walimu na wanafunzi?
n.k
Mwalimu, kuna mambo walimu hulalamika bila sababu ya msingi sana lakini kwa hili utatatuaje mkanganyiko wa kimaamuzi na kiutendaji kama huu?

red:nchi hii inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno. najua ni usemi wa kukatisha tamaa lkn ndo ukweli wenyewe. angalia maslahi ya walimu na wafanyakazi wengine serikalini na mishahara ya wanasiasa!!!
 
HAYO ulioeleza kwa jina moja yanaitwa "INTEGRATION OF POLITICS IN EDUCATION".
 
Nafananisha hii na zle "ndizi mbichi" zilizomshinda sungura.!
 
Ukitaka kujua nani zaidi Angalia salary
nimemaliza.
SERIKALI INAJUA NANI KILAZA TUSIDANGANYANE.
 
Degree holders ni waelekezaji (policy makers and decision makers) Na dip and cert holders ni watekelezaji (implementers in the field)
 
[/COLOR]
mkuu, uko sahihi kwenye mambo kadhaa
bold: kuna makosa mengine ya wizara walimu hawawezi kurekebisha. wakijaribu kufanya hivyo wanaweza haribu zaidi au wakaonekana wamekaidi maaigizo ya mwajiri wao. mfano:
wizara ya elimu iliamua kupingana na maamuzi yake ya mwaka 2012 ya kuwataka wanafunzi wa kidato cha 2 waingie kidato cha 3 kwa kuchujwa kupitia mtihani wa taifa. kwa mwaka 2013 wakafanikiwa. mwaka huu wamebadili msimamo. watoto wote waliopata wastani wa alama 0-19 warudie mtihani, waliopata wastani wa alama 20-39 waendelee kidato cha 3 huku wakipata REMEDIAL CLASSES. tena manispaa inataka na ratiba ya hivyo vipindi. Waliopata 40 kuendelea waendelee na masomo kama kawaida.

maamuzi haya yameibua maswali mengi
1. remedial classes ya masomo ya fomu 3 au madarasa ya chini?
2. kama wanafunzi hao walikwama na hayo ya fomu 2, watafaulu wakiongezewa na hizo remedial classes(endapo hazitakuwa za fomu 3?)
3. je kuna mtihani wa kuwapima maendeleo yao kitaaluma kutoka NECTA?
4. Je kuna nguvu kazi na mazingira rafiki ya remedial classes kwa walimu na wanafunzi?
n.k
Mwalimu, kuna mambo walimu hulalamika bila sababu ya msingi sana lakini kwa hili utatatuaje mkanganyiko wa kimaamuzi na kiutendaji kama huu?

red:nchi hii inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno. najua ni usemi wa kukatisha tamaa lkn ndo ukweli wenyewe. angalia maslahi ya walimu na wafanyakazi wengine serikalini na mishahara ya wanasiasa!!!

Hapo ndipo nawashangaa wataalamu wetu waliopo Wizarani maana Mipango yao inabadilika badilika katika vipindi vifupi sana.

Napatwa na wasiwasi wamesoma wapi au ni Wale wenye vyeti bila ujuzi na maarifa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wengi wao wamepata vitengo bila ujuzi, baadhi yao wana ujuzi ila upepo wa kisiasa huwabadili maadili ya kiutendaji na kiutawala.

hapo hata ukiwa na elimu gani bado utamezwa na mfumo uliopo. utakuwa na mtihani wa kuchagua jambo moja kati ya haya:
1. to do what is good but not right
2. to do what is right but not good
3. to resign from your position( the most difficult option for the greedy to do)
 
Kaka unachosema ni kweli. Niliwahi kusema hapa jukwaani kwamba hata Prof Lipumba wakimpa uwaziri wa fedha hawezi akareta mabadiliko kwenye hii nchi. Nchi hii inawenyewe tena ambao hata shule hawana kwa kichwa ndio wana ikontroo kwa remote
 
Ucjdanganye u have to play your part kama mwalim no matter unadegree au la kuwa decision maker or implementer it depend na ww upo kitengo gan ,mfano naibu wazir wa elimu we unahic ana elim gan na amepew nafac gan na serikari?so unatakiw kujua pia wpo wadiploma na still ni mapolicy maker kk. Cha mcng kila mtu aplay part yke ili elim ikue kwa faida ya vizaz vijavy
 
Back
Top Bottom