Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Kukaa na mke mmoja kama mama ni kosa na huyatendei Haki maumbile yako. Kibiologia kazi ya mwanaume ni kupandikiza Mbegu kwa mwanamke, ndiyo maana mda wote Mbegu za mwanaume zipo tayari kuoteshwa kwa mwanamke. Anaye miliki hati ya ndoa ni mwanamke siyo mwanaume. Mwanaume msiogope kuwahudumia wanawake.
 
Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Mambo yanayoendelea chumbani kwa wanandoa huwezi kuyajua, kuna watu utawaona wanapendana ila wakishajifungia ndani kinachoendelea anajua Mungu
 
Iyo inatokea kwasababu ya mazoea mke b4 alikuwa anajituma vzr tyuu mkizoena ana kuchulia poa ndiomana tuna cheki upande wapili na miakahii yackuizi utamkuta mke muda wa kulala yupo bize bize na mitandao yakijamiii wakati weweunataka kusuuza para!!! So wht next?
 
Back
Top Bottom