Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Wewe utakuwa mhenga mwenzangu...nipo nasikiliza "Narudi Nyumbani" wa Super Matimila, "Neema" Sikinde, "Pesa Position" TP Ok Jazz, "Maze" Tabu Rey Rochearuu na " Nawashukuru Wazazi" Sikinde....Live Band

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂naupenda wimbo wa chidumule sijji unaitwa Neema..usipate tabuu Neemaaa..woyooooo
 
Mimi nimesoma chuo za wahindi wakanifukuza[emoji23][emoji23] since pale sina kbs mapenzi na wahindi...yaan kila napomuona mhindi napata hasira wakanirudisha nyuma semester1...yaan tena hao wagoa ndo kbs....kuna m1 alinitongoza chuo tukaarange nimkubali ila nikampigr mapicha akiwa naked tubandike ukutan[emoji23][emoji23] nikaingiwa iman tena..ila wahindi kwangu mm sumu kbs
Wabaguzi sana mbwa wale nawapenda tu hapa nimefika home naangalia Action Jackson ya ajay devgani!
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]

Yaani wanakurudisha ili tu kukukomesha daa! Hawapendi uwazidi

Ungemfanyia hvyo huyo mgoa wangekuua aseeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabaguzi sana mbwa wale nawapenda tu hapa nimefika home naangalia Action Jackson ya ajay devgani!
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]

Yaani wanakurudisha ili tu kukukomesha daa! Hawapendi uwazidi

Ungemfanyia hvyo huyo mgoa wangekuua aseeh!

Sent using Jamii Forums mobile app

mhindi ana asili ya woga wangekusanyikana tu wangeanza tikisa vichwa vyao...hahhaa hongera aisee mm sijui au kwajili nakuwa nabanwa sana ..eti nikiangalia tamthilia au movie ndan ya dk 10 nasinziaaa
 
Rebeca 83 kupondwa ni pale umeonyesha udhaifu wako na hufai wewe ni wakwanza kuwashauri wasichana wenzio vibaya kama Mia Malkova unaenda kabisa inbox utafikiri unawajua wanaume wote sasa ukipondwa hapa utasemaje kuwa wanaume wana tabia mbaya you better keep quite kwa sababu kila unayejifanya umshauri ana akili zake na anajua huyu ndiye na huyu siye badala ya kujifanya unaelewa zaidi wanaume wa humu ndani. iwe mwisho kwa tabia yako ya hovyo sana
 
mhindi ana asili ya woga wangekusanyikana tu wangeanza tikisa vichwa vyao...hahhaa hongera aisee mm sijui au kwajili nakuwa nabanwa sana ..eti nikiangalia tamthilia au movie ndan ya dk 10 nasinziaaa
[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji11]daah!hobby tu mi hua nasinziaga pia baadae nakaa sawa

Wahindi waoga lakini nayaona kama makatili kwa waafrica hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom