Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Asilimia kubwa ya wanawake wanaolea watoto bila baba ni matokeo ya ngono zembe na tamaa za kupata mali na vitu kirahisi bila mahusiano halali.....

So unachokisema ni halali na kweli ila kinakosa uhalisia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunarejea pale pale " ama kule kule ' kwamba msababishaji mkuu wa hayo matokeo ni sisi wanaume (baadhi lakini ni wengi )

Kwa sababu wanawake hawajibebeshi mimba wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom