...hakika ni thawabu kama unavyosema...lkn kwa ambae hatambui kosa lake, na kuomba msamaha utamsamehe vp? wao wakoloni wa kiarabu, "kwa jinsi walivyo" wangemsamehe "mkushi", iwapo ye mkushi angekuwa amewatendea ufidhuli huo, na hajalitambua kosa lake na kuwaomba msamaha?....msingi wa kimya cha "mkushi" (sisi weusi wa afrika, kiarabu aswad) juu ya madhila ya utumwa ni imani yetu thabiti kwa mawlana.... basi! nothing less nothing more...!
Bila Shaka unachuki na waarabu. Unasema wamekwita Aswad, naona umelishikilia hilo jina. Haya tuanze sasa kuona wale unaowapenda wamekwitaje (wazungu unaowathamini).
- wanakwita Black American, kisha refer ebu mlikuwa mnaishi vipi kule USA kipindi icho, maana umemuona muarabu tu, lakini umesahau mabwana zako walivokuuzeni USA kwenye mashamba ya miwa, Brasil, Uk, france na ukienda ujerumani, ndo umekwisha.
Hao unaowaona bora wanajiita civilized people, but no they are not, tizama wanavomtesa Balotelli? Mpaka wanamfanyia unyama kwa kumpa Banana? Unajua maana yake? Kama umenuna kuitwa Aswad kisha muarabu kwanini usinune kuitwa Kima na mzungu? Au chuki tu kwa muarabu?
Yaani still hao wazungu in 21st century wanawachukulia Black people not to be ordinary human being, ni kama kumuona kilema wa miguu akicheza mpira.
Berlusconi aliyasema haya;
The literal translation is "let's go and watch the
family's little nigger", but the phrase is thought to better translate to "let's go and watch the little black boy of the family".
Wewe kwa sababu hujui ukiitwa Nigger unaona kama umepewa cool name/gangster name, kumbe you have been categorize to worthless people on earth!
In 2006, a black German citizen of Ethiopian descent named as Ermyas M., an engineer was beaten into a coma by two unknown assailants who called him "nigger" in an unprovoked attack that has reawakened concern about racist violence in eastern Germany.[8] He was waiting for a tram at in Potsdam, near Berlin, when two people approached him shouting "nigger". When he objected, they attacked him with a bottle and beat him to the ground.(wikipedia: racism in germany) mbona huwazungumzii wazungu swahiba? Au kwa kuwa umelewa na misaada ya kina David Cameron? Ebu tizama a potential man is being killed na mzungu kisa Black, jamaa ni engineer!! Yapo mengi tu ya wapenzi wako wa kizungu waliokufanyieni Black People, usiendeshwe na chuki kijana!