Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Kama 'oman' ilikua rafiki mwema wa mtu mweusi na zanzibar,basi waliofanya mapinduzi matukufu 1864,walikua wendawazimu! Msimfanye hayati karume akakosa amani huko aliko.
Ahsante kaka/Shkraani nyingi Kikwajuni ONE; Wafahamishe wandugu kuwa lugha tunayoitumia sasa kuelewana na kuzungumuza na wana jamii humu na kote afrika mashariki ni mwana wa kiarabu( OMAN ) katuachia zawadi ya mileleWaarabu,tena wa oman wAlikuja kutuletea maendeleomengi sana,na mpaka sasa tunafaidi matunda ya waarabu,kuanzia mashamba ya minazi,karafuu,pilipi,iliki,na hata mahindi,walichukuwa mazao haya kutoka india na kuja kupanda afrika mashariki.?wacha utajiri mkubwa wa historia waliotuachia ya mambo ya kale,yanayotuingizia fedha za kigeni.waambie wasome Historia vizuri waache chuki zisizo na msingi.
Haihitji tafakuri ya kina tena kutuma uzi au kutoa mawazo yako ndani ya jamii forum , Ndio, wala huihitaji kufanya utafiti, sasa unachotakiwa kufanya ni kutuma uzi wowote wenye uelekeo wa kibaguzi hata kama Historia iko wazi inafahamika, Hivi ni kweli mleta uzi ameshindwa au hajasoma kitabu cha Walter Rodnney " How Europe underdevelop africa" na kuona ni namna gani Wazungu walivyo wachukua waafrika kwa mamilioni na kuwapeleka kuwatumikisha kwa mateso na ukatiri mkubwa Maerekani? au hata hakupata kusikia hotuba ya Rais wa Uganda Museveni kwa juzi tu katika halfa ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika akiwalaumu mababu zetu kwa kuhalalisha na kushiriki moja kwa moja katika biashara ya utumwa na hatimae ukoloni { machifu}? siamini kama mleta thread hayajui hayo , Kuna mchangiaji mmoja anasema waafrika hawapo wengi Arabuni eti kwa kuwa walikuwa wana hasiwa hata kama ni ukweli uchache wao haitokanani na sababu hiyo bali ni ukweli kwamba Bara Arabu lilikuwa linnapokea watumwa wachache sana wa shughuli za ndani { domestic slaves} kwa vile hakufikia hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi.
Inashangaza kwa mtu kuacha kulaani kitendo cha mamilioni ya watu weusi waliotoswa baharini na wakaachwa kuwa chakula cha samaki na kulaani kitendo cha kuhasiwa, watu hawa wanaona kuhasiwa ni kubaya zaidi kulikokutolewa uhai { kichekesho}.
Hayo yote hayakatai ukweli kuwa waarabu nao { sambamaba na machifu wetu} walihusika na biashara ya Utumwa lakini tutajigeuza ghala la kicheko kama tutawashitaki wa Oman kwa Biashara ya Utumwa na kujiacha sisi wenyewe na zaidi kuwaacha wazungu. Narudia tena ni bahati mbaya sana mijadala humu jf sasa imetekwa na ukereketwa wa kidini kuliko tafakuri na kugeuza kila mjadala ni wa kristo na waislamu , ni jukumu letu la ki Historia sisi ambao hatufungamani na fikra hizo mgando kuitetea Historia. " HISTORICAL FACTS DOES NOT SHAY OF OR SCARES RELIGION OR RACE , ARE THERE FOR EVERY ONE TO SEEN"
Mkuu, mie wako bado usinichoke kwa kuwa mie siAmini uongo wa UTUMWA wetu siye tulikuwa superior na tuliwazuia hao wageni ( 1st commers waarabu) wasiondoke pwani yetu, Tukaamua kuishi nao na kujenga ONE society na kuendelea kujiongoza kama taifa mmoja. ila ukweli tuliwapa madaraka ya uongozi " kama kawida ya Uafrika wetu huwa akija mgeni hata shambani hupewa takrima ya juu na ukaribisho wa utu" sasa wenzetu madamu walitokea NORTH (tazama mara nyingi watu wa kaskazini huwaje) wakawa wana ueleo na almaarufu kuhukumu zaidi yetu wakachapa kazi za kuongoza...Hayo wewe uliza utajibiwa. kingine tukawapa udugu wenyewe (wake) tukawiita wajomba na mashameji.!!nimeshaelewa 'degree of ur understanding'. I cant say any word anymore! 'kujitambua ni uhuru'.
Haya sasa;Ngoma Inogile.Sultani Barghash alikuwa Mzanzibari.Hili ni Somo Jipya kwangu.
sasa kama anataka kushitaki si aende mahakamani bana,jf sio mahakamani.
Sio kutamani utawala urudi,ninamfahamisha aliyesema wazungu walijenga,reli,shule nk,lkn mwarabu hakufanya lolote.ndio namfahamisha uchumi aliyotuachia,na twapata pesa za kigeni kwa utalii,kutokana na historia ya mambo ya kale,aliyotuachia.kwahiyo unatamani utawala wa 'oman' urudi? .
Nakuelewa vema Kiongozi,unadhani kuna jipya? tunakoenda yaliyopita yatajadiliwa upya tena,hakuna kinachokamilika humu hata mods wanyofoe uzi wenyewe,kesi zikianza zitarudi habari IPTL hapa na mengine mengi yaliyojiri na yanayojiri,Mola ayape tu mafisadi maisha marefu.
kwa maswala ya mapinduzi hata wenyewe kwa wenyewe waafrika twapinduana.Kama 'oman' ilikua rafiki mwema wa mtu mweusi na zanzibar,basi waliofanya mapinduzi matukufu 1864,walikua wendawazimu! Msimfanye hayati karume akakosa amani huko aliko.
Mkuu, mie wako bado usinichoke kwa kuwa mie siAmini uongo wa UTUMWA wetu siye tulikuwa superior na tuliwazuia hao wageni ( 1st commers waarabu) wasiondoke pwani yetu, Tukaamua kuishi nao na kujenga ONE society na kuendelea kujiongoza kama taifa mmoja. ila ukweli tuliwapa madaraka ya uongozi " kama kawida ya Uafrika wetu huwa akija mgeni hata shambani hupewa takrima ya juu na ukaribisho wa utu" sasa wenzetu madamu walitokea NORTH (tazama mara nyingi watu wa kaskazini huwaje) wakawa wana ueleo na almaarufu kuhukumu zaidi yetu wakachapa kazi za kuongoza...Hayo wewe uliza utajibiwa. kingine tukawapa udugu wenyewe (wake) tukawiita wajomba na mashameji.!!
Sasa vipi unataka kugeuza HISTORIYA?
kwa maswala ya mapinduzi hata wenyewe kwa wenyewe waafrika twapinduana.
Yote haya hawajui,ni mpaka wapate mtu wa kuwafundisha,ndio waelewe,na mambo yako wazi,haitaji uwe na degree.Ahsante kaka/Shkraani nyingi Kikwajuni ONE; Wafahamishe wandugu kuwa lugha tunayoitumia sasa kuelewana na kuzungumuza na wana jamii humu na kote afrika mashariki ni mwana wa kiarabu( OMAN ) katuachia zawadi ya milele
na hata tunapo kwenda kwenye ibadaa zetu kuomba mungu kwa lugha ambayo walitupa hao Waalabu, au bado niwaengezee hayo majina ya miji yetu tunayojivunia eti Dar-es-Salaam ,Tanga, Arusha, Tabora, Mafiya, kilwa,Mutawara, Rufiji,kighoma,Zanjibar,nk. ni ya kiarabu je tuwaambie wa Omani wayachukuwe kwao halafu watulipe fidia. Yaani sisi acha tu ni watu hatuna la maana ni vigeugeu, kila siku mbili zikipita ati Ooo tulifanywa watumwa Ooo tulisijui nini, Hebu tuache
upuuzi usio kuwa na ukweli wala misingi hiyo ya aina yeyote wengi wetu tulikuwa watemi na makabila lukuki kiuzito wa influensed society na kihistoria na kujiamini kuwa rangi zetu zisituprosecute kutudhalilisha tuliishi na watu wote bila kuogopana. Heshima to all mankind with african huminity.
Sio kutamani utawala urudi,ninamfahamisha aliyesema wazungu walijenga,reli,shule nk,lkn mwarabu hakufanya lolote.ndio namfahamisha uchumi aliyotuachia,na twapata pesa za kigeni kwa utalii,kutokana na historia ya mambo ya kale,aliyotuachia.
Ndugu yangu hakuna thawabu kubwa kama kutoa msamaha kwa adui.