Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Ni kujisikia tu...

Kuna muda unajisikia ubahili, kuna muda unajisikia kuhonga...
 
kuna baba yangu mdogo nae ni mSoja, anamke wake wanapendana na amemzalia watoto wazuri sana tena anajivuniaga sana kuitwa baba na wale watoto wàke aliofanana nao vilivyo,

akapata mchepuko then kamfanyia vitu vikubwa uyo mchepuko ambavyo ata mkewe wa ndoa hajawai kumfanyia, akampangia nyumba ya kisasa, akamfungulia duka la nguo then akamnunulia gari Toyota Oppa, dah uyo fatha now alipataga strock hajiwez tena analelewa tu na mkewe wa ndoa àmbaye hajawai atà kumtunuku kaVits. mchepuko ndio hamtaki tena.

Naapa ata kama nikimiliki pesa kiasi gani, nitamtunuku mke wangu kitu chenye thaman kuliko cha mchepuko. kama mchepuko nitakuwa nimemtunuku IST basi mke atapata Prado tx yaan kubwa kuliko.
Mke atakupiga tukio utashangaaa....mie bora zawadi ya maana nimpe mzazi
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimuka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi,hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje,mnapewa au wanapewa nini kama motive

Tuwajadili na tujadiliane
Wanatoa Gari au Nyumba sio kwamba kuna kitu kipya kakutana nacho,ila ni upendo tu lakini kubwa ni KUWA NA KIPATO Kinachoruhusu.Leo unashangaa kwakuwa haina kitu lakini kuna kiwango ukiwa nacho huoni kama Ist kitu cha maana ,Imagine mtu ana 200m+ kwenye akaunti na Zinaingia Kila Siku kutoa 15m Haina tatizo ,pia wengine wanawasaidia tu yaani kama wewe una Laki 3 kisha mpenzi wako anakuomba 10000 utaumia kumpa??...kwahiyo Matumizi ya kawaida tu sema kwetu yanaonekana Makubwa kwasababu ya LEVELS
 
Masharti na vigezo kuzingatiwa...

Hehehe socks ninazo, vest ninazo nakutaka wewe...
Hahahahah naomba uje kunipa vigezo na masharti…
Sasa nitakupa nini ili unipe gari maana socks na vest hutak…
 
Hahahahah naomba uje kunipa vigezo na masharti…
Sasa nitakupa nini ili unipe gari maana socks na vest hutak…
Jina kwenye kadi litaendelea kubakia Smart911 mpaka pale nitakapoona inafaa...

Scratch my back and i scratch yours...
 
nimekutana nazo sana tu,tamu kushinda zote niliishia kuilipia kodi nusu mwaka ili nipate uhakika na kuigongea kwake badala ya gesti
Na hapo ndipo uwezo wako ulipoishia. Kuna mwingine nae atakushangaa kwakuwa yete elfu 10 tu mtihani.
 
Tatizo lako ni huna hela za kutosha na kubaki.
Hicho tu.

Even us Ke… tunapendaga tuwape vikubwa ila unakuta hatuna hela za kutosha .

Nitajie mwanaume mmoja tu alietolewa kimaisha na binti Mwenye miaka (18-35), usiseme Dume kupewa gari na sugar mummy wa miaka 70 coz sugar mummy sio binti..

Binti Wa kawaida tu anatongozwa na wanaume 20 tofauti kwa mwezi, kwann atoe hela ili apate dushe?

Kuna jamaa humu jf Alitongoza binti wa waziri, binti akajibu baba zao wakikaa wataongea nini, u can imagine.

Wadada mkitununulia vest na saa hio huwa ni sehemu ya hela tulizowahi kuwapa, na mnatugea kama mkopo mkijua kuna sehem mtatuomba hela mrudishe hela yenu.

Ukweli ni kwamba nyie wanawake hamuwezi kutupenda sisi wanaume kwa upendo mkubwa, kama sisi wanaume tunavowapenda Kwa upendo mkubwa Depal to yeye
 
Mkuu,
Maisha ya mjini yamebadilika Sana tofauti na miaka ya zamani.

Kwasasa gari sio kitu Cha anasa Kama ilivochukuliwa zaman, Gari Ni hitaji la muhimu hasa kurahisisha mizunguko mjini.

Kama unauwezo wa kumnunulia mwanamke Simu ya mil. 2 au kumnunulia zawad ya mil 5.

kwann usiweze kumnunulia gari ya mil 5- mil10 . Au wee unadhan gar Lazima ianzie mil.20?
 
Kawaida hio inatokana na kipato tu mkuu ndo mana mtaani mtu akinunua kluger anatuvimbia wakati watu wanaanzia na vogue

All in all mwanaume unatakiwa upende kwa kutumia [emoji3447] na sio moyo

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,
Maisha ya mjini yamebadilika Sana tofauti na miaka ya zamani.

Kwasasa gari sio kitu Cha anasa Kama ilivochukuliwa zaman, Gari Ni hitaji la muhimu hasa kurahisisha mizunguko mjini.

Kama unauwezo wa kumnunulia mwanamke Simu ya mil. 2 au kumnunulia zawad ya mil 5.

kwann usiweze kumnunulia gari ya mil 5- mil10 . Au wee unadhan gar Lazima ianzie mil.20?
Yes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom