Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume tukiwa na Genyee yani akili zinaruka kabisaa unajikutaa umefanya maupuuzo tu
Yaani tule tubao twa kurusha shwaaaa! shwaaa! tunatushusha hadhi mpaka tunadhalilika mno. Suluhisho la haraka na la uhakika na bei nafuu ni nyeto.
 
kipato kikubwa na mpalange, majibu hayo hapo
 
Kaka unasema ukweli mpaka bhasii[emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hiyo ishu ya nyeto inapunguza nguvu za kiume ni propaganda iliyoanzishwa na wadangaji na wauzaji wa dawa. Maana kama watu wakitulia na wapenzi wao na kwa dharura unashtua kimoja maana yake wadangaji watalala njaa. 😂


Mfano huyo afande angeshtua kimoja nahisi hata gari asingenunua kabisa na pesa angefanya miradi mingine.
 
Kuhonga kunategemea na kipato chako, mtu una B , kutoa miln 50, shida ipo wapi, tena unahonga na baada ya mwezi unampiga xhini, unaanzisha uhusiano mwingine
 
Mtoa mada unajua kisosi wewe, tafuta pisi ya Tanga mwambie akufanyie mambo ya kisosi...uone kama hujamwaga hadi akiliubakie na maujinga kichwani
 
kwa hiyo unadhani ukimpangishia demu nyumba ili ku-save pesa(kama unavyodai) ndio hutogongewa?. utagongewa tu, tena kwenye hiyohiyo nyumba ambayo unamlipia kodi.

miaka kadhaa iliyopita nikiwa ndio kwanza naanza ajira yangu ya kwanza, nilipanga chumba na sebule ktk kitongoji flani maarufu jijini dar.

halafu upande wa pili wa ile nyumba, kuna fala mmoja mfanyakazi wa bandari, alikuwa kaupangishia mchepuko wake, mchepuko ulikuwa kisu kwelikweli.

jamaa alikuwa halali, anaibuka tu kula mzigo na kurudi kwa mkewe.

kuna siku ule mchepuko nikakutananao kwenye kiduka cha mangi palepale kitaa. tukazoeana kwa haraka sana. nikautongoza, ukakubali.

kipindi hicho napiga chuma sana na kuvuta mibangi kama sina akili nzuri.mchepuko wa jamaa ukawa attracted na maisha yangu ya usela. halafu ukanipa mkanda mzima kuhusu ratiba za jamaa yake. nikawa najipigia tu.

jamaa alikuwa anakuja na kivitara chake, akisepa tu, mimi naingia....nampelekea moto kwelikweli....siku nyingine nilikuwa nalalanae mpaka asubuhi hata chumbani kwangu siendi.


moral of the story: upangishie mchupuko nyumba but it is not a guarantee that she won't cheat you. pay her rent at your own risk.
Ulipata faida gani? Kosa kubwa sana kumtongoza demu wa mtu ilhali unamjua mtu wake. Mkipigwa mtungo tunawaoneaga huruma sana, kumbe ni washenzi.
 
Tatizo ni Umaskini,
Siku ukiuaga Umaskini utatoa Gari, Nyumba, trips za kuitembelea Dunia, n.k
Aisee sina upuuzi wa hivi. Sasa kama tajiri wa 1 mwenyewe ni bahili mimi ni nani nijikute mtoa hela hovyo hovyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom