Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,494
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.
Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.
Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.
Tuwajadili na tujadiliane