Masumbuko r bilali
Senior Member
- Dec 27, 2012
- 158
- 35
degree mnaaibisha sana mnapokuwa field.
Hebu niambie umenizidi nini na BAED yako
nyie bishaneni turn Mimi tar 30,nachukua 510000 wakati dip unachukua 370000,Lakini pia walimu wa diploma hawako na ujasri huburuzwa name wakuu wehuuuuu.
Hata ungekuwa profesa kutoka Havard University ukienda kufundisha level isio ya kwako mfano kwenye shule ya msingi tegemea kuonekana less competent than mwalimu alieandaliwa kufundisha level hiyo, i.e. mwalimu daraja la IIIA atafundisha vizuri zaidi primary kuliko mwalimu mwenye masters, kama wote wawili wamepewa say darasa la tatu.
hivi ndivyo mtakavyoenda kujibizana maofisini! Kuwa na adabu kijana mwl wa degree ni sawa na mkufunzi aliyekupatia hiyo diploma!
Mimi nimesoma diploma na baadae nikaenda degree so usilete dharau degree wanamaarifa kukuzidi! Najua unaweza ukabeza ila tutakutana kazini. Walimu wa diploma hata kuandaa examination blueprint ni mgogoro yaani mtoto wa kidato cha kwanza unampa maswali asilimia sabini ya thesis na application!! Halafu akifeli unamchapa, halafu unajiita teacher by professional!
Diploma kusimamia nidhamu ya mavazi nawapa asilia zote maana walimu wa degree hivyo si vipaumbele vyao!
All in all tutakutana nyanjani tutajua nani ni nani!
degree kuna : classroom learning and pedagogy of teachers edn,edn media&technlgy,methodsof teaching (any of ur subject )
hivi ndivyo mtakavyoenda kujibizana maofisini! Kuwa na adabu kijana mwl wa degree ni sawa na mkufunzi aliyekupatia hiyo diploma!
Mimi nimesoma diploma na baadae nikaenda degree so usilete dharau degree wanamaarifa kukuzidi! Najua unaweza ukabeza ila tutakutana kazini. Walimu wa diploma hata kuandaa examination blueprint ni mgogoro yaani mtoto wa kidato cha kwanza unampa maswali asilimia sabini ya thesis na application!! Halafu akifeli unamchapa, halafu unajiita teacher by professional!
Diploma kusimamia nidhamu ya mavazi nawapa asilia zote maana walimu wa degree hivyo si vipaumbele vyao!
All in all tutakutana nyanjani tutajua nani ni nani!
siku diploma mkirudishwa primary ndo mtajua kusoma ni muhimu
Watu wa degree walichomzidi mwalimu wa diploma ni awareness sababu dip mnafundishwa nidhamu ya uoga na ndo maana wengi wenu ni waoga kama kunguru hata kwenye haki zenu za msingi kabisa. Ukiachilia mbali hilo kwenye competence hakuna tofauti yoyote ile..
kwel wasomi now days ndo mnaonekana mambulula kweli daah nimepitia text zote hapo naona bora nimtafute mtoto wa primary nipge nae stor tu coz huku n matapishi matupu. andaaeni njia za ku make money cyo kujitambia ufala.
Hapo unaongopa mkuu, kumbuka kuna kitu chaitwa ,reserch, mesurement and Evaluation, ktk diploma!. Kuna vitu kama Test construction, na vitu kibao, mmh test reliability and test validity!. Ko jenga hoja nyingine, pia mambo haya yapo ktk Curriculum an Teachng, na pia katika pedagogy ya kila teaching subject,,
Walimu hamna umoja jaribuni kujifunza hata kwa madereva wa magari wakiamua kitu hata Serikali inapiga magoti.
Mmebakia kujisifu visomo vyenu wakati haviwasaidii chochote, mnanyonywa na Serikali kiasi wanachotaka wenyewe mkitaka kugoma mnapigwa zuio la Mahakama pamoja na kufuata taratibu zote za migomo kiwapi kisomo chenu. Hata madereva wasiokuwa na hiyo Diploma unayoidharau juzi wameonesha mfano wa mshikamano na wameshinda.
Ukimdharau mwenzio wa Diploma kwa kuwa una Degree tena ya Ualimu huo huo nini kinafuata kama sio na wewe kudharauliwa na Degree za Fani nyingine. Unadhani kamshahara ka mwalimu wa Degree kanafanana na Degree ya Mchumi, Muhandisi, Madini na Miamba, Uhasibu, Procurement, Urubani, IT nk. Hapo sijaongelea posho za ndani ya mwezi, safari, warsha/semina na sio kimshahara cha mwalimu mwezi mpaka mwezi au la uwe na tuisheni ambayo nayo serikali ilishavipiga marufuku. Walimu badilikeni mnatia aibu, kuweni wamoja mpate haki yenu.
money and status