Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Karibuni tena Mabwana zetu, ndugu zetu Waarabu, katika visiwa mlivyovipenda lakini mkafukuzwa kwa fitna tu. Karibuni tena kwani mambo yanaonekana kunyooka. Tunavunja nuksi ya Muungano feki uliokuwa una nguvu za kuwazuia na tunaweka mazingira ya ninyi kurudi tena. Kama msingefukuzwa kwa fitna na Watanganyika mgeshasaidia ndugu zenu wa visiwa vyetu na hakika tungekuwa mbali sana. Jiandaeni kwani Muungano unavunjika hivi kwani hatutakubali chengine. Watanganyika hawana chao tena na lazima wabaki kwao. Inshallah tutafanikiwa. Karibuni
Yakhee ubuheri; je wanauliza mtawatolea VISA au waje na majahazi yao hadi ufukoni..? kila la heri usisahau kujawapokea kama Enzi ile?
 
Kama 'oman' ilikua rafiki mwema wa mtu mweusi na zanzibar,basi waliofanya mapinduzi matukufu 1864,walikua wendawazimu! Msimfanye hayati karume akakosa amani huko aliko.
Swahibaa !! kawapa utajiri na neema wa Omani baada ya kuwatimuwa ! Masikini wengi wao walikuwa hawamiliki hata kabysikeli au hata ka mkokteni walivyokuwa unguja...Oh Ona ya mungu si Athumani...Walivyokimbizwa wakarudi kwa Milango ya pepo ikafunguka na neema kumwagika mmmh kwa kila muOmani anamiliki BMW/NYUMBA/FREE elimi/FREE medicol nk ..... Nasi tukabaki na uhuru njaa!! YASIYOELEZEKA!! hata ulimi/mdomo hausemi ya adhabu ya ajabu .....!!
 
Bila Shaka unachuki na waarabu. Unasema wamekwita Aswad, naona umelishikilia hilo jina. Haya tuanze sasa kuona wale unaowapenda wamekwitaje (wazungu unaowathamini).

- wanakwita Black American, kisha refer ebu mlikuwa mnaishi vipi kule USA kipindi icho, maana umemuona muarabu tu, lakini umesahau mabwana zako walivokuuzeni USA kwenye mashamba ya miwa, Brasil, Uk, france na ukienda ujerumani, ndo umekwisha.

Hao unaowaona bora wanajiita civilized people, but no they are not, tizama wanavomtesa Balotelli? Mpaka wanamfanyia unyama kwa kumpa Banana? Unajua maana yake? Kama umenuna kuitwa Aswad kisha muarabu kwanini usinune kuitwa Kima na mzungu? Au chuki tu kwa muarabu?

Yaani still hao wazungu in 21st century wanawachukulia Black people not to be ordinary human being, ni kama kumuona kilema wa miguu akicheza mpira.
Berlusconi aliyasema haya;
The literal translation is "let's go and watch the
family's little nigger", but the phrase is thought to better translate to "let's go and watch the little black boy of the family".

Wewe kwa sababu hujui ukiitwa Nigger unaona kama umepewa cool name/gangster name, kumbe you have been categorize to worthless people on earth!

In 2006, a black German citizen of Ethiopian descent named as Ermyas M., an engineer was beaten into a coma by two unknown assailants who called him "nigger" in an unprovoked attack that has reawakened concern about racist violence in eastern Germany.[8] He was waiting for a tram at in Potsdam, near Berlin, when two people approached him shouting "nigger". When he objected, they attacked him with a bottle and beat him to the ground.(wikipedia: racism in germany) mbona huwazungumzii wazungu swahiba? Au kwa kuwa umelewa na misaada ya kina David Cameron? Ebu tizama a potential man is being killed na mzungu kisa Black, jamaa ni engineer!! Yapo mengi tu ya wapenzi wako wa kizungu waliokufanyieni Black People, usiendeshwe na chuki kijana!
..chilubi..! salaam,salute & respect..!im a good conscious black african, believing in islamic message and teachings..nothing else!...na ktk mafundisho nayoyaamini (ya kiislamu) ukweli ni sehemu na ukamilifu wa kiimani..! niko na wewe kwa kila ulichokisema juu ya wazungu, na wamerika katika suala zima la uhusika wao ktk biashara ya utumwa na tabia (na nisifanye kosa), ya baadhi yao kuwa na mtazamamo wa kibaguzi hususan dhidi ya mtu mweusi, ikiwemo kumuita majina yasiyostahiki (nigger), ingawa nadhani black amerika,lilikubalika miongoni mwa weusi, wakizingatia ukweli wa asili yao ya afrika, na mpaka baadae kuamua iwe ni african american, ktk kuonesha msisitizo wa kiasili (sina uhakika na weusi wa 'arabuni' kama wanapenda itwa waarabu, na kutabanaishwa na majina ya kikabila ambayo hawana asili wala nasaba nayo, nakumbuka wairaki weusi wao wakati wa mchakato wa katiba yao mpya, baada ya saddam, (nilijaaliwa kukaa miezi 3 kipindi hiko) walipigania kutambulika kikatiba kuwa ni waafrika wairaki, lkn kwa misingi ya kibri, wenzao walikataa kupitisha takwa lao hilo)..lkn kuhusika ktk biashara ya utumwa (kama wauzaji na wanunuzi) ni kitu ambacho waarabu, kama wazungu walishiriki! na dharahu, ikiambatana na kuita majina ya kudhalilisha ni sehemu ya tabia ya waarabu wengi (hapa pia nisifanye kosa maanake waarabu, wamegawanyika, kuna waarabu wa eneo la levant, hao ni syria, palestine, jordan, na lebanon, hawakwa kiasi kikubwa lah!)...neno "kelb"(likimaanisha mbwa) au "hamara", (likimaanisha punda), ni kauli ya kawaida mno kwao dhidi ya muafrka mweusi, hususan mwenye kujitambua na asie kibaraka, wala wakala wao!! nahisi (naweza kuwa nimekosea labda),chilubi na wengine wa aina yako, ni waumini wa imani moja na waarabu wengi (kama nilivyo mimi kiimani), lkn ama kutokana na mapungufu ya kuukabili, na kuukubali ukweli, au kutokana na kutumiwa kwa malipo unaamua kutokwa povu jingi kuuficha udhalimu wa waarabu, kwa kuusema udhalimu wa wazungu...(si kunafunzo la "kweli" ya kwamba ufakhiri ni nusu ya ukafir), uwe mwafrika mweusi au mwarabu mwafrika,hujielewi..! unapigana na ukweli wa kuhusika kwa waarabu ktk biashara ya utumwa kama walivyofanya wazungu, na unaficha ukweli wa kauli na kuita majina ya kuwadhalilisha "kwa kiasi kikubwa" wageni na wasafiri...! na utasimama wapi ktk kuikabili kweli ya" ufidhuli wa waarabu wa kabila la janjaweed, wakifadhiliwa kisilaha, na kimikakati na serikali ya kiarabu,ktk sudan, dhid ya weusi wa kabila la fur,katika eneo la darfur..! walisema nini "mabwana zako wa kiarabu" pale waislam weusi wa kabila la fur walipochinjwa na waarabu wenzao wa kabila la janjaweed, hata ndani ya vikao vya oic, kuwasemea waislamu weusi wa darfur? "unasikiaga" mabwana zako wanavyokoroma, pale mazayuni wanapowachinja waarabu wenzao wa palestina? umewasikia mabwana zako wa kiarabu wamesema nini pale mabudhist wa wa ki burma walipowachinja waislam wa kibengali wenye uraia wa burma?.....! sema kweli uwe huru!!! peace and love chilubi..!
 
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.
.....awali ya yote, alhamdullillah..! mimi ni muislamu, napenda waislamu wenzangu, lkn napenda haki na ukweli...! na nikukumbushe tu kuwa ukweli na haki ni sehemu muhimu ktk imani ya muumini, ukipungukiwa na hayo .....! subhnallah!...na nikuelemishe labda hukujaaliwa kulijua, kuwa ukoloni, ni ukoloni na madhila ya kikoloni ni yaleyale tu! hakuna muislam anaependa kutawaliwa, hata kama anaekutawala ni muislamu mwenzio, ndio maana hao waarabu, kwa kutotaka kutawaliwa na ataturk, walishirikiana na mwingereza ambae si mwisilamu mwenzao kuuondosha ukoloni wa mturuki ambaye kwa kiasi kikubwa ni mwisilamu mwenzao! nalingine kubwa...zanzibar, ni sehem ya afrika, ni sehemu ya waafrika! na si kipande cha uarabuni, au kipande cha waarabu..kama barghashi wako, mzaliwa wa zanzibar alilijua hilo na kulikubali dhati, hakika alikuwa ni mzanzibar, kama walivyo wengine wengi tunaowaona na kuwajua !!!..."simama na ukweli uwe huru "..na hutapungukiwa, ila kinyume chake itakuwa kweli utakayooiona!
 
Haya yote uliyoandika hapa kuhusu waarabu kuwa wako hivyo ,ni propoganda ya vyombo vya habari vya magharibi,wakitaka kukuchafua,hata kama jambo limefanyika dpogo litakuzwa lionekane kubwa,kwa mfano maswala ya njaa katika Afrika,ziko sehemu zina njaa kwrli,lakini vyombo vya habari vya magharibi vinakuza suala hili na kuonekana ni la afrika nzima.
Ukisoma au kusikiza vyombo vya habari,unaweza ukapata hisia ya jambo,na ukaliona ni tatizo kubwa,kumbe ni propaganda za vyombo hivyo vya habari.
 
Hawa madui hawajawahi omba msamaha popote duniani,badala yake wanazidi kukufuru huku wakiona fahari...Kwao kuwaona wamagharibi wakiomba msamaha wanatafsiri kuwa ni udhaifu.....ITS FUNNY BADO WAPO LUCKY...Kuna mbwa kibao arfrica wanabweka kwa ajili yao..na wapo tayari hata kufa ili kuwasafisha...wenzine walinunuliwa na wamissionary ili wawe huru...sasa hivi vizazi vyao vinamiss sana utumwa...NDIO SABABU UTUMWA UNAAMINIKA KUWA LAANA.wapo watu watatumikishwa sana,hata ktk Enzi hizi zisizo za utumwa.
 
.....awali ya yote, alhamdullillah..! mimi ni muislamu, napenda waislamu wenzangu, lkn napenda haki na ukweli...! na nikukumbushe tu kuwa ukweli na haki ni sehemu muhimu ktk imani ya muumini, ukipungukiwa na hayo .....! subhnallah!...na nikuelemishe labda hukujaaliwa kulijua, kuwa ukoloni, ni ukoloni na madhila ya kikoloni ni yaleyale tu! hakuna muislam anaependa kutawaliwa, hata kama anaekutawala ni muislamu mwenzio, ndio maana hao waarabu, kwa kutotaka kutawaliwa na ataturk, walishirikiana na mwingereza ambae si mwisilamu mwenzao kuuondosha ukoloni wa mturuki ambaye kwa kiasi kikubwa ni mwisilamu mwenzao! nalingine kubwa...zanzibar, ni sehem ya afrika, ni sehemu ya waafrika! na si kipande cha uarabuni, au kipande cha waarabu..kama barghashi wako, mzaliwa wa zanzibar alilijua hilo na kulikubali dhati, hakika alikuwa ni mzanzibar, kama walivyo wengine wengi tunaowaona na kuwajua !!!..."simama na ukweli uwe huru "..na hutapungukiwa, ila kinyume chake itakuwa kweli utakayooiona!
Asalam3aleykum W W..with whole respect; Nimekupata na nimefurahi kuona upeo wako mzuri ahsante mkuu.... naingia direct kukupasha kuwa nature ya ethnics na kiburi cha mtu alieneemeka huwa na mparaganyo wa kiutu na kiungwana mara nyingi humu nchini pia Kabila linalojiona kuwa limeibuka au kuendelea "" "" utaona wana tumia tabiya ulizo zitoa zote katika comments zako au siyo? km hapa mara nyingi mnaitana kwa makabila km: Wee mmchinga , ee mmakondee hata maranyingi tunasengenyana kimakabila kwa dharau!! hapa kwetu Afrika hayo mambo yapo na katika kiwango......
Lazima ujue hadi sasa nchi zote 22 za kiarabu zinatawala kikabila kwa hiyo migongano haiish, waweza kuamini hata Al-Qaeda kujinyofoa na kujitenga ni moja wapo ya kukandamizana kijamii. hakuna apenendaye kunyanyaswa!!
 
mimi ni mzanzibar lakini siungi mkono mawazo ya mshumani tanganyika na zanzibar lazima kila moja awe na mamlaka yake kamili kisha

tushirikiane kiuchumi na kijamii huku watu waishi katika nchi moja au nyengine kwa maelewano upendo bila ya bugudha wala ubaguzi

hakuna nchi isiyo na wageni so cha msingi wawe wanafuata sheria

tuwe karibu kujadili mada sio chuki hazitusaidii
 
Haya yote uliyoandika hapa kuhusu waarabu kuwa wako hivyo ,ni propoganda ya vyombo vya habari vya magharibi,wakitaka kukuchafua,hata kama jambo limefanyika dpogo litakuzwa lionekane kubwa,kwa mfano maswala ya njaa katika Afrika,ziko sehemu zina njaa kwrli,lakini vyombo vya habari vya magharibi vinakuza suala hili na kuonekana ni la afrika nzima.
Ukisoma au kusikiza vyombo vya habari,unaweza ukapata hisia ya jambo,na ukaliona ni tatizo kubwa,kumbe ni propaganda za vyombo hivyo vya habari.
......licha ya kuwa nimeishi uarabuni (masomoni saudi arabia, kikazi iraq, na kimatembezi ktk united arab emirates, lebano, palestina-ramallah-, namisri) lkn nimeishi nao pia katika makuzi yangu nyumbani dar, na nimesoma nao kuanzia primary, madrasa ya qur'an, na secondary, na baadhi yao (wachache )chuoni...!propaganda ni propaganda...inaeleweka! na ukweli ni ukweli..unaeleweka..! taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari vya nchi zanje ya afrika, ukiacha aljzeera(ambayo kwa kutoa taarifa za ukweli imechukiwa na tawala zisizo za kidemokrasi ktk ulimwengu wa kiislam) na cctv, ni zile zinazoarifu matukio yanayotoa ujumbe hasi juu ya afrika...!na hii ni kwa wote..! wazungu, wahindi, wajapani, waarabu wako mkuu kikwajunione,wote kabisa! hakuna anaetoa taarifa ya matukio ya kimaendeleo ya afrika ya weusi...propaganda ya kuriport matukio hasi yanayotokea ktk afrika, na kuacha kutaarifu matukio ya heri yanayotokea ktk afrika ni dhambi ya wote wanatoa habari wa nje ya afrika....!
 
Asalam3aleykum W W..with whole respect; Nimekupata na nimefurahi kuona upeo wako mzuri ahsante mkuu.... naingia direct kukupasha kuwa nature ya ethnics na kiburi cha mtu alieneemeka huwa na mparaganyo wa kiutu na kiungwana mara nyingi humu nchini pia Kabila linalojiona kuwa limeibuka au kuendelea "" "" utaona wana tumia tabiya ulizo zitoa zote katika comments zako au siyo? km hapa mara nyingi mnaitana kwa makabila km: Wee mmchinga , ee mmakondee hata maranyingi tunasengenyana kimakabila kwa dharau!! hapa kwetu Afrika hayo mambo yapo na katika kiwango......
Lazima ujue hadi sasa nchi zote 22 za kiarabu zinatawala kikabila kwa hiyo migongano haiish, waweza kuamini hata Al-Qaeda kujinyofoa na kujitenga ni moja wapo ya kukandamizana kijamii. hakuna apenendaye kunyanyaswa!!
.....wa alykum salaam kaka..! respect more and more bro!...lkn muslim kuwa hivyo kaka....?! tunaongozwa na nini?ethics zetu? kwa nini isiwe kama inavyopaswa kuwa? kwa nini wengi wetu ni kama hatukubali bado ktk vitendo na kauli zetu kuongozwa na holy teachings from highest sources? qur'an. sunnah &hadeeth..?....!insha allah ..tulione hilo na tuombe tuongoke ktk njia iliyo nyoofu kaka..sisi sote...muhamad (s.a.w) way...! again..repect more and more kaka! salaam alykum!!!
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
Naunga mkono hoja lakini pia kuna waafrika walioshirikiana nao sasa hao utawashitaki pia baadaye baada ya hili !?
 
hizi njaa zingine bana, sasa unadai fidia kama kitukuu cha mtumwa? Tuseme wamekubali kulipa fidia, hiyo hela atapewa nani? wewe ukiambiwa ulete ushahidi kama babu yako alikuwa mtumwa utautoa wapi? Kama kulipwa fidia basi walipwe hao warabu weusi walioko Oman, wakisha kamata mshiko wapandishwe safina warudishwe Tabora.
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
Umasikini wako unatokana na uvivu sio warabu.
 
..chilubi..! salaam,salute & respect..!im a good conscious black african, believing in islamic message and teachings..nothing else!...na ktk mafundisho nayoyaamini (ya kiislamu) ukweli ni sehemu na ukamilifu wa kiimani..! niko na wewe kwa kila ulichokisema juu ya wazungu, na wamerika katika suala zima la uhusika wao ktk biashara ya utumwa na tabia (na nisifanye kosa), ya baadhi yao kuwa na mtazamamo wa kibaguzi hususan dhidi ya mtu mweusi, ikiwemo kumuita majina yasiyostahiki (nigger), ingawa nadhani black amerika,lilikubalika miongoni mwa weusi, wakizingatia ukweli wa asili yao ya afrika, na mpaka baadae kuamua iwe ni african american, ktk kuonesha msisitizo wa kiasili (sina uhakika na weusi wa 'arabuni' kama wanapenda itwa waarabu, na kutabanaishwa na majina ya kikabila ambayo hawana asili wala nasaba nayo, nakumbuka wairaki weusi wao wakati wa mchakato wa katiba yao mpya, baada ya saddam, (nilijaaliwa kukaa miezi 3 kipindi hiko) walipigania kutambulika kikatiba kuwa ni waafrika wairaki, lkn kwa misingi ya kibri, wenzao walikataa kupitisha takwa lao hilo)..lkn kuhusika ktk biashara ya utumwa (kama wauzaji na wanunuzi) ni kitu ambacho waarabu, kama wazungu walishiriki! na dharahu, ikiambatana na kuita majina ya kudhalilisha ni sehemu ya tabia ya waarabu wengi (hapa pia nisifanye kosa maanake waarabu, wamegawanyika, kuna waarabu wa eneo la levant, hao ni syria, palestine, jordan, na lebanon, hawakwa kiasi kikubwa lah!)...neno "kelb"(likimaanisha mbwa) au "hamara", (likimaanisha punda), ni kauli ya kawaida mno kwao dhidi ya muafrka mweusi, hususan mwenye kujitambua na asie kibaraka, wala wakala wao!! nahisi (naweza kuwa nimekosea labda),chilubi na wengine wa aina yako, ni waumini wa imani moja na waarabu wengi (kama nilivyo mimi kiimani), lkn ama kutokana na mapungufu ya kuukabili, na kuukubali ukweli, au kutokana na kutumiwa kwa malipo unaamua kutokwa povu jingi kuuficha udhalimu wa waarabu, kwa kuusema udhalimu wa wazungu...(si kunafunzo la "kweli" ya kwamba ufakhiri ni nusu ya ukafir), uwe mwafrika mweusi au mwarabu mwafrika,hujielewi..! unapigana na ukweli wa kuhusika kwa waarabu ktk biashara ya utumwa kama walivyofanya wazungu, na unaficha ukweli wa kauli na kuita majina ya kuwadhalilisha "kwa kiasi kikubwa" wageni na wasafiri...! na utasimama wapi ktk kuikabili kweli ya" ufidhuli wa waarabu wa kabila la janjaweed, wakifadhiliwa kisilaha, na kimikakati na serikali ya kiarabu,ktk sudan, dhid ya weusi wa kabila la fur,katika eneo la darfur..! walisema nini "mabwana zako wa kiarabu" pale waislam weusi wa kabila la fur walipochinjwa na waarabu wenzao wa kabila la janjaweed, hata ndani ya vikao vya oic, kuwasemea waislamu weusi wa darfur? "unasikiaga" mabwana zako wanavyokoroma, pale mazayuni wanapowachinja waarabu wenzao wa palestina? umewasikia mabwana zako wa kiarabu wamesema nini pale mabudhist wa wa ki burma walipowachinja waislam wa kibengali wenye uraia wa burma?.....! sema kweli uwe huru!!! peace and love chilubi..!

Waislamu wa TZ wangekuwa na upeo kama wako, tungekuwa tunaongea vitu vya maana sana!!
Wengi sana wanauopgopa ukweli kuliko ukimwi!! hili ndilo linalonitia shaka kuhusa watu hawa!
 
Huwezi kudai fidia kwani hawakuwachukua kwa nguvu ni ma chifu wenu ndio walowauza
Ma cchifu walikua wakiwakamata na kkutokana na ujinga wa watu wa bara wakijukusanya wenyeewe kwanu waliona wameukata kufanywa watumwwa
Watu walio ppigana kufanya watumwa ni wa west africa pekee kwani walijitambua wao wengi walikua waislam na walipambana kweli
Hawa warumwa wakwettu wakijikusanya wenyewe kusuburi agents wa kiarabu waje na kupelekea znz ambako wazungu wakiwanunua
Hivo machifu wenu ndo walikua yatizo
Pili ujinga wa watu wa bara ukumbuke waafrika wa pwani na zanzubar hawakuchukuliwa utumwani ni Bara hukooo ambako kulikua na ujinga kupita kiasa
Hivyo liwalo na liwe ila hakuna katika historia inaonesha watanganyika wa bara kuresist kwa mapambano bali wakijipeleka wenyewe kwani ilikua ni kuukata
Na utumwa bado unaendelea wa hiari waafrika wanajipeleka wenyewe kubebs maboksi ilaya sasa bila kulazimmishwa kwa ujira mbuzi
Na sasa wanajipeleka kwa wingi mpaka wazungu wanawafukuza
Na hata miaka ile ingekua wana uwezo wa kusafiri wengetangaziwa kuna kazi za mashambani ulaya na marekani atakae aje basi nusu ys tanganyika wangeindika kwa hiari
Huo ndio ukweli waafrika hatujitambui tunaabudu wazungu kama miungu watu hatuthamini nchi zetu hata kidogo ujinga wetu ndo umetufanya kufanywacwatumwa
Mbina hakuna mtumwa wa kutika kilwa wala panngani wala pemba wala uzaramuni wala wasambaa wala wala wajaluo wala wagandda wala pwani yote kutoka msumbiji mpaka mogadishi why
Ni kwasababu watu wa huko wapo huru kimawazo na uislam wao umewafanya wawe huru ndio maanaa wao machifu wao kina Abushiri .Mkwawa. Walipkigana vita lakini ma chifu wa kibara huko wakiuza wenzao hawakuw huru na mpaka leo hawapo huru
 
.....wa alykum salaam kaka..! respect more and more bro!...lkn muslim kuwa hivyo kaka....?! tunaongozwa na nini?ethics zetu? kwa nini isiwe kama inavyopaswa kuwa? kwa nini wengi wetu ni kama hatukubali bado ktk vitendo na kauli zetu kuongozwa na holy teachings from highest sources? qur'an. sunnah &hadeeth..?....!insha allah ..tulione hilo na tuombe tuongoke ktk njia iliyo nyoofu kaka..sisi sote...muhamad (s.a.w) way...! again..repect more and more kaka! salaam alykum!!!
Asalaam-3aleykum WW.. My kind greetings with best wishies daima yawe katika maisha yako na familiya yako pamoja na umma wote, ndugu mpendwa, kama ulivyo sema teachings from the highest sources kweli ni muhimu yafuatwe, Between me and you tunaweza kuelewana haraka lakini hakuna garantti baina yako na rafiki mwingine japo tumetoka shule moja! hizi ni hulka na tabia za kibinaadamu, Ndo maana ikaletwa Khutba na Sallat ya ijumaa (friday cermon) ili tuwe tuna kumbushana na kupewa unyo,Tahadharisho, mafunzo,udugu (inama al-Muuminina akhwa' THAT THE BELIEVERS ARE BROTHERS) huruma, upendo nk, ili kujenga imaani ya hali ya juu na hata katika shughuli nyingi utaona kianzio ni kukumbushana/kushirikiana mema na kukatazana maovu. hapo huwa kila mtu anakuwa mtiifu sana , La Ajabu
baadaye mtu huyo akiingia kwenye harakati na pirika za kidunia hubadilika na kurudi kuendekeza yale ya kishweitani!!
hapo sasa ndo kwenye utata na sintofahamu...insikitisha kuona wachache wanachafua taswira za waliyo wema na wazuri kiimmani. "asta-gh-firruaLLah " Lakini ndugu yangu mkarimu hayo ndo ya dunia mja kaumbwa na matamaniyo na maovu na kiburi na dharau ndiyo maana tukaitwa '" INSAAN" YAANI msahauji tunasahau sahau tukikumbushwa tuinatii na baadaye ovyo!! hapo tuombe tupate mwisho mwema . kila la kheyri na baraka juu yenu.amin
 
Kwa nini unatumia past tense? Biashara ya utumwa inaendelea mpaka leo. Hujasikia huko Uarabuni sokomoko la wafanyakazi wa Kifilipino kunyang'anywa passport zao na waajiri wao?
Labda watueleze watu waliofika Uarabuni. Nasikia it is a common sight,kuona kundi la watumwa[Black slaves,Watanzania wapo] wanakuja sokoni kufanya shopping for their masters.
Did you know kwamba jina abeid lina maana mtu mweusi,na pia mtumwa.
 
kweli yafaa tuwashta hawa waoman!!! sisi magoyim wazungu walitupa pipi hivo tusiwaguse!!!!!wazungu walituuza kama mafungu ya mihogo...lakini wao ni mabwana zetu...waraabu washenzi..tusiwaacheee!!!!!!!! hakika hawa wazungu wazuri walitangaza tenda kutununua kama maembe.. au kuku wa kienyeji...kweli hawa ndio marafiki zetu...tunawapenda...kama
congo%2Bwhite%2Bwoman%2Bacting%2Ba%2Bfool.jpg
hakuna raha kama kumbeba mzungu.....wazungu walitupiga mnada...but wabaya waraabu.....tuwadai fidia....wazungu huwa wanatupa vyandarua...tunashangiria wanapokuja....huwa tunakenua....mpaka jino la mwisho....mnada mwengine..... na walokimbia....zawadi kwa ataekamatwa... fungukeni macho....hata Bob MARLEY mbwia bangi basi aliimba kuwakumbusha watumwa wenzake.....Emancipateyourself from mental slavery,None but our self can free our minds.....alkua anaimba dhidi ya akili finyu ya kuwaona wazungu ni miugu na jamaa zake kuwa watu wa yes man....na kuendelea kuwa masikini....maisha.......hivo ni wao wenyewe wataweza kuwa huru...lakini kama kama kupenda huku wazungu wana bahati sana kwa waafrika....ndio maana dhahabu gasi madini mengine tunawapa kwa bei ya vyandarua....na aliwahi kusema Babangida kumwambia Mandela asiwe rais wa wazungu waafrika ndio waliopata shida..ya utumwa..Sowete njaa tupu...
 
Back
Top Bottom