Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Yaani wewe msela maviii unaye andika demu kila sentence, demu ndio mdudu gani? kwanza dogo usitukane wakunga na uzazi ungalipo Subiri utungishe mimba kwanza. Umekanzana huku kijiweni wanasema so what kama wanaongea.


Si kosa lako, ukikua utajuwa nimeandika nini.
 
Aahh " kuwa na mwanamke single mother sio laana " mama yangu alilelewa na baba wa kambo " na mpaka leo hii huwa anamuona ni shujaa wake " ....

so kama mama yangu anautambua mchango wa baba yake wa kambo " mimi ninani hasaa ni shindwe kuutambua mchango wa mwanamke ambaye ni kama single mother "

Ina maana jamii yetu haina kabisa wanawake ma-single mother ambao wana hekima utii na busara ..sitaki kuamini kuhusu hilo ... kuna wanawake wengine wamekuwa ma- single mother baada ya kubakwa wakashika mimba _ na wengine ni wajane waliofiwa na waume zao " ... sio kila single mother aliwahi kuwa malaya ndio akapata mtoto "



Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya wanawake wanaolea watoto bila baba ni matokeo ya ngono zembe na tamaa za kupata mali na vitu kirahisi bila mahusiano halali.....

So unachokisema ni halali na kweli ila kinakosa uhalisia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom