Kuonga gari Wala vitu vikubwa siwezi kushangaa kwasababu
Kuonga au kutoa huwa wengi wao hutoa vitu wanasivyo viitaji na baadhi hutoa vitu wanavyo viitaji
A) wanaotoa wasivyo viitaji
Ili ni kundi la wanaojihisi wametosheka Sana kwaio hawatakagi usumbufu kwaio wanatoa bila kuumia moyoni
Sasa ndio hao mabroo unaojaribu kuwaponda na wengi wa haiba hiyo
Kwenye million 500 kutoa 10 million kumnunulia mtu anaekupa raha sio tatizo ni Kama umetumia 2% ya kipato chako.
B) wanaotoa vitu wanavyo viitaji
Hili ni kundi ambalo mtoa uzi pia inawezekana humo umu ndani, ni watu ambao nafsi zao hazijatoshelezwa Wala kutulia na bado wana usongo wakutafuta vikubwa zaidi lakini bahati mbaya ndio kundi la wahongaji waliolaaniwa vibaya ambao wapo tayari kutoa hata 50-90% ya kipato Chao. Mtu anamshahara wa million 1 kwa mwezi na yupo na wanawake 3-5 kwenye mahusiano ya kingono
Kwa Kila mwezi ataforce kula kwenye Kila kibuyu kwa pupa
Kwa mahebu madogo kila sex visit huwà inamaliza 30-60k sasa kwa wanawake wa 5 ni Kama laki 150-300k hiyo ni sawa na 30% ya kipato Cha mtu huyu kitu kinachopelekea kukosa pesa kabisa za kutumza familia ya alipotoka na wanao mzunguka
Kadri ukishuka chini kwa vipato utagundua wale makapuku ndio waongaji wakubwa ila kwasababu wanaonga buku kwenye kipato Cha buku mbili tunaona ni kawaida