Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

unajua mtu anapoamua kuchepuka wengi huwa wana sababu zao ila kuna wengine ni asili yao yani hawezi kutulia na mke mmoja na hii ni tabia ambayo ameizoea tangu ujana wake na hashituki kama umri umeenda ni muda sasa wa kutulia na kutunza familia yaani yeye siku zote anajiona ni kijana bado, wakati umri umeenda hili ni tatizo la kutokujitambua na anaweza kuzeeka nalo!! labda akipata ukimwi ndio atastuka na kuamua kutulia kitu ambacho ni too late!!!!!!!

wengine huamua kuchepuka kwa sababu hawaridhishwi kimapenzi na wenzi wao ikumbukwe kuwa mwanaume/mwanamke anapochepuka huko nje haendi kufata chakula wala kufuliwa nguo! anafata kupetiwa na kuridhishwa kimapenzi tu kitu ambacho anakikosa kwa mume au mke wake, unaweza kuwa na mke mzuri au mume mzuri tu ila kitandani mambo hayaendi sawa sawa na wengine hawawezi kuwaambia wenza wao wanaona kimbilio ni kutoka nje ya ndoa tu,

ushauri: tuwasome wenza wetu tujue wanapenda nini na nini hawapendi na tubadilike!
 
Kweli hili jambo ni siri yaani mpaka hapa J.f anatuambia Hajawahi kuchepuka! Anahisi kama tunamuona vile....
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni nature ni kama ilivyo kwa kwa mwanadamu kukojoa ni lazima utakojoa.
Haya mambo hayajaanza leo wala jana hata hao mitume na manabii walikuwa wanachepuka na wajakazi wao
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni nature ni kama ilivyo kwa kwa mwanadamu kukojoa ni lazima utakojoa.
Haya mambo hayajaanza leo wala jana hata hao mitume na manabii walikuwa wanachepuka na wajakazi wao
 
mke wangu ni mzuri sana hata nikifa leo nikifufuka nitamchagua tena yeye kuwa mke wangu nampenda sana, hivi karibuni nilichepuka na dada mmoja wa ofisini kwetu, ilikua siku ya jumamosi ilipofika jumanne tumbo lilianza kumuuma ghafla mke wangu aliyekuwa ni mjamzito wa miezi sita lilipozidi tukaenda hospital na bahati mbaya ile mimba ikawa imeharibika wakampa madawa akajifungua kitoto cha kike kikiwa kimekufa, hadi leo nawaza labda ni ule mchepuko ndo ulitia gundu, juzi umenipigia kuulizia gemu nyingine nasikia moyo mzito sana!
Huyo Kahaba atakuharibia maisha weweeee
 
ni kasumba tuu tuliyorirhishwa wanaume...
toka enzi na enzi....
 
MWANUME anaemjali mkewe na kumpenda atahakikisha kamwe hajui anachepukia wapi...miaka mia??.. lakini kama kawa ni kujikausha kwa kwenda mbele...
 
Unakuta mme kafumwa na mkewe vithibitisho na mkewe badala ya kuongea kwa busara na mkewe ana anzakuongea mbofu mbofu kwani mke mjinga anaweza kubeba hata rafiki zako, vipi ukijua hilo jana umecheti ukabambwa nawe kesho yanatokea hayo
 
Wewe wake 4 nani anawaweza au unaongea tu? Mke 1 tu mtu hamlizishi kuchomekea tu mkanda nje kumbe kazi yenyewe bila bila gori moja tu chali wiki inapita hao wake wengi utawapa nini au marafiki na jirani wakusaidie acheni hizo! Tumalize haja za wake zetu kwanza
Mkibaki na mke mmoja michepuko haitaisha
 
Inaonekana masingo ladies wanavutia sana wanaume waliooa, kulinganisha na walioolewa alielewa akichepuka kapenda,[/QUOTE]
Sasa kati ya huyo single lady na mwanaume aliyeoa nani anachepuka hapo? Single lady hachepuki aliyeolewa ndo tunasema anachepuka na kuchepuka hakulazimishwi huwa mtu mwenyewe anapenda
 
Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
michepuko ni kwa ajili ya kipozeo kupunguza uchovu😀😀
 
Muosha huoshwa. Ukichepuka na mwenzio anachepuka. Stress za kazi gani!!
 
Hili swala limekuwa Gumzo kwa sasa katika jamii yetu kuanzia vijana mpaka watu wazima haijalishi we ni nani upo wapi una cheo gani,limekuwa likisababisha changamoto mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Sema chochote,uliza chochote kama kuna lolote limewahi kukutokea Hapa ndio pa kuelezana....lengo watu tujifunze kutokana na changamoto hiii Ahsanteni. Naanza na swali langu mwenyewe,Hivi kitu gani hasa tunaweza kuwafanyia wenza wetu ili waache kuchepuka?
Kukaa na mke mmoja kama mama ni kosa na huyatendei Haki maumbile yako. Kibiologia kazi ya mwanaume ni kupandikiza Mbegu kwa mwanamke, ndiyo maana mda wote Mbegu za mwanaume zipo tayari kuoteshwa kwa mwanamke. Anaye miliki hati ya ndoa ni mwanamke siyo mwanaume. Mwanaume msiogope kuwahudumia wanawake.
 
Mimi huwa nawashangaa sana wale wanaowalaumu eti wanaume ndy mabingwa wa kuchepuka...hivi huyo mwanaume anachepuka na dume lenzie?si anachepuka na mwanamke? Na pengine huyo mwanamke nae ni mke au mpenzi wa mtu..huoni kama wote wanachepuka?suala la kuchepuka ni la jinsia zote..si kwa mwanaume wala mwanamke.. Wote wachepukaji tu....tena nadhani mwanamke ndy anachepuka mara nyingi kuliko mwanaume.. Mafano mwanamke anaweza akawa na mabwana hata wanne..na wote akakutana nao siku moja kwa muda tofauti...na waking'ang'ania kila mtu atagegeda..the same day..ila mwanaume hana uwezo huo wa kufanya hayo...
 
Back
Top Bottom