Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 298
- 396
Kuohonga kunaendana na uwezo wako wakimaisha..
Unawajua ndugu unawasikia wewe? Hayo mambo bora ufanyie wazazi wako.M 11 kumnunulia mchepuko gari. Hata kama una zaidi hizo bilioni 1.5. Ku a ndugu zako wanakosa hela za matibabu wasaidie ili wapate unafuu wa afya zao.
Kwa mchepuko usiweke kambi narudia kwa mchepuko kambi. Hit and run.
Siku ukifulia sasa amini nakuambia hutoona hata pua ya uliowahi kuwasaidia, mifano mingi ipo.Umeongea kitu reality kabisa. Ukichunguza sana hawa ndugu wa Kiafrica ni mtihani sana. Unaweza ukamsaidia moyoni mwake akajisemea, anajifanya anauwezo sana huyu, ngoja tutamuonyesha.
100% SahihiAkili za kimaskini hizi,
-Hivi unadhan utaweza kumaliza matatizo yote ya ndugu zako?
-Hivi unadhan ndugu zako wote nafsi zao wanafurahia Apo ulikofikia?
-hivi unadhan ndugu zako wote wanamchango wowote ktk mafanikio yako Apo ulikofikia?
-hujawaskia Watu wanafanyiwa ya hovyo na ndugu zao ili warudi nyuma,
hivi Hawa ukiwakata kabisa kwenye mfumo wako nako utalalamikiwa hukusaidia ndugu?
-si Bora TU uyo mchepuko anaekupa utamu ukakojoa ukafurahi kuliko ndugu yule anaekuroga kukurudisha nyuma kimaendeleo ili upotee kabsa kwenye ramani?
AU MKUU UMEZISAHAU VIZURI HIZI FAMILIA ZETU ZA KIAFRIKA?
Mi saivi niwe muwaz tu ...nitampenda kwa moyo wote mwanaume atakaenihudumia kwa moto wote....LA sivyo acha kikauke tuNitajie mwanaume mmoja tu alietolewa kimaisha na binti Mwenye miaka (18-35), usiseme Dume kupewa gari na sugar mummy wa miaka 70 coz sugar mummy sio binti..
Binti Wa kawaida tu anatongozwa na wanaume 20 tofauti kwa mwezi, kwann atoe hela ili apate dushe?
Kuna jamaa humu jf Alitongoza binti wa waziri, binti akajibu baba zao wakikaa wataongea nini, u can imagine.
Wadada mkitununulia vest na saa hio huwa ni sehemu ya hela tulizowahi kuwapa, na mnatugea kama mkopo mkijua kuna sehem mtatuomba hela mrudishe hela yenu.
Ukweli ni kwamba nyie wanawake hamuwezi kutupenda sisi wanaume kwa upendo mkubwa, kama sisi wanaume tunavowapenda Kwa upendo mkubwa Depal to yeye
Ukifulia mchepuko atakuwepo kukusaidia? Ni bora nikasaidia ndugu zangu, sitarajii wao kunisaidia nikipigika, but somewhere along the line hata kama sio mimi, watoto wanaweza saidika na pia vizazi vyao kunyanyuka kiuchumi.Siku ukifulia sasa amini nakuambia hutoona hata pua ya uliowahi kuwasaidia, mifano mingi ipo.
Naweza kumsaidia mcheps kwa faida yangu tu na sio yake, anything that I do for her kiwe na total reflection ya kufaidika mimi na sio yeye.Akili za kimaskini hizi,
-Hivi unadhan utaweza kumaliza matatizo yote ya ndugu zako?
-Hivi unadhan ndugu zako wote nafsi zao wanafurahia Apo ulikofikia?
-hivi unadhan ndugu zako wote wanamchango wowote ktk mafanikio yako Apo ulikofikia?
-hujawaskia Watu wanafanyiwa ya hovyo na ndugu zao ili warudi nyuma,
hivi Hawa ukiwakata kabisa kwenye mfumo wako nako utalalamikiwa hukusaidia ndugu?
-si Bora TU uyo mchepuko anaekupa utamu ukakojoa ukafurahi kuliko ndugu yule anaekuroga kukurudisha nyuma kimaendeleo ili upotee kabsa kwenye ramani?
AU MKUU UMEZISAHAU VIZURI HIZI FAMILIA ZETU ZA KIAFRIKA?
Sijasema asisaidie ndugu asaidie michepuko, nimesema bora hata awasaidie wazazi wake hawa hawanaga mapicha picha kama hao wengine.Ukifulia mchepuko atakuwepo kukusaidia? Ni bora nikasaidia ndugu zangu, sitarajii wao kunisaidia nikipigika, but somewhere along the line hata kama sio mimi, watoto wanaweza saidika na pia vizazi vyao kunyanyuka kiuchumi.
Michepuko mingi ni for good times tu, ukikamatika wanakula kona kama hamjuani, the only way mchepuko anaweza saidika ni either amezaa na mimi au kumlipia kodi ili kupunguza gharama za lodge.
Laki si pesa, milioni matumizi......Hivi huu msemo bado upo...??Kama hela ipo unatoa
Tatizo liko wapi?unaweza vipi kuwa na mwanamke anayekunywa pombe?
Kingine tatizo kipatoMkuu,
Maisha ya mjini yamebadilika Sana tofauti na miaka ya zamani.
Kwasasa gari sio kitu Cha anasa Kama ilivochukuliwa zaman, Gari Ni hitaji la muhimu hasa kurahisisha mizunguko mjini.
Kama unauwezo wa kumnunulia mwanamke Simu ya mil. 2 au kumnunulia zawad ya mil 5.
kwann usiweze kumnunulia gari ya mil 5- mil10 . Au wee unadhan gar Lazima ianzie mil.20?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kusahau boxer pc 3 kwenye packet moja.
Halafu siku tukikukoseeni mnauliza yani yote niliyokupa na kukufanyia[emoji1787]
Anyways, anayeweza kutoa gari kwa mcheps ana pesa. Hizi zetu ni mbwembwe tu kwa vile hatuna pesa...Sijasema asisaidie ndugu asaidie michepuko, nimesema bora hata awasaidie wazazi wake hawa hawanaga mapicha picha kama hao wengine.
[emoji23][emoji23]Mi saivi niwe muwaz tu ...nitampenda kwa moyo wote mwanaume atakaenihudumia kwa moto wote....LA sivyo acha kikauke tu
Mi nataka nikuweke kwenye handbag dakitareWengine huwa wamewekwa kwenye chupa, na chupa ipo kwa fundi Pangani...
Mi nataka nikuweke kwenye handbag dakitare