Ndio maana unashauriwa ukichepuka hakikisha chepuko lako hata wife akiliona anpiga salute.Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Teh teh teh eti akili za kinyamboKumzuia mwanaume asichepuke inahitaji mafunzo maalumu kutoka CIA ila kwa akili za kinyambo ni ngumu sana.
Mwanaume anaweza kula rafiki yako na usijue hadi akitaka ujue, Wanaume tumeumbwa kuchepuka naombeni mtuvumilie tafadhali.
lolNdio maana unashauriwa ukichepuka hakikisha chepuko lako hata wife akiliona anpiga salute.
Leo nilikua bored ila nimefurahi kwa hii mchepuko 3:mstari wa 2IMEANDIKWA ;
MWANAUME NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUCHEPUKA TU!!
NA MWANAMKE AKAE NYUMBANI TU ASUBIRI KUGEGEDWA TU.
mchepuko 3: mstari wa 2
Kwani hakuna wanawake ambao wanapata huduma zote na wanapendwa na waume zao na bado wanachepuka?Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Wanasemaga tabia ni ngoziKuchepuka ni tabia ya mtu hata umpe mgodi wa Dhahabu atachepuka.
Dah ila kweli Tuko moto mamaaTumuombe mungu awasaidie wanaume waacha tabia hiyo ingawa ni ngumu kuacha
Hahaha Rafaeliii hivi hujui kuwa mkeo /girlfriend wako anaweza kuchepuka na marafiki zako wote?Kumzuia mwanaume asichepuke inahitaji mafunzo maalumu kutoka CIA ila kwa akili za kinyambo ni ngumu sana.
Mwanaume anaweza kula rafiki yako na usijue hadi akitaka ujue, Wanaume tumeumbwa kuchepuka naombeni mtuvumilie tafadhali.
Mkuu watu wanapata gwegwe na wanachepuka, kuchepuka ni tabia ya mtu haina dawa hiyoMwisho wa kuchepuka ni upate hili gojwa letu pendwa ali maarufu NGWENGWE hapo lazima mtu mtu huwa mpole.