Tutambue idadi ya makamanda humu JF

Tutambue idadi ya makamanda humu JF

Chadema ni chama kinachopendwa sana,hadi wachina....?!

mmh! hadi wachina? ee mungu tusaidie wasilete magwanda yameshonwa vitambaa tetroni. manake wachina kwa mauzauza watakuwa wamesikia harufu ya hela hapa! lakini tetroni hapana jamani. kama mtu atawapa tenda ya kushona magwanda basi walau iwe kaki. tetroni apana! zinaunguza kwenye jua ujue?
 
Wale wenzangu tunao msuport Mhe Dovutwa Fahmi Dovutwa nasi tuanzishe sredi yetu.
 
kama ndo hivo bangi za toka wapi?

Tuachane na hayo,Cdm ni nuru ya watanzania,na ktk nuru Giza i.e ccm halina nafasi.Tulianza na Mungu,tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu,wao wanawaza ni vipi watamfufua sheikh Yahaya ili awa........(nimeanza kuhisi kidhungudhungu)
 
Back
Top Bottom