Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
Mchanganyo &mchanganyiko
 
Wengi wao ni washamba wa mbunye tu.....unahonga demu gari au nyumba kwa msingi upi?
 
Mtu hata buku huna nguvu za kukojoa unatoa wapi, achilia mbali kua na mchepuko??
umeongea kweli..Na kitaalamu unambiwa kabisa Kuna uhusiano mkubwa Kati ya ugonjwa wa ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa pesa ukiwa ndio chanzo...Baadhi ya wanaume akikosa hiyo buku mfukoni Ni kweli anapoteza kujiamini na nguvu zinapotea,Akipata pesa akaweka kwenye mifuko ya suluari mashine inaanza simama immediately.
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
Ni watu wenye pesa nyingi waliozipata mkupuo bila kutoka jasho sana.

Wacha wazitumie pesa zao bwana.
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
Sio vizuri kumpangia mtu pesa zake namna ya kutumia lakini kinachoshangaza ni pale unakuta anafanya hivyo huku familia yake wako hoje hahe.

Mara nyingi ni washamba fulani hivi wanaotaka kujionesha kuwa wana pesa z kutosha hivyo haaana shida nazo saaana kivile.
 
Unahonga gari, anaenda kuliwa na fundi magari.
Ndivyo maisha yalivyo. Kuna Demu mmoja hapo Bunju alikuwa anahongwa ma-Iphone kutoka US na katibu mkuu mmoja hivi wa wizara fulani.

Mimi nilikuwa najilia bure kabisa hadi Hotel analipia yeye.

Nikimwita tu anakuja mkoani ninakoishi na nauli anajilipia nilikuwa namkaza sana.
 
😂
Kama nakuona unavyomtindua kwelikweli
 
Ni swala la kipato na upendo Kama unazo kwann usionge vitu vikubwa zaidi

Tusiokuwa nacho ndo tunaona ajabu lakn unavyako ni kawaida
Kama anavyofanya "Mo"

Watu wasio na hela ndio wanajifanya wanamapenzi sana ya kuhonga🤣
 
😂
Kama nakuona unavyomtindua kwelikweli
We acha aisee. Maisha haya. Mademu wana dharau sana. Ukijitia mhongaji sana ndio dharau inazidi. Halafu anakuwa kama kakuloga vile. Huwa hawaombi bali wanalazimisha.

Anamwambia usipo nipa kitu fulani usinipigie simu wala usinijue. Jamaa anahangaika kichizi yaani.

Hizi inya zitatuua.
 
Kuna mdada mtandaoni alilalamika mo alimpa laki 😂
Haya sasa hao ndio wanaohonga kwa akili.

Kama ni mke wako sawa. Kama ni mchepuko tu ukahonga gari na nyumba myfriend you will die poor at the end na utakufa kwa presha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom