Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Haya sasa hao ndio wanaohonga kwa akili.

Kama ni mke wako sawa. Kama ni mchepuko tu ukahonga gari na nyumba myfriend you will die poor at the end na utakufa kwa presha.
Wahindi na waarabu huwa wanaishi kwa bajeti. Sio sisi waswahili ukikutana na chura kubwa na k tamu unajikuta unahonga kila kitu mpaka unakopa ili kuhonga.
 
Wahindi na waarabu huwa wanaisha kwa bajeti. Sio sisi waswahili ukikutana na chura kubwa na k tamu unajikuta unahonga kila kitu mpaka unakopa ili kuhonga.
Kweli na hapa wanatuzidi sana akili.

Kuna siku nilikutana na mhindi mmoja kwenye maeneo yangu ya kutoa huduma kwa jamii.

Nilimvutia kwa kumpa sifa kuwa nyie watanzania wa asili ya Kihindi mna akili sana na mnajua kutafuta pesa.

Jamaa akanijibu akasama sio hivyo bali tofauti yetu na nyie ni hii hapa. Akasema;

Nyinyie wenzetu waswahili mkipata pesa mfano mshahara wako ukaongezeka let say laki mbili. Moja kwa moja unataka ubadilishe na maisha yako. Kama ulikuwa na mke na mtoto mmoja unaishi chumba kimoja na sebure basi utataka uhamie nyumba kubwa, kama ulikuwa unatumia feni basi unataka kunganisha AC n.k.

Kwa namna hiyo hakuna siku utakuwa na akiba ya kufanya maendeleo.

Nikajisemea moyoni; Kama ulikuwa na mko mmoja utaongeza na michepuko miwili kisa tu kipato kimeongezeka.

Na huu ndio ukweli wenyewe.

Mhindi au mwarabu akiwa a Mke ni mmoja tu na humkuti na mchepuko atazaa hadi watoto 10 lakini kwa mke mmoja
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
😅😅😅😅 mambo yao waachie wenyewe 🙂

mpk mtu anahongwa nyumba, gari etc jua tu she meant something to that guy life🤍
 
Kweli na hapa wanatuzidi sana akili.

Kuna siku nilikutana na mhindi mmoja kwenye maeneo yangu ya kutoa huduma kwa jamii.

Nilimvutia kwa kumpa sifa kuwa nyie watanzania wa asili ya Kihindi mna akili sana na mnajua kutafuta pesa.

Jamaa akanijibu akasama sio hivyo bali tofauti yetu na nyie ni hii hapa. Akasema;

Nyinyie wenzetu waswahili mkipata pesa mfano mshahara wako ukaongezeka let say laki mbili. Moja kwa moja unataka ubadilishe na maisha yako. Kama ulikuwa na mke na mtoto mmoja unaishi chumba kimoja na sebure basi utataka uhamie nyumba kubwa, kama ulikuwa unatumia feni basi unataka kunganisha AC n.k.

Kwa namna hiyo hakuna siku utakuwa na akiba ya kufanya maendeleo.

Nikajisemea moyoni; Kama ulikuwa na mko mmoja utaongeza na michepuko miwili kisa tu kipato kimeongezeka.

Na huu ndio ukweli wenyewe.

Mhindi au mwarabu akiwa a Mke ni mmoja tu na humkuti na mchepuko atazaa hadi watoto 10 lakini kwa mke mmoja
Hao jamaa ni wabahili mno halafu wana ushirikiano. Kuna muhindi ana miradi lukuki Tz, anaagiza makontena ya bidhaa mbalimbali, malori ya kusafirisha bidhaa mbalimbali, malori ya mafuta. Malori yanapeleka mizigo Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo. Ila bado anabanana kwenye flat za NHC. Yaani ni bahili mno. Watoto wake na ndugu zake amewajaza kwenye miradi yake. Ila kawajengea nyumba moja wamebanan wote kwenye nyumba moja. Yaani jamaa ni bahili mno.
 
Ndivyo wanafanya. Ila hayo sio maisha🤣🤣🤣

Watu wamebanana hata ukitaka kuto...mke wako watu wanasikia maana wengine wamelala mlangoni
 
Na lazima hapo nyumbani kwake ukute mtoto mmoja au mtu mzima mmoja no Taahira au ana utindio wa ubongo a.k.a Kabwitunge au kwa kiswahili fasaha ndondocha.
 
😂
Yaani unakuta pamoja na utajiri wao yaani wanabanana humo ndani ya nyumba. Yaani nyumba moja watu weeeeeeeeeengi kama mafuriko ya Lowassa.
 
Na lazima hapo nyumbani kwake ukute mtoto mmoja au mtu mzima mmoja no Taahira au ana utindio wa ubongo a.k.a Kabwitunge au kwa kiswahili fasaha ndondocha.
Hiyo hali mtoto kuna sababu mbalimbali kama masuala ya ushirikina au hali ya kuzaliwa na ulemavu wa kurithi au ile mila ya kuoana ndugu kwa ndugu inaweza kuleta hiyo hali.
 
Kawaida Sana unahonga adi Figo zake zikigoma sembuse v8
love = blind
 
Usitudanganye tunaishi nao huku mtaani. Na akisaliitiwa sasa ndio wale wanachomana moto na visu.
We nawe hapo nimedanganya nini? Nimezungumza mawazo yangu kuwa ni upendo unaopelekea mwanaume kumpa gari ama zawadi yoyote mwanamke wake. Hayo ya kuchomana moto umekuja nayo wewe.
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
Kuonga gari Wala vitu vikubwa siwezi kushangaa kwasababu
Kuonga au kutoa huwa wengi wao hutoa vitu wanasivyo viitaji na baadhi hutoa vitu wanavyo viitaji
A) wanaotoa wasivyo viitaji
Ili ni kundi la wanaojihisi wametosheka Sana kwaio hawatakagi usumbufu kwaio wanatoa bila kuumia moyoni
Sasa ndio hao mabroo unaojaribu kuwaponda na wengi wa haiba hiyo
Kwenye million 500 kutoa 10 million kumnunulia mtu anaekupa raha sio tatizo ni Kama umetumia 2% ya kipato chako.

B) wanaotoa vitu wanavyo viitaji
Hili ni kundi ambalo mtoa uzi pia inawezekana humo umu ndani, ni watu ambao nafsi zao hazijatoshelezwa Wala kutulia na bado wana usongo wakutafuta vikubwa zaidi lakini bahati mbaya ndio kundi la wahongaji waliolaaniwa vibaya ambao wapo tayari kutoa hata 50-90% ya kipato Chao. Mtu anamshahara wa million 1 kwa mwezi na yupo na wanawake 3-5 kwenye mahusiano ya kingono
Kwa Kila mwezi ataforce kula kwenye Kila kibuyu kwa pupa

Kwa mahebu madogo kila sex visit huwà inamaliza 30-60k sasa kwa wanawake wa 5 ni Kama laki 150-300k hiyo ni sawa na 30% ya kipato Cha mtu huyu kitu kinachopelekea kukosa pesa kabisa za kutumza familia ya alipotoka na wanao mzunguka
Kadri ukishuka chini kwa vipato utagundua wale makapuku ndio waongaji wakubwa ila kwasababu wanaonga buku kwenye kipato Cha buku mbili tunaona ni kawaida
 
Hata mimi nimejiuliza sana hili suala, sijui wanapewaga 0713...sijui kwa kweli
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi, hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje, mnapewa au wanapewa nini kama motive.

Tuwajadili na tujadiliane
Watu wanahonga mpk figo.
 
Kuna mzee alimjengea mchepuko Nyumba na gari kamnunulia kwa hela za Pension ni kama alilogwa hivi hela zilipoisha alimfukuzaa yule mzee kama mbwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom