Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Ecclestiastes 9:5 - 'The Dead Know Nothing'

Badala ya kukaa na kutafakar ni mabadiliko gan myafanye ili yawape Heshima humu........ Bado mnaendelea kujifariji ?

Ukiwa Singo mama, ni singo.mama tu..ukiwa Hujaolewa na Umri umeenda itabakia ivo tu..... Ukiwa Unatabia alizosema ndugu GuDume unazo tuu.
...after all mtu hawezi kutoka kusikojulikana kuja kusemea Tabia zako ambazo wewe mwenyewe hujawah kuzidsclose au kuzifanya.

Ivo basi,ni wazi kua Yanayosemwa humu yapo na uanatendeka sio visa vya kubuni wala kusadikika.

Msipende kusifiwa upande mzuri tu..ifike mahali, angalieni huo upande mnaouchukia kisha muutumie kama Fursa ya nyinyi kufanyaa mabadiliko..


Basi angekua ni mmoja basi tutasema anachuki nanyinyi za kibinafsi..LAKINI NI WENGI SANA, nakila siku yanakuja mapya....

Inamaana wote hao wanawachukia ??? Wamelelewa vibaya ???

Endelea kujifariji nakutiana upofu ambao utazidi kuwafanya msiondoe badiliko la mioyo yenu. Na kwanmaana iyo Tegemeen hayo kila siku kwakua watu ni walewale namaisha niyale yale

...mbona masingo mama wengi wanaolewa????? Nikwann Wahumu tu ndo msemwe???

Kuna singo maza mmoja, kaniPM minamba yake kwa ID hii, sijakaa kidogo ID ingine inaniPM kwenye ID yangu ingine tena anajitongozesha uko na namba akaaacha mbaya zaidi anasema " Mimi najua una mtu ila utanipa pesa kidogo kisha tutombanee"

Huyu wa aina hiii unamuweka kundi gani??? Dem una ID nyingi, unazunguka humu kutafuta Ujinga tuuuu mpaka unajigonga mara mbili kwa mtu??? ( mpaka sasa anajua sijajua, ila ukimya wangu umeshampa jibu).



SIKILIZENI, HATA MKIJIFANYA HAMUELEWI ,OOHOOOO SIJUI NN, UKWELI UTABAKI KUA UKWELI NA UTASEMWA TU INGAWA UTASEMWA NA WATU WACHACHE WASOTAFUTWA KUPENDWA !!!
Nipe I'd zao PM Man kiroho safi niwatafute mwenyewe.. Nimewapenda tabia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We single mother wa hum Jf ulichomfanya huyo kijana wa watu Mungu atalipa. Sio vizuri umemfanya mtoto wa mwanamke mwenzio kawa kama kichaa anaweweseka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu yake toka kwa mwanamke mmoja asijumuishe wanawake wote.Yaonekana alimpenda sana na alimuumiza sana sasa hasira zake ndio azilete kwa wasohusika?
Ndugu wajijua unahitaj tiba kama uko DSM nenda muhimbil ama nipm nikupe namba ya daktari bingwa watakutafuta popote ulipo wakusaidie bureee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INTERESTING......soma unielewe….

issue sio single mazas,

issue ni wewe kila siku ukiona topic ya wanawake...iwe single mazas,wasioolewa etc lazima uingie na kuponda...

Kama kigezo ni heshima mtu akiolewa kabla hajazaa,wengine sio kigezo..usilazimishe watu kufanana...

ni kweli humu masingle mazas wanalaumiwa na watu wengi wanawaponda,

ila kwa mtu makini atakua kashagundua kuwa kuna maprofile yako peculiar....

ikija kusigina wanawake,lazima huyu mtu yumo….

mpaka imekua common,tukiona topic inaponda wanawake,tuna expect Fulani lazima ataandika tu mashudu yake kwenye hii topic..

na inakua kweli...


(Halafu nilikukutaza kujibu posts zangu,sijibugi posts zako, (I will appreciate kama hautajibu tena topic yangu)
Mengine yote hapo juu uko sawa kabisa.. [emoji11][emoji2]
Hapo mwisho huwezi kataza mtu asichangie post kwakwel.. Tuelewane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Mkuu pole sana
Hawa ni kuwaambia ukweli tuu hamna namna bahat nzuri sinaga unafiki wa kumfurahisha mtu ili anipende !!!


Wanapenda kusifiwa sana, yaan ukiwasifia basi wanakupenda mnooo !!

Ukweli utabaki kua ukweli..waache kujificha ktk mwamvuli wa Uanamke wao....." Kua mwanamke" hakutoi sababu ya kuhalalisha ujinga hata km ni wakipuuzi.

Nahii ndio sababu tumekua Na wimbi kubwa la wanawake WASOFAA kua wake zetu ...

Angalia zamaaan sana, Mababa zetu kumuoa singo mama HAIKUA TATIZO KABISAAAA.... Sasa angalia now days ,kwann imekua ngumu????

Mtu anakua singo mama au Aged, lkn ana msululu wa wanaume balaaa....sasa hum ni mitandaon....
Nahuko nje je?????



Wenyewe waendelee kusema Hatukulelewa vzuri, sijui tumeumizwa na wanawake

Ivi kweli Mwanaume kama mimi,,, Kuna siku ambayo Nitakaa Niumie sababu ya Mwanamke?????? Kwanza imaan yangu kuelekea mwanamke wangu, HAITAKAA KAMWE ISAPOTI MIMI KUUMIZWA NA MWANAMKE ...nikwasababu ninajiamin kiakili, kimaisha, kimalezi, kielimu , kimapenzi na Nina uhakika wa mahuasiano mapya kila siku.


Ukitaka Mwanamke Akusumbue, kua serious naye sana na ajue unampenda hata huwez kuish bila yeye ....ila ukitaka asikusumbue, kua katikat, onyesha unampenda..akizengua muonye ..akizengua tia makofi ,akizengua Achana naye.

Mungu aliposema Tuishi nao kwa akili.... Alijua fika kua ni viumbe werevu na wenye mauzi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom