Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Asalaam-3aleykum WW.. My kind greetings with best wishies daima yawe katika maisha yako na familiya yako pamoja na umma wote, ndugu mpendwa, kama ulivyo sema teachings from the highest sources kweli ni muhimu yafuatwe, Between me and you tunaweza kuelewana haraka lakini hakuna garantti baina yako na rafiki mwingine japo tumetoka shule moja! hizi ni hulka na tabia za kibinaadamu, Ndo maana ikaletwa Khutba na Sallat ya ijumaa (friday cermon) ili tuwe tuna kumbushana na kupewa unyo,Tahadharisho, mafunzo,udugu (inama al-Muuminina akhwa' THAT THE BELIEVERS ARE BROTHERS) huruma, upendo nk, ili kujenga imaani ya hali ya juu na hata katika shughuli nyingi utaona kianzio ni kukumbushana/kushirikiana mema na kukatazana maovu. hapo huwa kila mtu anakuwa mtiifu sana , La Ajabu
baadaye mtu huyo akiingia kwenye harakati na pirika za kidunia hubadilika na kurudi kuendekeza yale ya kishweitani!!
hapo sasa ndo kwenye utata na sintofahamu...insikitisha kuona wachache wanachafua taswira za waliyo wema na wazuri kiimmani. "asta-gh-firruaLLah " Lakini ndugu yangu mkarimu hayo ndo ya dunia mja kaumbwa na matamaniyo na maovu na kiburi na dharau ndiyo maana tukaitwa '" INSAAN" YAANI msahauji tunasahau sahau tukikumbushwa tuinatii na baadaye ovyo!! hapo tuombe tupate mwisho mwema . kila la kheyri na baraka juu yenu.amin
.....wa alykum salaam kaka yangu...!uko sawa ktk ulilosema...ni elimu kwa kila anaefuatilia mchango wako ktk makala hii..bahati mbaya , tumejiachia sana kiimani. (sisi wenye kuamini ktk uislamu)...nahofia ni kama hatusomi, na kwa sababu hiyo, qur'an tumeishusha kazi yake na kubakisha, 1. tukikariri aya zake tukufu, bila kujua ujumbe, na mafundisho yake matukufu, 2.kughani kile tulichokikariri pasina kujua maana yake...! badala ya kuisoma katika namna ya kuielewa na kuifahamu ili iwe muongozo sahihi, kama ilivyopaswa kuwa, wa maisha yetu, baina yetu sisi wenye kuiamini, na wasioamini kama sisi..!alhamdullillah..ni dunia..! lkn still ukweli lazima tuufate, kwa sababu, kuufata ukweli ni uongofu, na ni ibada..! stay blessed bro!..allah (swt) guide and guard u, u r family, and all of us insha allah...again repect..! salaam alykum!
 
Haihitji tafakuri ya kina tena kutuma uzi au kutoa mawazo yako ndani ya jamii forum , Ndio, wala huihitaji kufanya utafiti, sasa unachotakiwa kufanya ni kutuma uzi wowote wenye uelekeo wa kibaguzi hata kama Historia iko wazi inafahamika, Hivi ni kweli mleta uzi ameshindwa au hajasoma kitabu cha Walter Rodnney " How Europe underdevelop africa" na kuona ni namna gani Wazungu walivyo wachukua waafrika kwa mamilioni na kuwapeleka kuwatumikisha kwa mateso na ukatiri mkubwa Maerekani? au hata hakupata kusikia hotuba ya Rais wa Uganda Museveni kwa juzi tu katika halfa ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika akiwalaumu mababu zetu kwa kuhalalisha na kushiriki moja kwa moja katika biashara ya utumwa na hatimae ukoloni { machifu}? siamini kama mleta thread hayajui hayo , Kuna mchangiaji mmoja anasema waafrika hawapo wengi Arabuni eti kwa kuwa walikuwa wana hasiwa hata kama ni ukweli uchache wao haitokanani na sababu hiyo bali ni ukweli kwamba Bara Arabu lilikuwa linnapokea watumwa wachache sana wa shughuli za ndani { domestic slaves} kwa vile hakufikia hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi.
Inashangaza kwa mtu kuacha kulaani kitendo cha mamilioni ya watu weusi waliotoswa baharini na wakaachwa kuwa chakula cha samaki na kulaani kitendo cha kuhasiwa, watu hawa wanaona kuhasiwa ni kubaya zaidi kulikokutolewa uhai { kichekesho}.
Hayo yote hayakatai ukweli kuwa waarabu nao { sambamaba na machifu wetu} walihusika na biashara ya Utumwa lakini tutajigeuza ghala la kicheko kama tutawashitaki wa Oman kwa Biashara ya Utumwa na kujiacha sisi wenyewe na zaidi kuwaacha wazungu. Narudia tena ni bahati mbaya sana mijadala humu jf sasa imetekwa na ukereketwa wa kidini kuliko tafakuri na kugeuza kila mjadala ni wa kristo na waislamu , ni jukumu letu la ki Historia sisi ambao hatufungamani na fikra hizo mgando kuitetea Historia. " HISTORICAL FACTS DOES NOT SHAY OF OR SCARES RELIGION OR RACE , ARE THERE FOR EVERY ONE TO SEEN"

well said!!anaonekana jamaa hajawah kumsoma walter roddey jinsi alivyodadavua ushenzi wa wawazugu dhidi ya bara zima la africa sio tanaznia tu!!
 
mleta mada hajakosea hata kidogo. Amezungumza 'biashara ya utumwa' na uhusika wa oman. Hajasema 'wazungu ' walikuwa ni wakoloni bora la! Kama unadhani unataka kuanzisha thread ya ukoloni wa 'kiingereza na kijerumani' uhuru unao!

wazungu pia walifanya biashara ya watumwa inayoitwa triangular atlantic slave trade ambapo walichukua watumwa mamilioni na kwenda kuwalimisa kwenye plantations zao kule carribean na new world( america) soon after discovery of america by christopher columbus!!

Millions of Africans were inslaved and forced to work for europeans!!..mwarabu nae alifanya biashara ya utumwa na watumwa wake walikua wanatumika as domestic workers lkn mzungu alifanya biashara ya utumwa na aliwalimisha sn waafrica na hatimae sisi waafrika tukawa chanzo cha kuiendeleza ulaya na marekani!

So mm nawalaumu wote,waarabu na wazungu wote wameifanya biashara ya utumwa na wanastahili lawama!
 
.....wa alykum salaam kaka yangu...!uko sawa ktk ulilosema...ni elimu kwa kila anaefuatilia mchango wako ktk makala hii..bahati mbaya , tumejiachia sana kiimani. (sisi wenye kuamini ktk uislamu)...nahofia ni kama hatusomi, na kwa sababu hiyo, qur'an tumeishusha kazi yake na kubakisha, 1. tukikariri aya zake tukufu, bila kujua ujumbe, na mafundisho yake matukufu, 2.kughani kile tulichokikariri pasina kujua maana yake...! badala ya kuisoma katika namna ya kuielewa na kuifahamu ili iwe muongozo sahihi, kama ilivyopaswa kuwa, wa maisha yetu, baina yetu sisi wenye kuiamini, na wasioamini kama sisi..!alhamdullillah..ni dunia..! lkn still ukweli lazima tuufate, kwa sababu, kuufata ukweli ni uongofu, na ni ibada..! stay blessed bro!..allah (swt) guide and guard u, u r family, and all of us insha allah...again repect..! salaam alykum!
Kuja kwa ujio mwema, malipo yake huwa mema zaidi na mashkuraa. Ahsante kakaangu mkarimu ulonena ni mazito na yenye fadhila za kiimani; hakika la kuongezea hapa ni kujua huko tuendapo tumejiadndaa vipi? na tumejenga kivuli cha namna gani? kwa mwangalio huu tunatambua kuwa PEPO ni bidhaa yenye thamani kubwa na ni ghali, mtu kuipata ni lazima ajitume na aihangaikie kama vile hapa Duniani ( ukitaka kutalii km😀isney world au majuu itakubidi uchume juani ili ukatembelee huko na ikiwa hauna uwezo basi hutatembelea huko.) ni kufuata taratibu za ibadaa na kujikimu kiimani ili upate kukubaliwa matendo yako na 3amali zako njema "good deeds" ili ufanikiwe kuingia pepo ya kiwango cha juu (firdausi) na kuishi hapa Duniani kwa uhai mzuri wenye amani. Sasa ni wachache watakao weza kuupata USHINDI huo " min al-Faizin " kufuzu sii rahisi hata Mfalme au Mkuu hawatajaaliwa kunyakua TUZO hilo pasipokuwepo amali njema, acceptence za Moula mwenyewe. Ndo maana ukaona kuna waja (watu wema) waungwana wachache sana kufahamiana japo idadi ya waumini ni wengi lakini it is Quantity na sio Quality. Kwa mtazamo mwingine tunashuhudia yanayo wasibu mabaya watu hapa, Na hapohapo (same time) pia tunashuhudia MwenyEezzi mungu humwaga Neema na baraka zake kwa watu wema na hayo ndio yake moula amhidi amtakaye na amdhalilisha amtakaye. Ndugu yangu sina la kujisifu ila nakusifia your honor to blessed with paradises.amin
 
Sultan said sayid aliehamishia makao yake zanzibar mwakA 1840 kutoka Muscat hakuwa muoman? Na unajua ukoron unekuja lin? Africa? Unajua kuwa waarab walikuwa wakiendeleza biashara ya utumwa kabla ya mzungu kuja? Unajua kuwa biashara ya utumwa ilifungwa mwaka 1873 lkn masultan wakawa wanaendelea tu kuwatoboa ankle ndugu zetu? Sasa sjui wamekup nn hao jamaa had useme wa oman hawakuendesha biashara ya utumwa bongo.

Soma vizuri comment yangu, hakuna mahali nimesema kuwa mwarabu hakufanya biashara ya watumwa,mimi naijua sana historia siwezi kamwe kusema kuwa waarabu hawakufanya biashara ya utumwa na nayajua sana madhara ya biashara ya utumwa.Kwa taarifa yako km wakenya wamelipwa eti kwa kuinyanyaswa na wazungu sasa waliouzwa si ndo watalipwa zaidi.Cha mhimu ni kujipanga tu basi maana zinaweza zikalipwa wakala watu ambao hata hawajui kama Bagamoyo kulikuwa na soko kuu la watumwa waliokuwa wakitokea maeneo ya Bara kuanzia kule ujiji Kigoma
 
well said!!anaonekana jamaa hajawah kumsoma walter roddey jinsi alivyodadavua ushenzi wa wawazugu dhidi ya bara zima la africa sio tanaznia tu!!

Mkuu tunaweza kuwashtaki Oman kwa biashara ya utumwa?
 
Mkuu tunaweza kuwashtaki Oman kwa biashara ya utumwa?
Mkuu uzima wako kwanza, pili suali kuwa nani aliyekuwa mpinzani wa Sultani kwenye Utumwa unaosema huo yaani alikuwa na adui gani? Kwani kila utawala una wapingaji maarufu km: Abdalla maji maji na Mkwawa na wengine Enzi zao...!Omani waliitwa na wenyeji wa kusini waje kuwagomboa kutok kwa wareno unajua hiyo na kilwa ikazaliwa!!
 
I hate Arabs! They treated our grandfathers like animals.. F•ck demmmm
Nijulishe nani alikuwa akimpinga Mwarabu alivyokuwa aki TREAT (as u said)babu yako...Wewe ni muongo huna babu wala huna bibi!! Hao walokuandikia kitabu ulichosoma walisahau kuweka maadui wa waarabu; Tungewajua akina nani hao? hapo tungewaenzi kuwa ni mashujaa!! Wee baki na kifo za chuki zako!!
 
Wa Seng ee wote wameikimbia thread hii baada ya kuonyeshwa Mabwana zao walifanya nini!! Asante Mkuu Cibrat Shukraani na heshima kwa kuwatimuwa Wajinga!!
 
kweli yafaa tuwashta hawa waoman!!! sisi magoyim wazungu walitupa pipi hivo tusiwaguse!!!!!wazungu walituuza kama mafungu ya mihogo...lakini wao ni mabwana zetu...waraabu washenzi..tusiwaacheee!!!!!!!! hakika hawa wazungu wazuri walitangaza tenda kutununua kama maembe.. au kuku wa kienyeji...kweli hawa ndio marafiki zetu...tunawapenda...kama
congo%2Bwhite%2Bwoman%2Bacting%2Ba%2Bfool.jpg
hakuna raha kama kumbeba mzungu.....wazungu walitupiga mnada...but wabaya waraabu.....tuwadai fidia....wazungu huwa wanatupa vyandarua...tunashangiria wanapokuja....huwa tunakenua....mpaka jino la mwisho....mnada mwengine..... na walokimbia....zawadi kwa ataekamatwa... fungukeni macho....hata Bob MARLEY mbwia bangi basi aliimba kuwakumbusha watumwa wenzake.....Emancipateyourself from mental slavery,None but our self can free our minds.....alkua anaimba dhidi ya akili finyu ya kuwaona wazungu ni miugu na jamaa zake kuwa watu wa yes man....na kuendelea kuwa masikini....maisha.......hivo ni wao wenyewe wataweza kuwa huru...lakini kama kama kupenda huku wazungu wana bahati sana kwa waafrika....ndio maana dhahabu gasi madini mengine tunawapa kwa bei ya vyandarua....na aliwahi kusema Babangida kumwambia Mandela asiwe rais wa wazungu waafrika ndio waliopata shida..ya utumwa..Sowete njaa tupu...
SALAAM ZENU mumeona hiyoooo!!Pelekeni kwa Mabwana zenu mukaiumbueee!! Jahanamu inawangoja kwa kuzusha UONGO.
 
Nini chanzo cha ma black kujikuta america,haiti,jamaica?nani aliwapeleka huko wa africa wenzetu nae tumfungulie mashtaka
Waarabu waliwauza weusi huko na waliosalia wakawahasi ili wasizae na mabinti wao. Nahisi wakike waliwafanya mambo ya siku hizi tu hivyo hatukuti weusi wengi arabuni kama ilivyo Marekani na visiwa unavyosema wewe.
​
 
...hakika ni thawabu kama unavyosema...lkn kwa ambae hatambui kosa lake, na kuomba msamaha utamsamehe vp? wao wakoloni wa kiarabu, "kwa jinsi walivyo" wangemsamehe "mkushi", iwapo ye mkushi angekuwa amewatendea ufidhuli huo, na hajalitambua kosa lake na kuwaomba msamaha?....msingi wa kimya cha "mkushi" (sisi weusi wa afrika, kiarabu aswad) juu ya madhila ya utumwa ni imani yetu thabiti kwa mawlana.... basi! nothing less nothing more...!

Kibaya zaidi wakawahasi wasizae(wakawafanya mahaksai) wanawake wakawaingilia kwa nguvu mbele nyuma (eti ni sunnah). Bado Osama Bin Laden akaaja kuongeza idadi ya kuwamaliza weusi 1998.
 
Haya sasa;Ngoma Inogile.Sultani Barghash alikuwa Mzanzibari.Hili ni Somo Jipya kwangu.

Historia inatwambia kwamba yeye na ndugu zake walizaliwa Zanzibar. Hilo siyo somo jipya jaribu kupitia madaftari yako.
 
HAO UNAOWAITA ASWAD NDIO HAO WANAOTAWALA SAUDI ARABIA.Lazima tujijue kwani propaganda ni nyingi. Ni Wazanzibari walio ikataa biashara ya utumwa baada ya kuona namna ndugu zao wakihiliki na hiyo omani hq yake ilikuwa zanzibar. Lazima tuijue historia. Tippu Tip alikuwa mfanya biashara kama ni watumwa, tujilaumu wenyewe kwa sabau tuliuzana kwa kin Tippu tip. Viongozi wetu waafrika ndio waliotuuuza.
 
kweli yafaa tuwashta hawa waoman!!! sisi magoyim wazungu walitupa pipi hivo tusiwaguse!!!!!wazungu walituuza kama mafungu ya mihogo...lakini wao ni mabwana zetu...waraabu washenzi..tusiwaacheee!!!!!!!! hakika hawa wazungu wazuri walitangaza tenda kutununua kama maembe.. au kuku wa kienyeji...kweli hawa ndio marafiki zetu...tunawapenda...kama
congo%2Bwhite%2Bwoman%2Bacting%2Ba%2Bfool.jpg
hakuna raha kama kumbeba mzungu.....wazungu walitupiga mnada...but wabaya waraabu.....tuwadai fidia....wazungu huwa wanatupa vyandarua...tunashangiria wanapokuja....huwa tunakenua....mpaka jino la mwisho....mnada mwengine..... na walokimbia....zawadi kwa ataekamatwa... fungukeni macho....hata Bob MARLEY mbwia bangi basi aliimba kuwakumbusha watumwa wenzake.....Emancipateyourself from mental slavery,None but our self can free our minds.....alkua anaimba dhidi ya akili finyu ya kuwaona wazungu ni miugu na jamaa zake kuwa watu wa yes man....na kuendelea kuwa masikini....maisha.......hivo ni wao wenyewe wataweza kuwa huru...lakini kama kama kupenda huku wazungu wana bahati sana kwa waafrika....ndio maana dhahabu gasi madini mengine tunawapa kwa bei ya vyandarua....na aliwahi kusema Babangida kumwambia Mandela asiwe rais wa wazungu waafrika ndio waliopata shida..ya utumwa..Sowete njaa tupu...

Duuuu wazungu washenzi sana
 
Mkuu uzima wako kwanza, pili suali kuwa nani aliyekuwa mpinzani wa Sultani kwenye Utumwa unaosema huo yaani alikuwa na adui gani? Kwani kila utawala una wapingaji maarufu km: Abdalla maji maji na Mkwawa na wengine Enzi zao...!Omani waliitwa na wenyeji wa kusini waje kuwagomboa kutok kwa wareno unajua hiyo na kilwa ikazaliwa!!

we Kiazi,Kilwa ilizaliwa baada ya oman kusaidia watu wa kusini kutoka mikononi mwa Wareno?! we ni Shia au Suni,manake ndo utambulisho wako,sababu historia yako huijui na wala hujitambui,infact wewe ni bure kabisa.
 
Kwa nini unatumia past tense? Biashara ya utumwa inaendelea mpaka leo. Hujasikia huko Uarabuni sokomoko la wafanyakazi wa Kifilipino kunyang'anywa passport zao na waajiri wao?
Labda watueleze watu waliofika Uarabuni. Nasikia it is a common sight,kuona kundi la watumwa[Black slaves,Watanzania wapo] wanakuja sokoni kufanya shopping for their masters.
Did you know kwamba jina abeid lina maana mtu mweusi,na pia mtumwa.

Abeid, ikiwa unamaanisha linatokana na neno "Abd" ni "miss-conception" ya wengi kuwa lina maana mtumwa. "Abd" ni "servant", kwenye Qur'an mara kadhaa mtume Muhammad amekuwa addressed as "Abd", ikimaanisha servant tena obedient servant. Mtumwa hufanya kazi kwa kulazimishwa in contrary "servant" hufanya majukumu yake kwa mapenzi.

Abd, unalisikia kila kila siku Waislaam, haliishii kwa "Abeid", Jee unawajuwa au umeshaawahi kuwasikia Abdul wangapi?

Kwa hayo, Abeid anaweza kuwa wa rangi yeyote yule, na unaweza tembelea miskitini ukawaone wale wanaorukuu na kusujudu, wapo wa rangi na mataifa tofauti na wote hao ni ma Abd "abeid", Ibadi-Lllah. Servants wa Mwenyeezi Mungu.

Wote hao ni Abeid na haimaanishi mtu mweusi kama ulivyojazwa "ujinga wa ubaguzi".

On the other hand, maneno yenye roots za mtu mweusi na tunayoyasikia mara kwa mara ni pamoja na "Sued", "Swedi", "Saud", "Sudan".

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Wewew unaongea kuhusu elimu ya library. Watu wamekwenda Uarabuni,wamesikia abeid inatumika kwa maana mbili;mtu mweusi anaitwa abeid,mtu mtumwa anaitwa abeid.
 
we Kiazi,Kilwa ilizaliwa baada ya oman kusaidia watu wa kusini kutoka mikononi mwa Wareno?! we ni Shia au Suni,manake ndo utambulisho wako,sababu historia yako huijui na wala hujitambui,infact wewe ni bure kabisa.
Mkuu, Umeamkaje asubuhi ya leo, neno Kilwa ni "KERO" wageni hawkujua wakaita kilwa "kilwa" Mkuu tafuta,uliziya usome
au tuongozane nikakusute huko? halafu mbona unachemka tuliya upoe kijana. wote tuna midomo mie sitaki kukukimbiza humu twende taratibu tutafika, okay lete historia yako ulosoma. kama bado upo!
 
Wewew unaongea kuhusu elimu ya library. Watu wamekwenda Uarabuni,wamesikia abeid inatumika kwa maana mbili;mtu mweusi anaitwa abeid,mtu mtumwa anaitwa abeid.
quote_icon.png
By Andrew Nyerere
Kwa nini unatumia past tense? Biashara ya utumwa inaendelea mpaka leo. Hujasikia huko Uarabuni sokomoko la wafanyakazi wa Kifilipino kunyang'anywa passport zao na waajiri wao?
Labda watueleze watu waliofika Uarabuni. Nasikia it is a common sight,kuona kundi la watumwa[Black slaves,Watanzania wapo] wanakuja sokoni kufanya shopping for their masters.
Did you know kwamba jina abeid lina maana mtu mweusi,na pia mtumwa.
Wandugu habari za asubuhi hii, Baada ya kukusalimia Ujio wangu mwema kwa jamii na wanajf, Kwa uhakika na ukweli najibu masuali uliyouliza:- Mfanyakazi huisalimisha Pasiport yake kwa Muajiri wake, Naye (worker) hupewa Residnt-permit
yakumtambulisha kuwa ni halali kuishi na kufanya kazi nchini humo. Sasa ujue kwakuwa huko Uarabuni huwa wanaachaga Mali zao na Maduka yao na Soko zao wazi hata nyumba zao open bila kufunga katika nyakati za ibadaa hivyo AMANI na USALAMA na UAMINIFU unatanda kwa jamii na wananchi humo. Sasa kwakuwa hao wageni kuja kufanya kazi nchini humo wamekuja na tabiya zao (mwenendo wao) za uporaji na WIZI wa kutumia nguvu na kunyanganya mali za wenyeji, Ndiyo maana Serikali ikaamua kuweka Paspoti za wageni kama rekodi na rehani. Okay Lingine kwa kuwa Nchi zao zina mali/Utajiri na Petrodola wamefikiwa na watu (wageni )kutoka pembe zote za dunia. Kumekuwepo na kazi za kila aiina.... Kweli wapo Wazungu,waAfrika,wAsia,waarabu wenzao ( UN inashuhuda mataifa yote kuwepo) kwa hiyo hapo ni fedha ndiyo inakutuma na kujikuta unafanya kazi ya nama yako!! Ulimwengu wa sasa hakuna, akataae pesa Siunaona watu huuza mwili nyie mnawaita "makahaba" nk. Hata humu TZ nchini Tunawatumia wanyonge kwa masilahi yetu "UTUMWA MAMBO LEO" au Siyo?
Kuhusu jina la Abeid maana ingine ni " Mja" Mungu huita kiumbe chake "mja wangu" na kama alivyokueleza kwa kirefu Mh.ZOMBA.
Nafikiri umeelewa mkuu, kama una lingine mie nitakuwa na furaha kukuhudumia 24/7. kila la heri...
uzoefu miaka30 midlest.
 
Back
Top Bottom