T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,116
- 30,548
Naomba unipe/unihongeNi upendo tu, nothing else!
Hata sisi KE si tunawapaga vest na saa!? [emoji41]
Naomba unipe/unihongeNi upendo tu, nothing else!
Hata sisi KE si tunawapaga vest na saa!? [emoji41]
umeongea kwa maumivu sana. pole kijana.nikuhakikishie wee unaegonga mwanamke kwenye nyumba anayolipia mwanaume mwenzio ndio unapata shida sana maana unasex huna Aman moyoni maana unajihisi MDA wowote unafumaniwa.
Wakat mwenzio uko amerelax,
MDA wowote Akitaka anakuja pale kula Shea yake kwa Uhuru KABISA.
VIJANA ACHENI KUJILISHA UPEPO,
kama una mtoto mwenye miaka 43+ Basi Nmekulewa mkuu. Unafaa kua baba angu[emoji120]umeongea kwa maumivu sana. pole kijana.
halafu mimi hizo mambo za kuchepuka na kuwa na mlolongo wa mademu wengi, nilishaacha kitambo. tulishapita huko, kwa sasa tumewaachia nyinyi vijana muhangaikenayo.
NB:
kwa umri wangu wa sasa, mimi ni sawa na baba yako.tukio ambalo nimelisimulia kwenye ile post, nililifanya katikati mwa miaka ya 2000. it was during that time when i was young,wild and thirsty for pussies.
Umpe nani vikubwa😅 jamani? Wanawake wa kibongo lini mmeanza kutoa vyenuTatizo lako ni huna hela za kutosha na kubaki.
Hicho tu.
Even us Ke… tunapendaga tuwape vikubwa ila unakuta hatuna hela za kutosha .
😂😂😂😂😂😂😂 you wiri pay ze praisiHonga hela iliyo ndani ya uwezo wako mambo ya kuumizana kizazi ni kukomoana kwa makusudi.
[emoji23][emoji23]wewe hujawah pewa hata leso tu?,Umpe nani vikubwa[emoji28] jamani? Wanawake wa kibongo lini mmeanza kutoa vyenu
Nimeshapewa mpaka gari itakuwa leso tu. Kuna wanawake wana mapenzi bana sizungumzii pakti za boxa maana ni nyingi kweli😅[emoji23][emoji23]wewe hujawah pewa hata leso tu?,
[emoji23][emoji23][emoji23] gemu la laki tutoane na vizazi jaman khaaa bora mapenzi yaishe tu nijue moja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you wiri pay ze praisi
Sasa hapo unauliza nn kumbe ulipewa had gari una raha.Nimeshapewa mpaka gari itakuwa leso tu[emoji28]? Kuna wanawake wana mapenzi bana sizungumzii pakti za boxa maana ni nyingi kweli[emoji28]
Hahahah laki haiendi kizembe lazma tusukutue Yutiyai yote itokemo..![emoji23][emoji23][emoji23] gemu la laki tutoane na vizazi jaman khaaa bora mapenzi yaishe tu nijue moja.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah laki haiendi kizembe lazma tusukutue Yutiyai yote itokemo..!
😅😅😅 ni ex kwa sasa dunia inaenda kasiSasa hapo unauliza nn kumbe ulipewa had gari una raha.
Mpe hi sana bonge la wifi
Dooh!! [emoji2296] Chuma uliirudisha ama unaisukuma hadi leo?[emoji28][emoji28][emoji28] ni ex kwa sasa dunia inaenda kasi
Niliuza nikanunua ingine😅Dooh!! [emoji2296] Chuma uliirudisha ama unaisukuma hadi leo?
M 11 kumnunulia mchepuko gari. Hata kama una zaidi hizo bilioni 1.5. Ku a ndugu zako wanakosa hela za matibabu wasaidie ili wapate unafuu wa afya zao.
Kwa mchepuko usiweke kambi narudia kwa mchepuko kambi. Hit and run.
Na wale wenye buku wanahonga 859?