Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
😂😂😂... hayaHivi una nini na demi ?
mpumzishe kidogo mtoto wa watu jmn?
[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂... hayaHivi una nini na demi ?
mpumzishe kidogo mtoto wa watu jmn?
[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy new 'yia' to you too.Happy new year mkuu kama kuna jambo ulikwazika mwaka jana nisamehe..hakuna mkamilifu kbs
Happy new 'yia' to you too.
Kuwa na amani, hujawahi kunikwaza.May 2019 bring the best into ya life.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume aliyekomaa kiakili na kifikra tu ndo ataelewa koment zako ulizochangia kwny huu uzi. Ila watoto watakupinga na kuona upuuziTunarejea pale pale " ama kule kule ' kwamba msababishaji mkuu wa hayo matokeo ni sisi wanaume (baadhi lakini ni wengi )
Kwa sababu wanawake hawajibebeshi mimba wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume aliyekomaa kiakili na kifikra tu ndo ataelewa koment zako ulizochangia kwny huu uzi. Ila watoto watakupinga na kuona upuuzi
Be Humble is free of charge [emoji873]
manengelo huyo
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Huyu bwana anavyoongea inachekesha sana.kila siku mie lazima niichek nicheke tu jamam[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu bwana anavyoongea inachekesha sana.
Ndio malezi ya familia zetu, nchi nyingi za Africa(sio TZ tuu).Niliwahi kushuhudia watoto wanapigwa in public kwa sababu zisizo za msingi hadi aibu.Yaani mtoto anapigwa kwenzi kwenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
INTERESTINGMwanzoni ninavyijiunga na huu mtandao nilikuwa sichukulii maisha ya hapa jukwaani kivileee. Lakini bahati mbaya nikaja kujua kwamba kumbe kuna watu hapa Jamii Forums ndiyo wamefika na kila jambo wanalolisema huwa wanalimaanisha. Sasa asilimia 70% ya wengi wa wanaochukiwa humu ndani na kudhalilishana ni wale waliojitakia wenyewe kwa kukosa umakini au kuendekeza tabia za uswahili uswahili. Nasema ni heri mtu aje atukane wanaume wote tu au wanawake wote, lakini siyo aje aanze kukusakama wewe peke yako. Mara zote matusi ya hapa jukwaani huwa yanaanzia huko PM hasahasa baada ya kutongozana au kukutana uso kwa uso.
SAWA TUMEKUSIKIAKiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] wengi sana tumepitia huko aisee mie hadat the age of 22 baba alinipiga[emoji23][emoji23] nikaapa nikimaliza shule sikai hom..argh
Kwanini humpendi mama yako rafiki?nahisi kinachonifanya nichukie mahusiano labda kwa sababu simpendi Mama yangu!
Asante mkuuMwanaume aliyekomaa kiakili na kifikra tu ndo ataelewa koment zako ulizochangia kwny huu uzi. Ila watoto watakupinga na kuona upuuzi
Be Humble is free of charge [emoji873]