Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,318
Magu alegeze jamani
Unakuta hapo mtu ana stress debe
Tuliwahi kujibishana kwenye ile nyuzi yake aliyo ibiwa chupi na kahaba ilibidi nifatilie nyuzi zake nyingine Nika gundua ni shoga🤣🤣🤣🤣🤣ni shoga anayetafuta bwana humu jf kumbe wamjua..?
msituchoshe...wengine wana uwezo wao.kbs mbn.mnateseka? [emoji91]
Wakuu sijasema kwa ubaya.Ni tahadhari tuu nilitoa.Maneno ya jf na ya mtaani tofauti. Single mazas wanapendwa Kama kawa jamani, asiye na bwana kataka yeye mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo naona kuna mtanange hapa.
Nimeruka ruka pages, ila huu uzi hauleti baraka mwisho wa mwaka.
Mimi pia nimekujibu kwa uzuri tu mkuuWakuu sijasema kwa ubaya.Ni tahadhari tuu nilitoa.
Tuupokee mwaka kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni shoga kbs alafu amekosa bwana mknduu unawasha..mxiew..leo mume akiona matusi haya🔥🔥🔥😂😂😂 anisamehe tu..arghh najua ananifatilia 😯Tuliwahi kujibishana kwenye ile nyuzi yake aliyo ibiwa chupi na kahaba ilibidi nifatilie nyuzi zake nyingine Nika gundua ni shoga🤣🤣🤣🤣🤣
Uongee na mini kuhusu nini jmn?alinichefua siku 1 pm.ananienjoy eti niongee na ww[emoji23][emoji23]nikampa.makavu akanywea[emoji57]
🤣🤣🤣🤣Ana sifa za kijingani shoga kbs alafu amekosa bwana mknduu unawasha..mxiew..leo mume akiona matusi haya🔥🔥🔥😂😂😂 anisamehe tu..arghh najua ananifatilia 😯
wewe Nyokooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alinichefua siku 1 pm.ananienjoy eti niongee na ww[emoji23][emoji23]nikampa.makavu akanywea[emoji57]
It's all good bro!!What’s crackin’ man?
🤣🤣🤣🤣Ana sifa za kijinga
Yap! Ulichokiandika nincha kweli mimi binafsi kuna binti niliwahi mpenda sana.ninaposema sana namaanisha kweli kweli ila akaja kunitenda bila sababu yoyote niliumia sana Ila muda ukaniponya.baada ya hapo kiukweli siwachukii wanawake ila siwapi tena ile value niliyokuwa nawapa awali na kingine kiukweli sina upendo wa dhati now kwa hawa dada zetu huwa na date now tu nikisha sex tu BAAAS sina hamu naye tena na sijawahi muweka mwanamke moyoni tena baada ya lili tukio .Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...
Tuwasamehe tu
wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…
Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…
Especially wakiwa wadogo,
wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc
hii trauma inabaki kwenye ubongo,
ambayo ina result into hatred towards women,
Utawajua tu humu,
tabia ni ngumu kuficha,
Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..
he is probably twisted!
Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
wewe Nyokooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nilikutongoza eti eeee!
mwambie hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nilizushiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka skrini shot hapaati anakupenda..hajui kuwa mm men yyt anayenitongoza ww ndo 1 kukuambia n vice versa[emoji57]
ni shoga kbs alafu amekosa bwana mknduu unawasha..mxiew..leo mume akiona matusi haya[emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23] anisamehe tu..arghh najua ananifatilia [emoji54]
Khaaaahnahisi kinachonifanya nichukie mahusiano labda kwa sababu simpendi Mama yangu!