Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Mkuu, Umeamkaje asubuhi ya leo, neno Kilwa ni "KERO" wageni hawkujua wakaita kilwa "kilwa" Mkuu tafuta,uliziya usome
au tuongozane nikakusute huko? halafu mbona unachemka tuliya upoe kijana. wote tuna midomo mie sitaki kukukimbiza humu twende taratibu tutafika, okay lete historia yako ulosoma. kama bado upo!

Hivi unavyoandika kilwa ilizaliwa baada ya oman kuwasaidia watu wa kusini kutoka kwa wareno unauhakika?
 
very argumentive statement, i support this move, watulipe aisee, haiwezekani wachukue babu zetu na utajiri wetu, halafu wanataka tena kuja mara ya pili...imetosha mkuu
 
Hivi unavyoandika kilwa ilizaliwa baada ya oman kuwasaidia watu wa kusini kutoka kwa wareno unauhakika?
EeeBwana wee kaulize huko kwa Chifu/Mtemi Songea wa ugoni ni....watakuambia!
Tena wenyeji wa kusini walikuja mbio wakawafuata waArabu njoni mutuondole hao wareno kero, kero, " Kero kwetu...."
Mmmh hapo Wababe wakamwaga Dua zao na ma Rijali wakaingi kuVita na kuwaondia wareno nje ya maeneo ya wanakusini. ndo wakapewa mafiya na kilwa...! Good luck kila la heri
 
Mbona unaandika vitu juu juu,Wareno wamefika Kilwa miaka ya mwishoni mwa 1400 na mwanzoni mwa 1500 na wakakuta kuna utawala wa Kisultan,wakainvade Malindi,Mombasa Sofala kwa kusign mikataba na Masultani washenzi hadi Mreno akafanikiwa kuitwaa kilwa,walikuta Great Mosque umeshajengwa kitambo,Kilwa wareno wameikuta hakuna Sultani aliyepigana vita na Mreno Kilwa ndio Kilwa ikazaliwa! wewe bado unajua Ziwa Victoria na Mlima Kilimanjaro kuna mzungu alivigundua! unajua pia Kilwa ni neno lenye asili ya Kireno? JITAMBUE
 
Wewew unaongea kuhusu elimu ya library. Watu wamekwenda Uarabuni,wamesikia abeid inatumika kwa maana mbili;mtu mweusi anaitwa abeid,mtu mtumwa anaitwa abeid.
Napenda uelewe kuwa hata hapa Tanzania wengi wanaitwa Mtumwa kwa jina kabisa la kupewa na wazazi wake, wala hilo si kosa na wala haimaanishi yule ni mtumwa wa mtu fulani, kwa kuwa Kiswahili ni finyu na ndio maana uelewa wako unakuwa finyu. Jaribu kupima kwa kina.

Ikiwa kuna mtu mweusi ameitwa Abeid huko Uarabuni basi hiyo ni sifa kubwa na katukuzwa sana hata Mtume Muhammad anapokuwa addressed na Mwenyeezi Mungu ndani ya Qur'an ameitwa "Abd".

Wenye uelewa finyu ndio hudhani kuwa Abd ni utumwa, hapana, Abd ni sifa ya kuwa ni servant, mtiifu mnyeyekevu wa hali ya juu. Mimi ningefurahi sana leo hii ningekwenda Uarabuni na kuitwa Abd. Ni sifa ya mitume hiyo.

Library ni mahala palipo jaa elimu wala si vibaya ikiwa nimeyapata huko, jee ulitaka niyachukuwe mitaani kama wewe halafu nije kupotosha watu?
 
Mbona unaandika vitu juu juu,Wareno wamefika Kilwa miaka ya mwishoni mwa 1400 na mwanzoni mwa 1500 na wakakuta kuna utawala wa Kisultan,wakainvade Malindi,Mombasa Sofala kwa kusign mikataba na Masultani washenzi hadi Mreno akafanikiwa kuitwaa kilwa,walikuta Great Mosque umeshajengwa kitambo,Kilwa wareno wameikuta hakuna Sultani aliyepigana vita na Mreno Kilwa ndio Kilwa ikazaliwa! wewe bado unajua Ziwa Victoria na Mlima Kilimanjaro kuna mzungu alivigundua! unajua pia Kilwa ni neno lenye asili ya Kireno? JITAMBUE
Mkuu vipi ? Hujui kuwa hao wakusini asili zao ni makabila yaliyo toka sauzi(SA) walikimbizwa wakaja kuhemea Ruv-Sng-Lindi. Hao wakawaomba Masultani Waungwana waje kuwaStiri na kuwa chini ya kivuli chao, Masultani walikuwa kaskazini. Sasa walipo kuja wareno wakaanza kuwabughudhi waafrika ndipo msaada ulikuja kuwa gomboa. Na kilwa ni neno la kisultani ni kiarabu!!
kuhusu L.Victoria ilikuwepo kabla ya wote ila jina tulibatizwa.nk Uzuri wako wewe Matusi ni damu yako, maneno machafu ndo chakula chako kwa hiyo kutukana nijambo ulilosomeshwa shuleni kwenu na Mada za matusi yamo mukitabuni...sioni ajabu.. wee endelea na mafunzo yao!
 
Wewew unaongea kuhusu elimu ya library. Watu wamekwenda Uarabuni,wamesikia abeid inatumika kwa maana mbili;mtu mweusi anaitwa abeid,mtu mtumwa anaitwa abeid.
Mkuu natagemea Ubuheri; mkuu nikuulize ivo Nani alikuwa mpinzani halisi na wa Asilia kumpinga Sultani aliyekuwa akifanya biashara ya UTUMWA ???? (kama ulivyo andika wewe) tujuze
 
Mbona umetaja Oman tu kwani hakuna waingereza wajerumani na wareno waliofanya biashara hiyo,au.unachuki tu kwa nchi hiyo?

Kwani hukusoma kwenye Historia, wazungu ndo waliopiga vita biashara ya utumwa. Waarabu ndo walikuwa wakusanyaji na wauzaji wa watumwa!

Tatizo ni ujinga wa Mwafrika, miaka ile ya 90' walianzisha move nzuri sana ya kudai fidia ya manyanyaso na biashara ya utumwa, mwenyekiti wao nadhani alikuwa ni m-beiging fulani aliye itisha kikao cha viongozi wa kiafrika kudai fidia ya madhala yale. Kimsingi nchi kama Marekani na Uingereza ziliafiki, lakini walikosea kwa kuingiza suala la kulaani waislael kwa kukalia ardhi ya wapalestina.

Sasa kama suala lilikuwa ni kudai fidia ya biashara ya utumwa, ilikuwaje wakaingiza suala la mashariki ya kati? Marekani na washirika wake wakaona hii miafrika hamanazo kabisa, walijitoa na kikao kikavunjika zikabaki bla-bla kikao kikafungwa mpaka leo!

Wakenya wamejaribu, wameweza sasa wabongo hata za Rada sijui kama zitafanya kazi iliyokusudiwa au ndiyo zinaingizwa kwenye mfuko wa pesa za kampeni za CCM mwaka 2015!
 
When President Obama goes to Africa at month's end, the first African American president will have a rare opportunity to spread U.S. values to that continent. It would be a shame if his trip instead validated slavery. By selecting Tanzania as one of the three countries that will receive a presidential visit on that trip, the Obama administration is honoring a government that has been in a multiyear diplomatic dispute with the United States over human trafficking.

Specifically, a U.S. court in 2008 issued a $1 million judgment against a Tanzanian diplomat stationed in Washington because he and his wife held a young woman against her will as a domestic servant at their Bethesda home, refusing to pay her and abusing her for four years until she escaped. The diplomat, Alan Mzengi, didn't contest the civil lawsuit and, instead of paying the default judgment, returned to Tanzania, where at last report he served as an adviser to President Jakaya Mrisho Kikwete - the very person Obama will meet with.

The State Department has tried to pressure Kikwete's government to get the judgment paid and to sanction diplomats who engage in human trafficking. But the efforts have produced nothing but a derisory settlement offer, and the State Department has not moved to punish Tanzania.

Now Obama is rewarding Tanzania with a presidential trip. "An official visit from the U.S. president is a gift that is utterly inappropriate after a Tanzanian government official committed horrifying human rights violations just a few miles from the White House," said Martina Vandenberg, a human rights lawyer who represented the victim, Zipora Mazengo, pro bono. Vandenberg, a Washington lawyer I've known for years, said Obama "would undermine all credibility on trafficking."

A spokeswoman for the State Department's African Affairs bureau said that the case "continues to be of significant concern" and that "we are again engaging the government of Tanzania to do what is necessary to see that this matter is addressed." Obama has made human trafficking a centerpiece of his foreign policy agenda, saying in a speech to the Clinton Global Initiative last year that "it is a debasement of our common humanity" that "must be called by its true name, modern slavery. . . . When a woman is locked in a sweatshop, or trapped in a home as a domestic servant, alone and abused and incapable of leaving - that's slavery."

Unfortunately, the administration's actions haven't always matched its high-minded words, as has been the case with targeted assassinations, Chinese dissidents, Guantanamo Bay, domestic surveillance and other challenges to human rights and civil liberties. The Tanzania case appears to be an instance of business interests trumping human rights. The Chinese president visited the East African country a few months ago, and U.S. businesses are eager to get in on the region's petroleum supplies and other natural resources before China becomes dominant there.

Beyond that calculation, the administration has been reluctant to use the few tools it has to combat human trafficking by diplomats, who are protected from some prosecutions. After federal authorities said they were investigating a possible case of human trafficking in McLean by a Saudi diplomat, Sen. Marco Rubio (R-Fla.) wrote to Secretary of State John Kerry, citing the Mzengi case and questioning why State seldom seeks waivers of diplomatic immunity for offenders and has not used its power to block visas for servants of diplomats from offending countries. In the Mzengi case, a federal judge found that the diplomat and his wife confiscated Mazengo's passport and forced her to work 17-hour days.

They refused her medical care (she couldn't wear shoes because of an untreated ingrown toenail and was once forced to shovel snow barefoot) and wouldn't let her leave the house without an escort. After the $1,059,349 judgment, the woman said she would accept a settlement that included only her back wages of $170,000; the Tanzanians eventually offered $22,000 with an iffy promise of small future payments from Mzengi.

Mzengi returned to Tanzania a few months after the judgment and got a position advising Kikwete, according to a 2010 Time magazine report, citing an academic adviser of Mzengi. Embassy officials didn't return my phone calls. According to cables released by WikiLeaks, U.S. officials formally told the Tanzanians that diplomats such as Mzengi should "face appropriate sanction." The Tanzanians were also told the matter could call into question Tanzania's "commitment to combating human trafficking." The U.S. officials wrote that they made it clear "that the Tanzanian government cannot ignore our requests for information and assistance." Or can it?
Dana Milbank: Obama’s ill-advised visit to Tanzania - The Washington Post
 
Hawa madui hawajawahi omba msamaha popote duniani,badala yake wanazidi kukufuru huku wakiona fahari...Kwao kuwaona wamagharibi wakiomba msamaha wanatafsiri kuwa ni udhaifu.....ITS FUNNY BADO WAPO LUCKY...Kuna mbwa kibao arfrica wanabweka kwa ajili yao..na wapo tayari hata kufa ili kuwasafisha...wenzine walinunuliwa na wamissionary ili wawe huru...sasa hivi vizazi vyao vinamiss sana utumwa...NDIO SABABU UTUMWA UNAAMINIKA KUWA LAANA.wapo watu watatumikishwa sana,hata ktk Enzi hizi zisizo za utumwa.
Mkuu soma hiyo......hii mpya!!When President Obama goes to Africa at month’s end, the first African American president will have a rare opportunity to spread U.S. values to that continent. It would be a shame if his trip instead validated slavery. By selecting Tanzania as one of the three countries that will receive a presidential visit on that trip, the Obama administration is honoring a government that has been in a multiyear diplomatic dispute with the United States over human trafficking.

Specifically, a U.S. court in 2008 issued a $1 million judgment against a Tanzanian diplomat stationed in Washington because he and his wife held a young woman against her will as a domestic servant at their Bethesda home, refusing to pay her and abusing her for four years until she escaped. The diplomat, Alan Mzengi, didn’t contest the civil lawsuit and, instead of paying the default judgment, returned to Tanzania, where at last report he served as an adviser to President Jakaya Mrisho Kikwete — the very person Obama will meet with.

The State Department has tried to pressure Kikwete’s government to get the judgment paid and to sanction diplomats who engage in human trafficking. But the efforts have produced nothing but a derisory settlement offer, and the State Department has not moved to punish Tanzania.

Now Obama is rewarding Tanzania with a presidential trip. “An official visit from the U.S. president is a gift that is utterly inappropriate after a Tanzanian government official committed horrifying human rights violations just a few miles from the White House,” said Martina Vandenberg, a human rights lawyer who represented the victim, Zipora Mazengo, pro bono. Vandenberg, a Washington lawyer I’ve known for years, said Obama “would undermine all credibility on trafficking.”

A spokeswoman for the State Department’s African Affairs bureau said that the case “continues to be of significant concern” and that “we are again engaging the government of Tanzania to do what is necessary to see that this matter is addressed.” Obama has made human trafficking a centerpiece of his foreign policy agenda, saying in a speech to the Clinton Global Initiative last year that “it is a debasement of our common humanity” that “must be called by its true name, modern slavery. . . . When a woman is locked in a sweatshop, or trapped in a home as a domestic servant, alone and abused and incapable of leaving — that’s slavery.”

Unfortunately, the administration’s actions haven’t always matched its high-minded words, as has been the case with targeted assassinations, Chinese dissidents, Guantanamo Bay, domestic surveillance and other challenges to human rights and civil liberties. The Tanzania case appears to be an instance of business interests trumping human rights. The Chinese president visited the East African country a few months ago, and U.S. businesses are eager to get in on the region’s petroleum supplies and other natural resources before China becomes dominant there.

Beyond that calculation, the administration has been reluctant to use the few tools it has to combat human trafficking by diplomats, who are protected from some prosecutions. After federal authorities said they were investigating a possible case of human trafficking in McLean by a Saudi diplomat, Sen. Marco Rubio (R-Fla.) wrote to Secretary of State John Kerry, citing the Mzengi case and questioning why State seldom seeks waivers of diplomatic immunity for offenders and has not used its power to block visas for servants of diplomats from offending countries. In the Mzengi case, a federal judge found that the diplomat and his wife confiscated Mazengo’s passport and forced her to work 17-hour days.

They refused her medical care (she couldn’t wear shoes because of an untreated ingrown toenail and was once forced to shovel snow barefoot) and wouldn’t let her leave the house without an escort. After the $1,059,349 judgment, the woman said she would accept a settlement that included only her back wages of $170,000; the Tanzanians eventually offered $22,000 with an iffy promise of small future payments from Mzengi.

Mzengi returned to Tanzania a few months after the judgment and got a position advising Kikwete, according to a 2010 Time magazine report, citing an academic adviser of Mzengi. Embassy officials didn’t return my phone calls. According to cables released by WikiLeaks, U.S. officials formally told the Tanzanians that diplomats such as Mzengi should “face appropriate sanction.” The Tanzanians were also told the matter could call into question Tanzania’s “commitment to combating human trafficking.” The U.S. officials wrote that they made it clear “that the Tanzanian government cannot ignore our requests for information and assistance.” Or can it?
Dana Milbank: Obama’s ill-advised visit to Tanzania - The Washington Post

Unatoa msamaha halafu unajirudisha tena kitanzini. Hata shetani atakushangaa. Ona hii
hii mpya!!
When President Obama goes to Africa at month’s end, the first African American president will have a rare opportunity to spread U.S. values to that continent. It would be a shame if his trip instead validated slavery. By selecting Tanzania as one of the three countries that will receive a presidential visit on that trip, the Obama administration is honoring a government that has been in a multiyear diplomatic dispute with the United States over human trafficking.

Specifically, a U.S. court in 2008 issued a $1 million judgment against a Tanzanian diplomat stationed in Washington because he and his wife held a young woman against her will as a domestic servant at their Bethesda home, refusing to pay her and abusing her for four years until she escaped. The diplomat, Alan Mzengi, didn’t contest the civil lawsuit and, instead of paying the default judgment, returned to Tanzania, where at last report he served as an adviser to President Jakaya Mrisho Kikwete — the very person Obama will meet with.

The State Department has tried to pressure Kikwete’s government to get the judgment paid and to sanction diplomats who engage in human trafficking. But the efforts have produced nothing but a derisory settlement offer, and the State Department has not moved to punish Tanzania.

Now Obama is rewarding Tanzania with a presidential trip. “An official visit from the U.S. president is a gift that is utterly inappropriate after a Tanzanian government official committed horrifying human rights violations just a few miles from the White House,” said Martina Vandenberg, a human rights lawyer who represented the victim, Zipora Mazengo, pro bono. Vandenberg, a Washington lawyer I’ve known for years, said Obama “would undermine all credibility on trafficking.”

A spokeswoman for the State Department’s African Affairs bureau said that the case “continues to be of significant concern” and that “we are again engaging the government of Tanzania to do what is necessary to see that this matter is addressed.” Obama has made human trafficking a centerpiece of his foreign policy agenda, saying in a speech to the Clinton Global Initiative last year that “it is a debasement of our common humanity” that “must be called by its true name, modern slavery. . . . When a woman is locked in a sweatshop, or trapped in a home as a domestic servant, alone and abused and incapable of leaving — that’s slavery.”

Unfortunately, the administration’s actions haven’t always matched its high-minded words, as has been the case with targeted assassinations, Chinese dissidents, Guantanamo Bay, domestic surveillance and other challenges to human rights and civil liberties. The Tanzania case appears to be an instance of business interests trumping human rights. The Chinese president visited the East African country a few months ago, and U.S. businesses are eager to get in on the region’s petroleum supplies and other natural resources before China becomes dominant there.

Beyond that calculation, the administration has been reluctant to use the few tools it has to combat human trafficking by diplomats, who are protected from some prosecutions. After federal authorities said they were investigating a possible case of human trafficking in McLean by a Saudi diplomat, Sen. Marco Rubio (R-Fla.) wrote to Secretary of State John Kerry, citing the Mzengi case and questioning why State seldom seeks waivers of diplomatic immunity for offenders and has not used its power to block visas for servants of diplomats from offending countries. In the Mzengi case, a federal judge found that the diplomat and his wife confiscated Mazengo’s passport and forced her to work 17-hour days.

They refused her medical care (she couldn’t wear shoes because of an untreated ingrown toenail and was once forced to shovel snow barefoot) and wouldn’t let her leave the house without an escort. After the $1,059,349 judgment, the woman said she would accept a settlement that included only her back wages of $170,000; the Tanzanians eventually offered $22,000 with an iffy promise of small future payments from Mzengi.

Mzengi returned to Tanzania a few months after the judgment and got a position advising Kikwete, according to a 2010 Time magazine report, citing an academic adviser of Mzengi. Embassy officials didn’t return my phone calls. According to cables released by WikiLeaks, U.S. officials formally told the Tanzanians that diplomats such as Mzengi should “face appropriate sanction.” The Tanzanians were also told the matter could call into question Tanzania’s “commitment to combating human trafficking.” The U.S. officials wrote that they made it clear “that the Tanzanian government cannot ignore our requests for information and assistance.” Or can it?
Dana Milbank: Obama’s ill-advised visit to Tanzania - The Washington Post
 
[QUOTEBONGOLALA;6531283]Nini chanzo cha ma black kujikuta america,haiti,jamaica?nani aliwapeleka huko wa africa wenzetu nae tumfungulie mashtaka[/QUOTE]

True, Europeans waliwapeleka America na kuwatumikisha ndugu zetu kwa takribani 400 year, lakini baadae waliwapa uhuru na haki ya uraia katika nchi hizo; UPANDE WA WAARABU; Hawa jamaa wao waliwasomba ndugu zetu tangu mnano karne ya 4 mpaka karne ya 15, kisha baada ya hapo waliendelea kuwakamata ndugu zetu na kuwauza kwa wazungu.Ikumbukwe kuwa idadi ya blacks/watumwa waliopelekwa uarabuni ilikuwa kubwa zaidi ya watumwa waliopelekwa America! MAAJABU: Pamoja na kwamba Waarabu walichukua idadi kubwa ya watumwa toka Africa na kuwapeleka Uarabuni, naam hakuna descendant/ mabaki ya blacks yoyote aliyeachwa aendelee kuishi kama mtu hai na huru katika nchi za Arabuni.Wanaume waliasiwa wakafa wakaisha, mwanamke black aliyepewa mimba na Muarabu aliuawa asije akazaa mtoto mchanganyiko! MBAYA ZAIDI; Waarabu waliwaasi black men ili kuwaingilia kinyume na maumbile (kuwafira) na ndivyo walivyowafanya.Kwa ujumla licha ya dhambi ya kuwakamata blacks na kuwauza, hawa Waarabu Waliwaasi, waliwafira, kisha waliwaua hadi wakahakikisha hakuna Mwafrika black descendant aliyebaki katika nchi yao baada ya kukomeshwa kwa biashara haramu ya Utumwa.Kwa kweli hawa ni watu pekee waliotufanyia na wanaoendelea kutufanyia wafrika kiwango cha juu sana cha ukatili.....WASHITAKIWE!
 
well said!!anaonekana jamaa hajawah kumsoma walter roddey jinsi alivyodadavua ushenzi wa wawazugu dhidi ya bara zima la africa sio tanaznia tu!!

Sawa Mkuu, binafsi naunga mkono Nchi za Ulaya zishitakiwe na zilipe fidia kwa ukatili walowafanyia black tangu 15th C-18thC. Lakini kinachonipa faraja kidogo ni kuona kuwa baadaye wazungu walimwacha mwafrica huru na kumpa uraia halali katika maeneo waliyompeleka.KINACHONIKERA NA KUNITIA KIGEGEZI ni kufahamu kuwa waafrika waliopelekwa uarabuni walikuwa wengi zaidi ya waliopelekwa Europe na America, hii ni kutokana na ukweli kwamba time span ya Waarabu kuwakamata na kuwasafirisha blacks kwenda bara Asia ilikuwa kubwa zaidi ya ile ya Wazungu, kwani Arabs from 4thC to 15thC and 19th C walifanya Uuzaji na usafirishaji wa blacks.Lakini leo bora japo tunazungumzia kuhusu black Americans ambao ni raia na watu huru barani America! Sasa Wako Wapi black Arabia!? Vizazi vyao viko wapi!? Mbona hakuna historia ya kwamba walirudishwa tena Afrika!? Masoko ya Watumwa yaliyoko Zanzibar, Bwagamoyo, Kilwa n.k yalijengwa na nani kama si Muarabu!? Kwanini sasa kwa historia hii nisikubali kuwa kiwango cha ukatili walichafanyiwa ndugu zetu na Waarabu ni kikubwa za ya kile cha wazungu, mfano wanaume walifirwa (ashakhum si matusi)! Walihasiwa, na baadae either walikufa au waliuawa mpaka wakaisha wote kule Arabuni!! NAUNGA MKONO HOJA.
 
EeeBwana wee kaulize huko kwa Chifu/Mtemi Songea wa ugoni ni....watakuambia!
Tena wenyeji wa kusini walikuja mbio wakawafuata waArabu njoni mutuondole hao wareno kero, kero, " Kero kwetu...."
Mmmh hapo Wababe wakamwaga Dua zao na ma Rijali wakaingi kuVita na kuwaondia wareno nje ya maeneo ya wanakusini. ndo wakapewa mafiya na kilwa...! Good luck kila la heri

Hongera Mkuu wa ujuzi mwingi.Nisaidie kunifahamisha kabla ya hilo eneo kuitwa "Kilwa" lilikuwa linaitwaje?
 
hao watumwa si ndiyo wamejazana marekan wameboreshwa majina wanaitwa black america lakini chuki zilizo pandikizwa na wazungu kila kitu ni warabu

Na mamilion ya watumwa Waliopelekwa Uarabuni wako wapi leo tuwaite black Arabia!!?
 
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.

Mmhh...!!
 
Karibuni tena Mabwana zetu, ndugu zetu Waarabu, katika visiwa mlivyovipenda lakini mkafukuzwa kwa fitna tu. Karibuni tena kwani mambo yanaonekana kunyooka. Tunavunja nuksi ya Muungano feki uliokuwa una nguvu za kuwazuia na tunaweka mazingira ya ninyi kurudi tena. Kama msingefukuzwa kwa fitna na Watanganyika mgeshasaidia ndugu zenu wa visiwa vyetu na hakika tungekuwa mbali sana. Jiandaeni kwani Muungano unavunjika hivi kwani hatutakubali chengine. Watanganyika hawana chao tena na lazima wabaki kwao. Inshallah tutafanikiwa. Karibuni

We kweli UROJO umekudhoofisha kila kiungo mpaka mawazo ni rojorojo tu!
 
Sio wa Oman tu, na wajerumani na waingereza pia uwashtaki utapata fidia kubwa mana juzi Mau Mau Victims wamekubaliwa kulipwa.

Tatizo ni kuwa WAJERUMANI na WAINGEREZA hawakuchukua ABLE BODIED MEN and WOMEN to NEW LANDS kama WAARABU kwetu hapa TANGANYIKA tunataka reparations from OMAN...
 
Back
Top Bottom