Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

shilanona

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
55
Reaction score
22
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.

OCT 19, 2014 Update:
I thought hawa Oman ni ndugu zatu na tumenga dam kupitia ZNZ haya sasa imekuwaje? Maana kila tukisema twaambia Ohhhhh Mashaalllah kwani weye huna ndugu Maskattii? wanaendelea kuntufanya wathumwa wao

akha mambo geni haya?


5208604531_e10bc5b3df_z.jpg



Dar es Salaam.
Tanzania's embassy in Oman has taken steps to address long-standing complaints from domestic workers hailing from Tanzania.

Speaking on condition of anonymity because he was not authorised to speak to media, an official with the embassy told The Citizen on Saturday, that the embassy had decided to take the measure following numerous complaints from Tanzanian domestic workers there.

"We have prepared a standard contract in order to safeguard rights for workers coming to work in Oman, this was due to the fact that majority of those who were brought here were treated contrary to promises they were given before coming here," he said.

The official also noted that one of the main things in the standard contract was the salary which has been increased from 27 Oman Rial (Sh118,341) to 70 Oman Rial (Sh306,810).

The embassy official said they had to intervene following persistent complaints from the workers over ill treatment from their employers.

But a recent report by an Omani newspaper shows that it is not only domestic workers who have been complaining, but other employees as well.

Quoting multiple sources, Times of Omanreported that manpower agencies in the country had stopped recruiting housemaids from Tanzania following long-standing complaints both from domestic workers and their employers that range from violence to child abuse.

According to official statistics, Tanzania provides the largest number of housemaids in Oman from Africa with over 1,600 of them employed across the country. However, recruiting agencies say that Tanzanian domestic workers last the least amount of time, among housemaids who hail from other countries.

"I have been recruiting Tanzanian housemaids for my clients for more than five years and they only stay in the country for an average of 13 months of the two-year contract that they sign. We have complaints from both sides. Employers return housemaids claiming they are rude or lazy while housemaids say that they are treated badly at work. It is not worth the trouble and this is the reason we don't bring Tanzanian housemaids anymore," said Salah Al Hajri, director of AlShizawi Recruitment Company to Times of Oman.

Four other recruiting agencies confirmed that they had stopped bringing housemaids from Tanzania. They blame both sides for not making an effort to reconcile the differences.

To address the situation, the embassy official told this paper that the standard contract is sent to Tanzania for the worker to read, understand and sign it before it is sent to Tanzania Employment Services Agency (TaESA) for approval.

"With this contract, we have managed to raise the salary scale from 27 Rial to 70 Rial, which is an equivalent of Sh306,810 together with the medical insurance and other benefits. But the problem is majority of who come here are not coming through registered recruitment agencies; we only see them when things get worse," said the source.
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wao unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.

Sio wa Oman tu, na wajerumani na waingereza pia uwashtaki utapata fidia kubwa mana juzi Mau Mau Victims wamekubaliwa kulipwa.
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wao unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
...pole kamanda wa kinyumbani...lkn hilo jambo limeshakuwa gumu! vikao kadhaa vya nchi za kiafrika na ki "karibian" vilishindwa kufikia muafaka juu ya malipo ambayo waathirika wa biashara ya utumwa walipwe...! punde tu utawasikia "mawakala wa waarabu wa kiomani, na wanaoamini ni jukumu mahsusi kutetea ukoloni wa kiarabu, sababu tu, waarabu ni waislamu (kama ni kweli kwa asilimia mia), ukuonesha ugumu wa zoezi zima la kudai fidia hiyo!...!hujiuliza , sijui ingekuwaje kama sisi watu weusi(kiarabu tunaitwa aswad), ndo tungekuwa tumewafanya watumwa watu hao.....!..alhamdullillah..! mungu mkubwa, na ametujalia waafrika moyo mkubwa..!
 
Ndugu yangu hakuna thawabu kubwa kama kutoa msamaha kwa adui.
...hakika ni thawabu kama unavyosema...lkn kwa ambae hatambui kosa lake, na kuomba msamaha utamsamehe vp? wao wakoloni wa kiarabu, "kwa jinsi walivyo" wangemsamehe "mkushi", iwapo ye mkushi angekuwa amewatendea ufidhuli huo, na hajalitambua kosa lake na kuwaomba msamaha?....msingi wa kimya cha "mkushi" (sisi weusi wa afrika, kiarabu aswad) juu ya madhila ya utumwa ni imani yetu thabiti kwa mawlana.... basi! nothing less nothing more...!
 
kuna mkutano uliowahi kuitishwa Africa kusini juu ya kudai fidia nchi za kiarabu kwa makusudi waliuharibu kwa kuingiza swala la palesitina na israel tunastahili fidia kwa maovu waliyotufanyia mbona nchi nyingine zinalipwa
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wao unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.
Ni jana tu nilikuwa naangalia BBC Focus on Africa waKenya waliopigana Maumau wamepewa chao sisi tunazidi kuzubaa tu.Oman si wamefungua ubalozi hapa Bongo wazee wetu nao wajikusanye wakajazwe mapesa kama wezee wa Kenya walivojazwa na waIngereza eti kwa madhara waliyoyapata enzi za kupigania uhuru wa Kenya.Sisi hapa hata ukianzisha chokochoko za kudai watakuvunja mbavu
 
...pole kamanda wa kinyumbani...lkn hilo jambo limeshakuwa gumu! vikao kadhaa vya nchi za kiafrika na ki "karibian" vilishindwa kufikia muafaka juu ya malipo ambayo waathirika wa biashara ya utumwa walipwe...! punde tu utawasikia "mawakala wa waarabu wa kiomani, na wanaoamini ni jukumu mahsusi kutetea ukoloni wa kiarabu, sababu tu, waarabu ni waislamu (kama ni kweli kwa asilimia mia), ukuonesha ugumu wa zoezi zima la kudai fidia hiyo!...!hujiuliza , sijui ingekuwaje kama sisi watu weusi(kiarabu tunaitwa aswad), ndo tungekuwa tumewafanya watumwa watu hao.....!..alhamdullillah..! mungu mkubwa, na ametujalia waafrika moyo mkubwa..!

nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.
 
Karibuni tena Mabwana zetu, ndugu zetu Waarabu, katika visiwa mlivyovipenda lakini mkafukuzwa kwa fitna tu. Karibuni tena kwani mambo yanaonekana kunyooka. Tunavunja nuksi ya Muungano feki uliokuwa una nguvu za kuwazuia na tunaweka mazingira ya ninyi kurudi tena. Kama msingefukuzwa kwa fitna na Watanganyika mgeshasaidia ndugu zenu wa visiwa vyetu na hakika tungekuwa mbali sana. Jiandaeni kwani Muungano unavunjika hivi kwani hatutakubali chengine. Watanganyika hawana chao tena na lazima wabaki kwao. Inshallah tutafanikiwa. Karibuni
 
nyie wacheni chuki binafsi dhidi ya waislam.

Waendeshaji biashara ya utumwa walikua waingereza na wajerumani na wala si warabu. Hakuna muomani alietawala tanzania hata mmoja. Kama ni sultan barghash yule hakua muomani bali alikua mzanzibari.

hizi dini zinatufanya tuwe wavivu wa kufikiri,yan kwa sababu ya kutetea uislamu unataka kubadili ukweli!
Hapo wote wanamakosa na si kusema ni wazungu tu.
 
I hate Arabs! They treated our grandfathers like animals.. F•ck demmmm
 
Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote.

Nisaidieni kupata mwanasheria tuishikaki Oman ili itulipe fidia na kisha iombe radhi kwa unyama iliyotufanyia sisi Watanzania.


Kuwafungulia mashitaka warabu, wareno, wajerumani, na waingereza utakuwa umekosea. Kama kweli una njaa na nia ya kutaka ulipwe fidia baada ya miaka 10,000 ya historia kupita basi inabidi ukamate ukoo wa chifu wenu kule ujiji ama unakotoka kisha uwapeleke mahakamani maana machifu ndiyo walikuwa wanauza ndugu zetu kwa ujinga na ufinyu wa mawazo yao.
 
tatizo la sisi Waafrika kwa kuwa mtu ni Muislamu basi anafikiri kwamba Mwarabu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea na upande mwingine kwa kuwa Mtu ni mkristo basi anafikiri Mzungu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea, kumbe tusichokijua maskini ya Mungu sisi Waafrika kwa macho ya Mwarabu na Mwarabu ni Nyani tu!

kwa Mzungu kama ataambiwa achague kati ya Mwarabu Muislamu na Mwafrika mkristu atachagua Mwarabu Muislamu mara 100 kutuacha Waafrika wakristo, Mwarabu hivyo hivyo ukimwambia achague Mzungu Makristo na Mwafrika muislamu atachagua Mzungu Mkristo!
 
Musiwasahau na machifu wenu waliowauza kwa hao waarabu kwa bei ya shanga za kiunoni
 
Mbona umetaja Oman tu kwani hakuna waingereza wajerumani na wareno waliofanya biashara hiyo,au.unachuki tu kwa nchi hiyo?

Watumwa waliopelekwa Marekani, Ujerumani na Ulaya wanaendelea kuishi hadi leo. Lakini walioenda Oman na Uarabuni walihasiwa ili wasiendeleze mbegu nyeusi!
 
Watumwa waliopelekwa Marekani, Ujerumani na Ulaya wanaendelea kuishi hadi leo. Lakini walioenda Oman na Uarabuni walihasiwa ili wasiendeleze mbegu nyeusi!

Wacha kuwa kipofu wewe, wale waarabu weusi wametokea wapi?
 
Back
Top Bottom