Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Ukitrace back wazungu walipotukana kwamba poligami aka kuwa na wanawake wengi ni uhuni ndipo waafrika wenye roho nyepesi wakapokea mafunzo ya dini wakabadilika na kuamini kuwa kuwa na wanawake wengi no dhambi.
Lakini so kweli kwa afrika hili jambo ni la kihistoria, la kitamaduni. Kana unabisha muulize bibi yako alikuwa mke wa ngapi kwa babu yako au muulize babu yako alikua au ana wake wa ngapi na kwa nini. Na kwa afrika iliwezekana kwa sababu wanawake walikua wengi kuliko wanaume na utamaduni huu uliwasaidia sana wanawake wote waliolewa tena kwa kutolewa mahali.
Wazungu wakaleta propaganda za mke mmoja ili kutimiza malengo za kumdharau mwafrika na kupunguza tegemezi, kupunguza birth rate in africa wakaleta na uzazi wa mpango apo apo na matokeo yake wanaume wa kiafrika wamewaacha wanawake wao wakizunguka mtaani bila wanaume hawawatunzi tena kama zamani hawaoi tena wanawake wanne sasa kwa nini wasiwe malaya au michepuko ya watu huko mtaani nani atawatia kama si nyie wenyewe mnaokataa kuwaoa ndo mwanzo wa michepuko
Mkuu nani kakwambia mwanamke aliyeolewa hachepuki!?? Nani?
 
Your wife will take care of you but she will never entertain you. BUT mchepuko Can!!
 
  • Thanks
Reactions: irk
Ukitrace back wazungu walipotukana kwamba poligami aka kuwa na wanawake wengi ni uhuni ndipo waafrika wenye roho nyepesi wakapokea mafunzo ya dini wakabadilika na kuamini kuwa kuwa na wanawake wengi no dhambi.
Lakini so kweli kwa afrika hili jambo ni la kihistoria, la kitamaduni. Kana unabisha muulize bibi yako alikuwa mke wa ngapi kwa babu yako au muulize babu yako alikua au ana wake wa ngapi na kwa nini. Na kwa afrika iliwezekana kwa sababu wanawake walikua wengi kuliko wanaume na utamaduni huu uliwasaidia sana wanawake wote waliolewa tena kwa kutolewa mahali.
Wazungu wakaleta propaganda za mke mmoja ili kutimiza malengo za kumdharau mwafrika na kupunguza tegemezi, kupunguza birth rate in africa wakaleta na uzazi wa mpango apo apo na matokeo yake wanaume wa kiafrika wamewaacha wanawake wao wakizunguka mtaani bila wanaume hawawatunzi tena kama zamani hawaoi tena wanawake wanne sasa kwa nini wasiwe malaya au michepuko ya watu huko mtaani nani atawatia kama si nyie wenyewe mnaokataa kuwaoa ndo mwanzo wa michepuko
Wewe wake 4 nani anawaweza au unaongea tu? Mke 1 tu mtu hamlizishi kuchomekea tu mkanda nje kumbe kazi yenyewe bila bila gori moja tu chali wiki inapita hao wake wengi utawapa nini au marafiki na jirani wakusaidie acheni hizo! Tumalize haja za wake zetu kwanza
 
Mi niliwahi kuambiwa kwamba wanaume tunakosea kitu kimoja.Kwamba ukichepuka unataka uache alama na kumbukumbu,mechi ya uhakika kwa sababu la wizi.Na ukifika kwako unalinga kisa umeitolea mahari.Sasa nikaambiwa kwamba kila mwanamke anamtaka huyo anayemkanyaga kisawasawa na kumkata kiu.Sasa fanyia hili kazi.Home mpe mambo hata wiki iishe hana hamu na dushe,lakini akinogewa nae huko nje,utajuta.Sasa ndo ujiulize,una ubavu wa kuhudumia sehemu tofauti tofauti kwa kiwango hicho? Baki njia kuu,michepuko siyo dili.
 
Umeona eee kwa mke analinga kisa kapoza kwa mchepuko siku mke akionja huko nje ndiyo mtu ana anza wanawake hawaaminiki wala hawapendeki hata umpe nini kwani alivyotoka kwao alifuata nini kwako? kumbe chanzo ni wewe mwenyewe upendo ulihamishia nje ukasahau kwa mkeo, na ukichunguza sababu nyingi za wake kuchepuka waume hawa wajibiki au wana michepuko huko wanasahau wake zao.
 
Msugue wa ndani hadi akwambie amelidhika,kama siyo mhuni atatulia, lakini,na mchepukaji pia kama mwenzio anaonyesha kuwajibika,huko unatafuta nini? Kama ukienda ukakuta kiwango cha mechi ulichopata nje bado kidogo,si utajidhalau tu? Au ndo umemuacha madam home,anakupikia anafanya kila anachokiweza mmewe ulidhike,af unachepuka unakutana na wale mnaosemaga kwamba utadhani wameulia panya mapajani mwake! Unarudi home kwa kujificha unakimbilia bafuni hata salamu hamna! Na Mungu alivyo wa ajabu za hivo itanuka mpaka kesho yake mwenzio atajua tu huyu ana shombo ya k ya mtaani huko! Duh bora utulie,sababu ukizoea ipo siku utampitia na wakusoma na ndo ndoto zako za kugegeda zitaishia hapo.Maana kama una 40,ukipigwa 25 ni sawa na utafia huko,mkeo anabaki kugegedwa na wengine,akichoka ataolewa kwingine
 
Swali lako lipo kiutafiti zaidi, unataka kuandika makala...?
Mfuatilie nyuki kwanini anapuyanga huko na kule...?
 
Back
Top Bottom