Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

Alijiua kwa kujichoma kisu ...nafkiri ilikua baharini hv au pwani pwani
Hapana nyumbani tena chumbani kwake Temeke huko.... a;ikutwa kajichinja yaani kajikata koromeo.....

Mara kadha nilizowahi kwenda jumba jeupe nilikuwa namkuta maeneo fulani kule ndani... Nilikuwa najiuliza sana kuhusiana na muziki wake na aina ya Kazi anayoifanya....

Kukazuka hearsay kuwa alikuwa haendi sawa na baba take hivyo alikuwa na furstrations....

Nchi his ina mizuka kinoma
 
Complex ile ajali na mkewe .

Steve 2k alipigwa kisu kama sijakosea kwa kuvamiwa
Mangwea huyu ganda zilimzidi.
Langa kileo huyu nae ganda ilichangia.

Mez B aliumwa kitu kama hicho.

YP .

Sam wa ukweli naye pia aliumwa .

Jebby mzee wa dunia haina siri.

Yote tisa sharomillionea mtu wa kazi ajali pale Muheza maguzoni.
Ngwea, Langa na Sharo wote hao tunaweza kusema ni vifo vya kujitakia. Hao wawili ni ngada na Sharo kuendesha gari huku ukiwa umelewa ni a suicide move.

Pamoja na yote wapumzike kwa amani.

Hivi kina TX Moshi hawahusiki kwenye orodha? Goma lake la wanaume tumeumbwa mateso hua linanipa filingi sana.
 
Back
Top Bottom