Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Huwa nikiona mwanamke ana uelekeowa kuwa na dharau huwa najipangaa mapema yaani kabla hajanipindua kwa ujinga wake huwa nimekwisha hifadhi ujinga wangu namsubiri akurupuke.Hahaha Rafaeliii hivi hujui kuwa mkeo /girlfriend wako anaweza kuchepuka na marafiki zako wote?
Kuna mmoja nilikuwa nae kimapenzi akaanza dharau na majivuno hataki kunipa papuchi nilibembeleza sana ila nikaona huo ni upuuzi (wakati huo nimeshafanya ujinga) nilipoona amekuwa sugu nilimpelekea picha ya mwanangu na kumwambia huyo ni mwanangu nilimpata nikiwa masomoni toka siku hiyo alikuwa kama sisimizi.
Siwezi kuacha msichana kabla sijamuua kisaikolojia lazima nimuue kisaikolojia kwanza ndipo nimwache.
