Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Hata ungekuwa profesa kutoka Havard University ukienda kufundisha level isio ya kwako mfano kwenye shule ya msingi tegemea kuonekana less competent than mwalimu alieandaliwa kufundisha level hiyo, i.e. mwalimu daraja la IIIA atafundisha vizuri zaidi primary kuliko mwalimu mwenye masters, kama wote wawili wamepewa say darasa la tatu.
 
kwa mbinu za kiualimu diploma yupo poa zaidi.Ila knowledge digrii anaweza zaidi.
Mimi na pointi kumi advance nilianzia Diploma ya Kasulu kwa Mbonigaba then nkapga digrii Udom ila kiukweli ktka hii fani nikp poa zaidi na hilo naliona coz nshapga usaili km mara nne shule za private hapa dar na watu ibao ila zote naitwa.
Juzi nimepga zile za tume ya ajira kati ya watu 11 nimekuwa wa kwanza katika Written interview.ila all in all mbinu za ualimu najivunia diploma ndo nilikozipata kwa digri hilo halipo maana darasani mnajazana sana hasa vyuo vya serikali.wahadhiri hawana muda wa kufafanua.
Ndo maana wanaoenda degri wakiwa fresh from school wanaweza maliza miaka 3 bila kujua kuandaa hata leson plan ipasavyo.

Hata serikali inalitambua hilo, ndio maana ma-REO wengi ni wale walioanza na diploma and then wakasomea degree kama wewe. Wachache sana ni fresh from A-level to degree.
 
walimu wanaoajiriwa mwaka huu...ngazi ya cheti wapo elfu 17 , diploma wapo elf 5 na degree wapo elf 12... hii ina maanisha nini??
 
Mwanzilishi wa dada hii ni vyema akafanya utafiti kwanza kabla ya kusema jambo'no research no right to say',mfano,vigezo vyote alivyosema havina mashiko hata kidogo.
 
I don't see the reason to, why we should bother our own brains just discussing nonsense matter like which is which or who is who. At the end you will conclude all are teachers. Be it masters, degree, diploma, phd, certificate or whatever , you must be able to teach primary level. Thats a requirement the educational curriculum would like you to have. I close the session...ok?
 
  • Thanks
Reactions: SJA
Kweli kuna haja sekta ya elimu ikawekewa vyeo kama jeshini na vikawa na sare kwa kila mwalimu wa daraja husika ili tuheshimiane na kupigiana saluti. Mwalimu mwenye elimu ya cheti avae kaptula jeusi na shati jeupe lenye alama Grade "A" T mabegani, mwenye diploma avae suruali jeusi shati jeupe lenye mikono mirefu na liandikwe Diploma holder Teacher (DHT), wenye degree wavae suruali za kijivu na mashati ya pinki mikono mirefu yaandikwe began Degree Holder Teacher(DEHT), wahadhiri wavae nguo zozote ila ziwe na alama mabegani ikionesha elimu na cheo chake mfano: dr. John dean of coed, prof juma principal coed etc. Hapo tuta eshimiana kama wanafunzi wa sekondari wanavyo vaa suruali wakati wa msingi wakivaa makaptula. Pia mbona manesi wana uniform zinazo alamisha vyeo why not for teachers?

diuuh!
 
mtu anaenda diploma maranyingi wengi uwa awanasifa za kwenda digrii wanakua na E na S ambayo aimruhusu kula boom
 
MAJIBU.....
Nitafurahi mkifuata ushauri wangu.
fungua ac NMB bank branch iwe jirani na
halmashauri/ manisipaa ulikopangiwa, hii
itakusaidia endapo kutatokea tatzo kwenye
mshahara wako inakua rahsi kuprocess na mara
nyingi ikitokea tatzo unaambiwa kalete bank
statement ama nenda kaulize benki hivo kama ipo
jirani na ofisi ya halmashhauri ako inakua simple
kusolvika haraka.
lingine mishahara nmb inawahi 4 days before other
banks
lingine ukipewa pesa ya kujikimu ni rahsi cheque
kua procesed mapema within a day hii inatokanna
na cheque hyo kua from nmb to nmb...but kama
unapeleka other banks na upo ktk mkoa ambao
BOT haipo cheque hyo itachukua more than 8days.
lingine mikopo na interest rate zao ni simple na
ndogo respectvelly .
Kumbuka kufungua CHAPCHAP ac kwani ina zero
charges na kufungua ni ndani ya nusu saa unakua
na atm yako.
Pia kama una ac in other banks bado utalipwa
stahki zako zote but utapata changamoto hzo hapo
juu.
Ikitokea unataka kubadlisha ac inawezekana pia
but inahakikisha umemtarifu hr wa LAWSON
 
hakuna mnachokifanya hapa pigeni kazi mpate kipato vijana longolongo hazna maana tatzo cyo level ya elimu tatzo ni maarifa ya kutafuta money. over .hv vismartphone vinawapotezea muda kujadili kisichokuwa na faida cku ya cku hakuna lolote.
 
Hebu niambie umenizidi nini na BAED yako

hivi ndivyo mtakavyoenda kujibizana maofisini! Kuwa na adabu kijana mwl wa degree ni sawa na mkufunzi aliyekupatia hiyo diploma!

Mimi nimesoma diploma na baadae nikaenda degree so usilete dharau degree wanamaarifa kukuzidi! Najua unaweza ukabeza ila tutakutana kazini. Walimu wa diploma hata kuandaa examination blueprint ni mgogoro yaani mtoto wa kidato cha kwanza unampa maswali asilimia sabini ya thesis na application!! Halafu akifeli unamchapa, halafu unajiita teacher by professional!

Diploma kusimamia nidhamu ya mavazi nawapa asilia zote maana walimu wa degree hivyo si vipaumbele vyao!

All in all tutakutana nyanjani tutajua nani ni nani!
 
Nimesoma Diploma2008 na mwaka 2011 nikaanza degree na kugradute 2014.Najuta kupoteza mda wangu pale Marangu ttc miaka2.Najua sana teaching methods ila content kiasi. Uhondo wa ngoma uicheze. Mtoa mada kasome degree afu uje utoe uzi. Shikamoo jiwe la Bongo
 
Sa ivi niko deep usbonyeze bali dip kwa upande wangu nilikua shalow hata huna confidence ya kukata na shoka class. Afu dip hakuna boom unakula ugali na maharage. Nilichukia sana hii issue. Hata kama una haiba Afu huna content ni uzushi man
 
siku diploma mkirudishwa primary ndo mtajua kusoma ni muhimu
 
Back
Top Bottom