Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
nan kafuta?ila.mods wananitftanahis ..kama.ipi?
Huyo ndiye dada yangu Geniverose![emoji4][emoji4][emoji4]
Nyingi mnoo zimefutwa!!!nan kafuta?ila.mods wananitftanahis ..kama.ipi?
Hongera zake aseeh![emoji38][emoji28][emoji28][emoji2]Huyo ndiye dada yangu Geniverose![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji10] jaman...haahauhaa
Mpk muda hii Uzi ungekua na buku comments ila zimekatwa kama zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Nilikua napita kimya ila hii imenigusa, alifanya nn?nahisi kinachonifanya nichukie mahusiano labda kwa sababu simpendi Mama yangu!
Tishaaa babaangu.
nahisi kinachonifanya nichukie mahusiano labda kwa sababu simpendi Mama yangu!
Rafiki nimeshajibu hili swali!
Ila sisi jamani nyuzi kama hizi huwezi muona Nalendwa bila kumsahau G wangu jamani tuna matatizo gani sisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sisi jamani nyuzi kama hizi huwezi muona Nalendwa bila kumsahau G wangu jamani tuna matatizo gani sisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na maamuzi yake humu
Heri ya mwaka mpya "WANAUME WOTE WA JF " nikisema wanaume si inaeleweka lakini? Yaani Wanaume , Madume ya nguvu, the rest mtasalimiwa kwenye vikao vyenu vya umbea huko pm na group whatsup[emoji23][emoji23][emoji23].
Shoga angu usinichambe sina mood kabisaKila mtu na maamuzi yake humu
Ahahahhahaha Kunyatia kawaida tu sehemu inaeleweka lazima macho yatoke[emoji23][emoji23][emoji23]we naye unampaisha sana G wako ndo maana mashoga zako wanamnyatia nyatia shauri zako[emoji23][emoji23] nalendwa ligi km hizi hawez kbs yule