Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
I love you Rebecca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji28][emoji28]wanaume wakiguswa wanacharukaa sana!

Jana gudume kapondaa watu wamekaa kimya Leo! Ya kwao naona wanavyohabuka!

Kwa nini mwateseka!![emoji28][emoji28][emoji38]

Goes around comes back around!
Mjikaze si kwa ubaya kaka zetu tunawapenda km mnavyotupenda!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wait a minute!

Wewe unataka kuniambia hapa kuwa huyu mwanzisha mada huwa hamtukani Kasie?

Kasie siyo mwanamke mwenzie?

Kasie kamfanya nini huyo hadi awe anamwandama hivyo?

Niambie hapa with a straight face kama nasema uongo?
 
Kaka ngoja nipitie thread za Kasie!nione niwe mkweli sijawahi fatilia!!
Nikiona nakujibu hapa hapa!!

Kasie kwangu hana shida she is herself I like her!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani JF huwa inanifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baadhi ya Wanawake wa humu wajifunze kuwa busy na inshu zao, wanawachekea wanaume wa humu matokeo yao ni kuja kuwadhalilisha huwa nawaonea huruma sana.
Wapo wanaojiheshimu humu mbona!!!wababa watu wazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani JF huwa inanifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baadhi ya Wanawake wa humu wajifunze kuwa busy na inshu zao, wanawachekea wanaume wa humu matokeo yao ni kuja kuwadhalilisha huwa nawaonea huruma sana.
Embu dadavua kidogo tupate nondo dadaangu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Akili ya single maza wanayokuwa nayo baada ya kuzalishwa na kupigwa chini wangekuwa nayo kabla ya kuzalishwa wangekuwa wake wema sana..!

Binafsi nachukia baadhi ya wanawake hasa wale wasiojua mipaka yako kama wamama.

Kuna wanawake mnaudhi sana, arrogant na akili kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom