Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

It saves a lot, unaweza kudhani kulipa kodi ni hela nyingi Ila inaokoa pesa kibao, manake lodge kila siku kama hizi za kwetu ni 30k labda mnakutana x4 kwa mwezi tayari ni 120k, wakati mcheps wa kawaida unauvutia self la 60-80k maisha safi.
kwa hiyo unadhani ukimpangishia demu nyumba ili ku-save pesa(kama unavyodai) ndio hutogongewa?. utagongewa tu, tena kwenye hiyohiyo nyumba ambayo unamlipia kodi.

miaka kadhaa iliyopita nikiwa ndio kwanza naanza ajira yangu ya kwanza, nilipanga chumba na sebule ktk kitongoji flani maarufu jijini dar.

halafu upande wa pili wa ile nyumba, kuna fala mmoja mfanyakazi wa bandari, alikuwa kaupangishia mchepuko wake, mchepuko ulikuwa kisu kwelikweli.

jamaa alikuwa halali, anaibuka tu kula mzigo na kurudi kwa mkewe.

kuna siku ule mchepuko nikakutananao kwenye kiduka cha mangi palepale kitaa. tukazoeana kwa haraka sana. nikautongoza, ukakubali.

kipindi hicho napiga chuma sana na kuvuta mibangi kama sina akili nzuri.mchepuko wa jamaa ukawa attracted na maisha yangu ya usela. halafu ukanipa mkanda mzima kuhusu ratiba za jamaa yake. nikawa najipigia tu.

jamaa alikuwa anakuja na kivitara chake, akisepa tu, mimi naingia....nampelekea moto kwelikweli....siku nyingine nilikuwa nalalanae mpaka asubuhi hata chumbani kwangu siendi.

moral of the story: upangishie mchupuko nyumba but it is not a guarantee that she won't cheat you. pay her rent at your own risk.
 
kwa hiyo unadhani ukimpangishia demu nyumba ili ku save pesa(kama unavyodai) ndio hutogongewa?. utagongewa tu, tena kwenye hiyohiyo nyumba ambayo umemlipia kodi.

miaka kadhaa iliyopita nikiwa ndio kwanza naanza ajira yangu ya kwanza, nilipanga chumba na sebule ktk kitongoji flani maarufu jijini dar.

halafu upande wa pili wa ile nyumba, kuna fala mmoja mfanyakazi wa bandari, alikuwa kaupangishia mchepuko wake, mchepuko ulikuwa kisu kwelikweli.

jamaa alikuwa halali, anaibuka tu kula mzigo na kurudi kwa mkewe.

siku ule mchepuko nikakutananao kwenye kiduka cha mangi palepale kitaa. tukazoeana kwa haraka sana. nikautongoza na wenyewe ukanielewa sana.

kipindi hicho nipiga chuma sana na kuvuta mibangi kama sina akili. mchepuko wa jamaa ukawa attracted na maisha yangu ya usela halafu ukanipa mkanda mzima kuhusu ratiba za jamaa yake. nikawa najipigia tu.

jamaa alikuwa anakuja na kivitara chake, akisepa tu, mimi naingia....nampelekea moto kwelikweli....siku nyingine nilikuwa nalalanae mpaka asubuhi hata chumbani kwangu siendi.

moral of the story: upangishie mchupuko nyumba but it is not a guarantee that she won't cheat you. pay her rent at your won risk.
Duh! Na sie wadada kuna muda huwa tunazingua sana
 
Tunaongelea costs mkuu, kuchapiwa hata mke unapigiwa tu.
 
Mm siku nikisikia ndugu yangu kaka zangu wale wameonga vitu tangible kbsa lzma wale walioongwa wavirudishe tu nikishikirikiana na maaza kuzuia ufujaji wa Mali
 
Kuna mwanamke uyo ni mke wa mtu ndoa safi yenye furaha, alitokea kunitunuku aisee kile kiumbe ni kitamuuu kinaifinyia kwa ndani mwanamke anajua kuchezea dushe yule kiumbe anamaneno machafuu kitandani ya kutia genye,
Anamitego kidogo nipite na jicho anabahati malaika wa heri walikuwa juu yake

Basi bana yule kiumbe akiwa na shida baada ya mumewe ni mimi alafu hana gubu ukimwambia huna mwelewa sasa viumbe kama hao kuwahonga kitu cha gharama uja automatic tu
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimuka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi,hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje,mnapewa au wanapewa nini kama motive

Tuwajadili na tujadiliane
Kuna dada mmoja wakati tupo chuo alipewa gari na mzee mmoja, baadae akajazwa kibendi, baada ya kujifungua jamaa akamnyang'anya gari yule dada.

Baada ya kumaliza chuo yule dada akaamua kuokoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom