ALikuwa ASIYEJULIKANA akafa kiajabu sanaJohn mjema kama sikosei..
Alitaka kumuua Castor Ponella akatangulia yeyeOne for Steve 2K.
RIP.
Nigga one sio D rob.....Kuna jamaa anaitwa Nigga One.
Sijawahi kumuona ila nasikia sana.
Alijiua kwa kujichoma kisu ...nafkiri ilikua baharini hv au pwani pwaniALikuwa ASIYEJULIKANA akafa kiajabu sana
Nae alipigwa Beto..."Nini dhambi kwa mwenye dhiki"?
Rest peace Faza Nelly (Xplastaz).
-Kaveli-
Wewe uko kama mimiCPwaa ...huwa siamini kama hayupo tena
Hapana nyumbani tena chumbani kwake Temeke huko.... a;ikutwa kajichinja yaani kajikata koromeo.....Alijiua kwa kujichoma kisu ...nafkiri ilikua baharini hv au pwani pwani
Ngwea, Langa na Sharo wote hao tunaweza kusema ni vifo vya kujitakia. Hao wawili ni ngada na Sharo kuendesha gari huku ukiwa umelewa ni a suicide move.Complex ile ajali na mkewe .
Steve 2k alipigwa kisu kama sijakosea kwa kuvamiwa
Mangwea huyu ganda zilimzidi.
Langa kileo huyu nae ganda ilichangia.
Mez B aliumwa kitu kama hicho.
YP .
Sam wa ukweli naye pia aliumwa .
Jebby mzee wa dunia haina siri.
Yote tisa sharomillionea mtu wa kazi ajali pale Muheza maguzoni.
... hukumtunuku Manzese?Nilikuwa nampenda sana
Hapana... hukumtunuku Manzese?
Same here....jamaa alikua na swag za mbele ...muziki wakr uukute club hilo bang lake sasa...dah...au uwe na radio inayochuja mziki...those yearsNilikuwa nampenda sana
Umedai unampenda; seems una siri nyingi hadi kutamka hivyo publicly.Hapana
Wewe ulifanikiwa kumtunuku?
Una akili ya kipuuzi kama kila upendo ni wa kingono kwakoUmedai unampenda; seems una siri nyingi hadi kutamka hivyo publicly.