Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Mama yako sio Shetani!

Wewe sio Kitobo,wala sio utoko!

Ignore the rest.

Its high time wanawake tujifunze humu.Somo mara moja,mara mbili mtu hukomi yakikukuta ulie na wa kwenu.

Naungana na Fake P wanawake humu acheni kushobokea Wanaume wa humu,msitake wawajue undani wenu kabisa labda uwe na moyo mpana na mgumu sana.Kujifunza mwisho mara 2 mara tatu Ujinga wako.Kuwa mwema sana kama unafanya sensa ya wanaume vitawacost.Ukishikwa nyege rukia hata kondakta mbake.Kuna majitu humu sio.Wema wetu na Nyege zetu ndo zinatutukanisha.

Lets Grow Up.Kuwa intrigued sana na mada sijui za umalaya usingle maza naona kama ni utoto sana.
Sipati picha kama Rebecca ungekuwa unajulikana wuchi wako humu.Tungejua mpaka vuzi lako leo.Hongera sana kwa kujitunza kwa upana huo..Big up!

Single mazas na madouble maza Much love kwenu.
Bila kuwasahau wanawake wa mikoni.Tukalime sasa!


Sent using Jamii Forums mobile app
Comment bora kabisa ya kufungia mwaka hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana hata msiposamehe, mzigo wa kinyongo mnabeba nyinyi wenyewe. SAMEHENI HARAKA KABLA YA 2019.

Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
 
alafu ni libaba zee lilisema lilienda US1992..imagine huo mwaka ww ulikua darasa gan jaman..yaan huyu anatuzaa lakin kutwa kujishaua oh wanaume wa kitz maskini sana anataka kufananisha na wanaume walio kwenye mid 30's na huku yy anakimbiza 60 huko[emoji57][emoji57][emoji57]..hv unawawekaje kwa group 1 hao watu?shezy zake

Hivi una amini misemo yake

Hayo mengine wanayaandika ni fairy tales tu

Muda mwingine utajikuta unabishana na teenager
 
Hivi una amini misemo yake

Hayo mengine wanayaandika ni fairy tales tu

Muda mwingine utajikuta unabishana na teenager

😂😂ananichefuaga sana hujawah tu mfatilia..kuna uzi.mtu ukicomment alikia anasema.usikoment ww huna akil.acha tukoment sisi weny akili..mxiew
 
Hamna anayewabeza au watukana ni wao wanajishtukia na kuonesha kwa nini waliachwa. Wapo wachache wana akili na mpaka unagundua wanaume waliowacha walikuwa wapumbavu.

Wengine hata humu tunawaona tu wanavyo misbehave kiasi kwamba tunapata majibu.

Lakini nao kwa nini wazae na wanaume ambao si waume zao?hili nalo wanapaswa sana kufikiria.
Nadhani watu wanatukana kutokana na jinsi mnavyowasema hawa watu, yaani ni as if wametenda kosa la ajabu sasa mnaamua kuwatenga.
Single mothers wamesababishwa na nyie wanaume, wengine kwa makusudi kabisa that's y nikasema Kuna factors nyingi zinasababisha.
Single mothers ni dada zetu na wengine wadogo zetu tunaishi nao mitaani tunawaona na kuwajua vizuri, hawana tatizo la ajabu sijui why mmeamua kuwaponda hivi.
Pia wengine wana matatizo ya kisaikolojia wametendwa kwenye mahusiano yao yaliyopita, now wanapitia magumu ya malezi peke yao so hawapo sawa kivile. Wanahitaji upendo zaidi ya kupondwa.
Pia maisha ni kuchagua, mtu km hupendi single maza bas tongoza unayeona anafaa.
Ombeni sana Mungu msipate watoto wa kike, ni changamoto kubwa. Si kitu cha kubeza hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom