Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Mimi huwa nawashangaa sana wale wanaowalaumu eti wanaume ndy mabingwa wa kuchepuka...hivi huyo mwanaume anachepuka na dume lenzie?si anachepuka na mwanamke? Na pengine huyo mwanamke nae ni mke au mpenzi wa mtu..huoni kama wote wanachepuka?suala la kuchepuka ni la jinsia zote..si kwa mwanaume wala mwanamke.. Wote wachepukaji tu....tena nadhani mwanamke ndy anachepuka mara nyingi kuliko mwanaume.. Mafano mwanamke anaweza akawa na mabwana hata wanne..na wote akakutana nao siku moja kwa muda tofauti...na waking'ang'ania kila mtu atagegeda..the same day..ila mwanaume hana uwezo huo wa kufanya hayo...
Mie nimeshudia kwa jirani yangu, mwanamke anamwita mwanaume wakutane ile mwana ume kurudi mke kapata zile sms kikanuka kumbe yule naye mke wa mtu akaulizwa kama wewe mke wa mtu huyu wanini tena au mbadilishane? Oho mie mke wa mtu mwanaume huyo simjui sasa hiyo namba nimeipata vipi kwa mme wangu na sms juu!
 
Yaa..mkuu...wanawake wanachepuka mara nyingi sana..kuliko wanaume
 
Tatizo hawa wanawake pasua kichwa ukiwa na mmoja bora uwe single maana presha nje nje bora ukiwa na halima,doreen na mariam ikitokea mmoja kakuboa basi unaamisha jeshi kwa muda sasa hii tabia innapelekea mpaka kwenye ndoa mwanamke kiburi kwaiyo inatakiwa uwe na mchepuko mzuriiiii mpaka akikufumania akuombe msamaha
 
da ila wanawake wamezidi na kuwapa pesa za matumizi, magari, nyumba na kuwagegeda kwa sana tu bado wanachepuka ni fashion tu kwa sasa na haiepukiki.
 
Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Wengi wenu wanawake ni pasua kiachwa, utakuta umeolewa una tavia nzuri tu lakini kila akikanyaga mumeo ndani kelele, kwa namna hiyo lazima tutafute pakujiliwaza.
 
Mm niwe mkweli ctoacha kuchepuka mpka niingie ndoani,.maana hamna namna sasa........ Ingawa nikiwa na mpnz serious huwa nakuwa mlokole pasee* teh
 
Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Wanawake wanasabisha wenyewe mwanaume kuchepuka.... Utakuta kabla hujamuoa...mapenzi moto moto...ukiguna tu kauliza...unasemaje mpnz wng....kitandani ndy usiseme....KIUNO kinanyongwa kama MJUSI kakatika MKIA...ngoja uoe..akuzoee...UNAGEGEDA huku anacht FB NA INSTAGRAM... viuno hakuna tena.....CHAKULA unaambiwa pita jikoni KAPAKUWE mwenyewe.. UKIMKUTA sebuleni ANAHAMIA chumbani...furaha yote kwisha...UNAACHA VIPI KUCHEPUKA?tena ukiwasikia MANENO wanayoongea hao wake zetu wakiwa PEKE YAO... Ungeacha siku hiyo hiyo...kuna siku moja nilikwenda kumtembelea jamaa yng mmoja...nikamkuta mkewe..jamaa alitoka kidogo..nikawa nimekaa nje sehem namsubiri jamaa...basi ilipita km nusu saa hivi... NIKASIKIA YULE MKE WA JAMAA anaongea...na simu..baada ya kumaliza kuongea..akaanza Kusema peke yake.... HILI GURUWE sijuwi Limepitia wapi leo...hili JANAUME au GURUWE TU...najionea tabu tu...bila kujuwa kama mimi nimekaa pale GIZANI...duu....basi muda kupita yule jamaa akaingia...akaanza kuongea kwa bashasha na kucheka kwa furaha na MKEWE..mm nikasema DUU..kumbe ndiyo wanayoongea maneno haya wakiwa peke yao?aisee niliogopa sana... Nikamuhurumia sana jamaa na hadi leo sijawahi kumwambia jambo hilo...
 
Nakubaliana na wewe Baadhi ya wanawake hua wanajisahau na kujibu au kumuita mumeo NGURUWE au jina la ajabu sio sawa but sometimes huani hasira na tuchukulieni wengine ndio malezi yao walikotoka,na juu ya hayo yote still ni mama wa watoto wako usimchepukie mwambie mke wangu hivi sipendi usifanye..
 
Mkuu ulishawahi kufuga njiwa?basi ni mfano mzr sana kwa mwanamke na mwanaume ktk mapenzi... Njiwa kama humpi chakula..atahamia anapopewa chakula....na pia hata km unampa chakula lakini akapata sehemu kuna maji yamechanganywa na SUKARI...yanakuwa matamu sana..basi wote watahamia kule kwenye maji matamu...kwa hyo ktk mapnz tusijisahau...tunapaswa tutimize mahitaji yetu ya mwili na nafsi kwa weledi mkubwa..vinginevyo..mmoja atahama kuanza kuchepuka..
 
Mkuu njiwa sifugiii ila nyumbani kwangu hawatokii nilikua siwapendi mpaka nawapenda,yani wamezowea nyumbani kwangu
wanajaa dirishani kwangu juu ya A/C wanalia hao asubuhi nisiposikia Sauti zao nauliza ivi hawa njiwa wamehama humu ndani? normally nawapa mchele na maji,nimehamia nyumba nyengine still wamenifata.....
 
Yaa..mkuu wanakufata sababu unawajali na kuwapa wanachotaka...mkuu..ni sawa na mapenzi..ni hivyo hivyo
 
Uchepukaji ni tabia inayofanywa na Me&Ke kwa miaka mingi tangu mababu na mabibi zetu ,ingawa si kwa wanaume ama wanawake wote.Tabia hii ya uchepukaji inatokana na tabia halisi ya mwanaume ama mwanamke tangu umri kubalehe alijizoesha tabia ya kuchanganya wapenzi au kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja,sasa mazoea hayo ni wachache wanaoweza kuiacha pale pindi watakapo ingia kwenye ndoa,wengine huendeleza tabia hiyo hata wawapo ktk ndoa kimsingi ni tabia ya mtu.
 
mke wangu ni mzuri sana hata nikifa leo nikifufuka nitamchagua tena yeye kuwa mke wangu nampenda sana, hivi karibuni nilichepuka na dada mmoja wa ofisini kwetu, ilikua siku ya jumamosi ilipofika jumanne tumbo lilianza kumuuma ghafla mke wangu aliyekuwa ni mjamzito wa miezi sita lilipozidi tukaenda hospital na bahati mbaya ile mimba ikawa imeharibika wakampa madawa akajifungua kitoto cha kike kikiwa kimekufa, hadi leo nawaza labda ni ule mchepuko ndo ulitia gundu, juzi umenipigia kuulizia gemu nyingine nasikia moyo mzito sana!
Hahahah umenichekesha, dah hahahah
 
Mwanaume ni sawa na player lazma ujue kucheza mipira yote(hasa mipira iliyokufa)
 
Kupambana na kuchepuka Naona ni kazi ngumu kwani ni asili ya mwanadamu na biblia imeeleza
 
Back
Top Bottom