Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Yap! Ulichokiandika nincha kweli mimi binafsi kuna binti niliwahi mpenda sana.ninaposema sana namaanisha kweli kweli ila akaja kunitenda bila sababu yoyote niliumia sana Ila muda ukaniponya.baada ya hapo kiukweli siwachukii wanawake ila siwapi tena ile value niliyokuwa nawapa awali na kingine kiukweli sina upendo wa dhati now kwa hawa dada zetu huwa na date now tu nikisha sex tu BAAAS sina hamu naye tena na sijawahi muweka mwanamke moyoni tena baada ya lili tukio .
Sasa sijui nisha athirika kisaikolojia au? Vp na sina mpango wa kuoa mbeleni ila kuzalisha tu ndo nataka ila kuoa sidhani.



Sent using Jamii Forums mobile app


hakua chaguo lako...usilazimishe mambo
 
KingY ulimtongoza manengelo? .
Hii 3some itakuwa tamu kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app

hhahaa hajawah nitongoza alikuja pm ananiambia anakupenda sana eti niongee na ww 😂😂aliniudhi...ww demi unataja 3some n mm😂😂😂..nyoko kweli ww..haya tafuya bas tufanye kweli😂😗😗😗🙌🙌🙌..tukiamka asbh nakununia😂😂😂...bwana eh mume ananisoma humu ujue
 
Unakula Smirnoff ama [emoji485]? Nataka nije tupige vitu then "nikisugue"[emoji125][emoji125][emoji125]

😂😂😂..ah ww bwana ww😂😂😂eti unisugue..mimi sisuguliw ni unabonyeza tu button😅😅😅..acha bas...usije shindwa nioa bureeew😂😂
 
hhahaa hajawah nitongoza alikuja pm ananiambia anakupenda sana eti niongee na ww [emoji23][emoji23]aliniudhi...ww demi unataja 3some n mm[emoji23][emoji23][emoji23]..nyoko kweli ww..haya tafuya bas tufanye kweli[emoji23][emoji10][emoji10][emoji10][emoji119][emoji119][emoji119]..tukiamka asbh nakununia[emoji23][emoji23][emoji23]...bwana eh mume ananisoma humu ujue

Alishindwa kuniambia ama? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mume yupi huyo anayekusoma? Cheupe ninae mjua mie? Au mume wa jf?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom