Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Waafrica waliochukuliwa na waarabu walihasiwa, wengine waliuwawa kinyama huko uarabuni, tusianze kuwatetea waarabu kwaajili ya uislamu, kwanza hizi dini ndio minyororo ya kisasa..
 
Watumwa waliopelekwa Marekani, Ujerumani na Ulaya wanaendelea kuishi hadi leo. Lakini walioenda Oman na Uarabuni walihasiwa ili wasiendeleze mbegu nyeusi!

hiyo ni ushahidi kua warabu hawajafanya biashara ya utumwa. Kama hujui ebu angalia maeneo ya znz yalikua chini ya sultan biashara ya utumwa ilipigwa marufuku kwanza kwa miaka zaid ya 50 ndo ikajakupigwa marufuku tanganyika iliyokua chini ya wazungu.
 
Kamwe hutapata picha ya kupigwa kwa kamera ya muarabu akimtesa mtumwa wa africa labda picha ya kuchora lkn picha za kupigwa kwa kamera za wazungu wakiwatesa waafrika zipo nyingi tu.
 
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.
Haya sasa;Ngoma Inogile.Sultani Barghash alikuwa Mzanzibari.Hili ni Somo Jipya kwangu.
 
Nini chanzo cha ma black kujikuta america,haiti,jamaica?nani aliwapeleka huko wa africa wenzetu nae tumfungulie mashtaka

Chanzo ni utu wa wazungu na huruma yao kwani waliopelekwa arabuni walifanywa matoashi.
 
Watumwa waliopelekwa Marekani, Ujerumani na Ulaya wanaendelea kuishi hadi leo. Lakini walioenda Oman na Uarabuni walihasiwa ili wasiendeleze mbegu nyeusi!

mkuu uarabuni wangepelekwa kufanya nini?kule ni jangwa,hakuna mashamba,watumwa walipelekwa marekani ya kusini,america na ulaya kwenda kulima.
 
mkuu uarabuni wangepelekwa kufanya nini?kule ni jangwa,hakuna mashamba,watumwa walipelekwa marekani ya kusini,america na ulaya kwenda kulima.

Mimi naona Nchi zote za Africa ziungane zijenge hoja juu ya hawa wakoloni wote walio tutawala ili tupate compensation.si mnasema wenyewe umoja ni nguvu!AU wako wapi kujenga hoja kama hizi?
 
Nitakuona mwenye akili kama utaweka data za kueleweka watu wangapi walichukuliwa na waarabu kama watumwa halafu nikuonyeshe mambwa wakubwa Uingereza, Ujerumani, ufaransa, na nchi nyingine za ulaya zilivyowafanyia unyama waafrika, wahindi(RED ENDIANS) kule Amerika ya kusini, kuhusu Atlantic slave trade ni waafrika milioni ngapi walichukuliwa na wengine waliokufa njiani kumwagwa Atlantic ocean n.k
Ila unaonekana either uliishia form two ukafeli siku zile za nyuma miaka ya 2007, uliacha kusoma historia kuanzia form 3 na 4.
Nakushauri pia uwaulize wenzako waliofanikiwa kusoma historia Advanced level wakuhadithie "the history of black America in the NEW WORLD'' .
Kijana kama hujui elewa ile michoro ya wazungu kwenye vitabu vya history ni feki na wamejaribu kuficha unyama wao kwa kuwasingizia waarabu.
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
babu zetu wa Tanganyika pia walishiriki,kwa kuwauza wenzao,katka biashara yoyote kuna muuzaji na mnunuzi,babu zetu waliwauziwa hawa,na wao wakanunua,ingekuwa hakuna muuzaji,mnunuzi asingekuwapo.
 
Ndugu yangu hakuna thawabu kubwa kama kutoa msamaha kwa adui.

Msamaha ni kwa mtu binafsi sawa, lakini kama taifa basi itatubidi tuvunje hadi magereza!! tafakari!
slaves-persons-not-property.jpg

Hasa waarabu kwani waliua kizazi chote cha watu weusi walioenda huko!
 
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.
Afadhali uwafahamishe,hata huyo Tip Tip,ukiona picha yake ni mwafrika mwenzetu,kavaa kanzu na kilemba tu,lakini huyu yasemekana baba ake ni mtanganyika mweusi na mamake ndio chotora wa kiarabu,mzanzibari.
 
Nitakuona mwenye akili kama utaweka data za kueleweka watu wangapi walichukuliwa na waarabu kama watumwa halafu nikuonyeshe mambwa wakubwa Uingereza, Ujerumani, ufaransa, na nchi nyingine za ulaya zilivyowafanyia unyama waafrika, wahindi(RED ENDIANS) kule Amerika ya kusini, kuhusu Atlantic slave trade ni waafrika milioni ngapi walichukuliwa na wengine waliokufa njiani kumwagwa Atlantic ocean n.k
Ila unaonekana either uliishia form two ukafeli siku zile za nyuma miaka ya 2007, uliacha kusoma historia kuanzia form 3 na 4.
Nakushauri pia uwaulize wenzako waliofanikiwa kusoma historia Advanced level wakuhadithie "the history of black America in the NEW WORLD'' .
Kijana kama hujui elewa ile michoro ya wazungu kwenye vitabu vya history ni feki na wamejaribu kuficha unyama wao kwa kuwasingizia waarabu.

Povu lote hilo kwasababu waarabu wametajwa!!!
Waarabu kama wazungu walishiriki kutu dhalilisha bwana kuwa huru kiakili....
watumwa 2.gifwatumwa 2.gif
 
Afadhali uwafahamishe,hata huyo Tip Tip,ukiona picha yake ni mwafrika mwenzetu,kavaa kanzu na kilemba tu,lakini huyu yasemekana baba ake ni mtanganyika mweusi na mamake ndio chotora wa kiarabu,mzanzibari.

Kumbe alikuwa Mkristu, alaa!!

Watu tunaongelea waarabu hapa ..wewe unaingiza uislamu, mzima wewe?
 
I hate Arabs! They treated our grandfathers like animals.. F•ck demmmm
katika biashara yoyote kuna mnunuzi na muuzaji,nani aliwauziwa hawa watumwa?kama si babu zetu?hawa babu zetu pia tuwachukiye kwa kuwauza wenzao
 
babu zetu wa Tanganyika pia walishiriki,kwa kuwauza wenzao,katka biashara yoyote kuna muuzaji na mnunuzi,babu zetu waliwauziwa hawa,na wao wakanunua,ingekuwa hakuna muuzaji,mnunuzi asingekuwapo.

Hili la kweli 100%, ila sasa ni kama waliwalazimisha tu..maana babu zetu walikuwa hawana upeo na mambo mengi walipewa bunduki wao wakatoa watu utumwani!!
 
kama mateso basi sidhani kama taifa liloteswa watu wake kama Waisraeli walivyoteswa na Wajerumani chini ya utawala wa Adolph Hitler kwani ma hebrews waliuawawa wengi sana trace movie "no escaping from sobibo" kwa upande wetu wazungu walitunyanyasa sana maendeleo yao yanatokana na jasho la waafrika trace "how europe underdeveloped africa" by walter rodney. note; kama fidia tuanze na wazungu hasa wajerumani na waingereza na pia wareno.
 
Musiwasahau na machifu wenu waliowauza kwa hao waarabu kwa bei ya shanga za kiunoni
Biashara yoyote ina muuzaji na mnunuzi,hawa wauzaji pia waliowauza babu zetu,wachukiwe,ukoo wa kichifu wa Tanzania,tuanze kuwachukia kwa matendo ya babu zao,kuwauza babu zetu.
 
Watumwa waliopelekwa Marekani, Ujerumani na Ulaya wanaendelea kuishi hadi leo. Lakini walioenda Oman na Uarabuni walihasiwa ili wasiendeleze mbegu nyeusi!

si kweli,mpaka sasa wapo watu weusi oman,na Wana mji wao unaitwa Salalah,na sultan wa nchi hiyo mamake mzazi anatoka mji huo,na mamake ni mweusi,hata yeye mwenyewe ukimuona kwenye picha si mweupe.
 
Back
Top Bottom