Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Demi sikatai. Mfano unavyoandika wewe kama hivi hata ungekuwa single mother ungeolewa. Wapo watulivu wachache mbona sijakataa.

Ila asilimia kubwa angalia hata wanayoandika humu itagundua kwa nini waliachwa. Wewe unaandika kwa akili na utulivu mwanaume akisoma tu anaona huyu ni mwanamke mwenye akili. Wale manungayembe utaona matusi yao.
Nadhani watu wanatukana kutokana na jinsi mnavyowasema hawa watu, yaani ni as if wametenda kosa la ajabu sasa mnaamua kuwatenga.
Single mothers wamesababishwa na nyie wanaume, wengine kwa makusudi kabisa that's y nikasema Kuna factors nyingi zinasababisha.
Single mothers ni dada zetu na wengine wadogo zetu tunaishi nao mitaani tunawaona na kuwajua vizuri, hawana tatizo la ajabu sijui why mmeamua kuwaponda hivi.
Pia wengine wana matatizo ya kisaikolojia wametendwa kwenye mahusiano yao yaliyopita, now wanapitia magumu ya malezi peke yao so hawapo sawa kivile. Wanahitaji upendo zaidi ya kupondwa.
Pia maisha ni kuchagua, mtu km hupendi single maza bas tongoza unayeona anafaa.
Ombeni sana Mungu msipate watoto wa kike, ni changamoto kubwa. Si kitu cha kubeza hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mchokozi, but sina sababu ya kumchukia nisiyemfahamu, nafikiri nilishasema naishia pale lkn naona hata yeye hakuelewa kuwa sitaki kuendelea zaodi.
kwa kifupi mimi sio (mzushi) wala sio (mgomvi/mwonevu) ninaheshimu wanawake, hayupo niliyewahi kumwuumbia humu hata ninayejua weakness yake.
Endapo hajaelewa kuwa sitaki kumuumiza basi anaweza kuendelea tu lkn mwisho wake mimi siutani kwani hautavutia
@Reynavero
pokea mwaka kwa amani
ushauri wangu kwako;
badilika na uache uswahili swahili wewe
taaluma yako ni nyeti hata kama watu hawakujui..wewe itendee haki taaluma yako na kwa hiyo utaheshimika na wenye heshima kuliko kutukuzwa na watu wasiokiwa na future kwa uswahili wako.
nakutakia mwaka wa baraka 2019..
nakuahidi hutoisikia sauti yangu ikuonyayo tena[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera
 
hivi kama.wanauza ww unateseka na nn??yaan mfano mm nimuuzie mtu humu ww huko na utajiri wako.unatesekea nn?au mapumbu yako yananywea?au mkundule wako unatanuka? hebu waache watu waishi waoendavyo ww ni nan ht uwasemee..wanwake malaya wanaachaga umalaya automatic wenyew...iwe kwa kumpaya mr RIGHT au kwa kutendwa vibaya..hebu vibane vipumbu vyako vilivyosinyaa hvyo km una ukoma basi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mamy kunywa Fanta orange uko ulipo
 
Magu alegeze jamani
Unakuta hapo mtu ana stress debe


alafu ni libaba zee lilisema lilienda US1992..imagine huo mwaka ww ulikua darasa gan jaman..yaan huyu anatuzaa lakin kutwa kujishaua oh wanaume wa kitz maskini sana anataka kufananisha na wanaume walio kwenye mid 30's na huku yy anakimbiza 60 huko😏😏😏..hv unawawekaje kwa group 1 hao watu?shezy zake
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom