Nitajie mwanaume mmoja tu alietolewa kimaisha na binti Mwenye miaka (18-35), usiseme Dume kupewa gari na sugar mummy wa miaka 70 coz sugar mummy sio binti..
Binti Wa kawaida tu anatongozwa na wanaume 20 tofauti kwa mwezi, kwann atoe hela ili apate dushe?
Kuna jamaa humu jf Alitongoza binti wa waziri, binti akajibu baba zao wakikaa wataongea nini, u can imagine.
Wadada mkitununulia vest na saa hio huwa ni sehemu ya hela tulizowahi kuwapa, na mnatugea kama mkopo mkijua kuna sehem mtatuomba hela mrudishe hela yenu.
Ukweli ni kwamba nyie wanawake hamuwezi kutupenda sisi wanaume kwa upendo mkubwa, kama sisi wanaume tunavowapenda Kwa upendo mkubwa
Depal to yeye