Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Heri ya mwaka mpya "WANAUME WOTE WA JF " nikisema wanaume si inaeleweka lakini? Yaani Wanaume , Madume ya nguvu, the rest mtasalimiwa kwenye vikao vyenu vya umbea huko pm na group whatsup[emoji23][emoji23][emoji23].
Unataka kumaanisha Nyani Ngabu ni McheleMchele? Na haqualify kuwa mwanaume [emoji16][emoji16]

Bora mimi naqualify kuwa mvulana.. Wanaume wa JF mnatakiwa happy new year.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie mwenyew ikatokea nikatengana na hubby naamini nitaolewaga tu yaan tena fastaa ila itabidi nitake tym kwanza maana mahari hom.wanaweza kataa[emoji4][emoji4]..tunaoleka tu mamaeee zaoo

Halafu sio wote wamekimbiwa kuna mtu namjua yeye hataki kuolewa anataka azae tu maana uwezo wa kulea anao yaani hapendi ndoa.

Sasa humu wanajua kila single mother katelekezwa
 
Mi fwala kweli nimesoma comment ya mwanzo had ya mwisho najaribu kufikiria maudhui niliyopata sioni[emoji23][emoji23].

Heri ya mwaka mpya wachaga wenzangu wote na watu wote wa kaskazini. (Ukabila na ukanda mbele kwa mbele)

Heri ya mwaka mpya wanaume wa mikoani, wanaume wa dar sijasema chochote jamani msije mkabadilisha mwelekeo wa Uzi bure[emoji23][emoji23].

Heri ya mwaka mpya wanaume wote wanaojua kutafuta hela na kutunza familia zao na wapenzi wao waliobaki endeleeni kuchambana na wadada[emoji111][emoji111][emoji111]

Oh nilikuwa napita tuu.
 
😂😂😂🙌🙌🙌
 
Ahhaahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom