Mama mdogo take easy. Wengine tuna frastresheni zetu. Tunatakiwa kusamehewa tu. Tuanze mwaka 2019 upya au sio Madame!Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Sent using Jamii Forums mobile app