Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,649
- 33,575
- Thread starter
- #501
Mkuu komaa huko huko mtaani, Umoja wa wanawake jamii forum (UWAJAFO) kauli mbiu yetu mwaka 2019 kujibu pm ya Mwanaume wa jamii forum Sawa na kubeba bomu kichwani🤣🤣🤣🤣🤣hakuna kujibu pm ya mtu kuanzia sasa.
😀😀😀😀 kubeba bomu kichwani 😀😀😀😀